IamChasulwa
Member
- Jan 3, 2026
- 16
- 24
Wapenzi wa bongo movie
Binafsi nakerwa na tabia za waigizaji wa bongo movie kuwatengeneza walinzi (gatekeeper) kuwa wasio na akili timilifu.
Huwa nawaza mlinzi na umuhimu wake sasa iwaje awe hana utimamu japo najua ni uigizaji lakini namna unavyotengeneza wahusika ndivyo filamu/ tamthiliya yako inagusa na kuishi maisha halisi.
Ukifuatilia movie kali nyingi kama sio zote zilizovunja international border hazina machizi hasa walinzi(gatekeeper )
Na huwa nkiona tu mlinzi chizi huwa naacja kuifuatilia hiyo movi