Tony-stark
JF-Expert Member
- Jul 20, 2019
- 1,020
- 1,334
Unatumia kifaa gani? Simu au PC.Wakuu naiomba hii plz mwenye link au mnambie naipataje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatumia kifaa gani? Simu au PC.Wakuu naiomba hii plz mwenye link au mnambie naipataje?
Kuchukua nafasi ya Hugh Jackman haitowezekana, sababu Keanu Reeves uzee ushamkamata.Mwamba pia ametisha kwenye 47 Ronin. Paia wadau wengi wanapendekeza kuchukua nafasi ya Hugh Jackman as Wolverine katika X -Men film series.
Simu mkuuUnatumia kifaa gani? Simu au PC.
Tumia popcorn time ingia Google alafu search popcorn time APK file.Simu mkuu
Hahahaha, kwanza hongera msimulizu, ila huyu jamaa ni noma zaidi ya nomaMkongwe kwenye kazi za kimafia na muuaji wa kukodiwa asie na mipaka john wick,anastaafu hiyo kazi baada ya kuoa na kutulia na mkewe..
Baada ya mkewe kuugua ghafla na kufa,john anabaki kwenye huzuni kubwa..na maisha yakaendelea akiwa na zawadi ya mbwa alioachiwa na mkewe kama kumbukumbu
..Mtoto mmoja muhuni wa tajiri anamuona john wick sheli na kumwambia amuuzie gari lake..john anakataa..
Yule kijana akafanya kosa la kumfatilia john mpaka nyumbani kwake na wenzie na kumpiga kipigo cha mbwa mwizi wakitafuta funguo za gari,wakafanya kosa lingine kubwa zaidi
.....wakamuua mbwa wake...
..Walipopeleka gari gereji likabadilishwe..mwenye gereji akawafukuza sababu gari analijua ni la nani..yule kijana alipoenda kwa baba yake ambae ni tajiri na ni muuaji pia,akamwelezea..baba mtu akashtuka..akamuuliza mtoto wake"umechukua gari la nani?..mtoto akajibu "aah baba lile si gari tu na yule ni mnyonge"
..Baba akafoka akasema kwa sauti..lile sio gariiii...lile ni gari la
john wick..
..Mtoto akauliza "john wick ni nani"?..
..Baba akamnasa kwanza kofi mwanae halafu akaanza kumwambia kuhusu huyo john wick..huku akimwambia mwanangu umeyakanyaga..kaandae jeshi mpaka kutoka australia..umeamsha jini..
alipoambiwa kuwa na mbwa wake tumemuua mzee sigara ilimtoka mdomoni..anamjua vizuri huyo mtu
Muda huo john wick baada ya kuamka alipopigwa,akaamka akiwa yule john wick waliemsahau..mnyama..binadamu mwenye roho mbaya kuliko roho mbaya yenyewe...
...Rafiki yake john wick askari akamwambia hawa vijana ntawakamata john akamuuliza "umenisahau"..yule askari akatetemeka..aksema kazi imeanza,maaskari waanze kuokota maiti..sababu ni mbwa tu..
.Kweli jiji lilizima...mji ulichafuka..dunia ilijua..
...ITS JOHN WICK MOVIE SERIES..
![]()
Ziko tatu , atafute zote afurahi na roho yake
Wakuu naiomba hii plz mwenye link au mnambie naipataje?
Chapter 1,2&3
Dean of thief imeisha??Wenye dstv channel 139 goma linaruka hewani soon aisee...come to join