Filamu ya Royal Tour Ingezinduliwa Tanzania Badala ya Marekani kuepuka gharama

Gerson keshasema,wadau wa Utalii waliona fursa kwa Rais wakamuomba awe focal kwenye kuitangaza Utalii wa Nchi kwa njia ya filamu na kakubari..

Hii itakuwa faida sio tuu kwao bali kwa Nchi pia.Hata museven nikiona akifanya hivyo na Rais wa Rwanda nk so Samia sio wa kwanza.
 
anaegharamia safari ni serikali, haya nenda kaipigie kelele sasa.
 
Chizi ni wewe usiyefahamu kwamba ni jambo gani kwa sasa linalopata media attention.
Kwa iyo hawa watalii wanaokaja sasa hivi hawajui kuwa kuna vita? acha ujinga nenda Ngorongoro uone watalii wako wa kutosha.
 
anaegharamia safari ni serikali, haya nenda kaipigie kelele sasa.
Hayo ni matumizi mabaya ya fedha za uma.

Kuna mambo muhimu ya kufanya badala ya kusafiri marekani kwa wiki mbili kupromote filamu tena kwa watu ambao wanaamini kabisa kuwa kwako kuna korona , ugaidi na uhalifu wa viwango vya juu kabisa.
 
bora hata hizo filamu, at least baada ya uzinduzi hakuna tena gharama za maintainace!
 
Hawa watu wasifikiri kwa ukomo wa nyadhifa na vile wanavyohudumiwa na serikali.Watufikiriye zaidi sisi watanzania wa kipato cha buku huku mtaani.
Atakaye kufikiria wewe ni mama yako tu mkuu
 
Kwa hio Ally Kiba na Harmonize ni maarufu Marekani??

Jay Z na Bey je?.

We must appreciate differences
 
Ss utafanyaje ama utaamuaje ukishaelezwa ni kodi zetu na anafanya kazi kwa maslahi ya Taifa?
 
Hayo ni matumizi mabaya ya fedha za uma.

Kuna mambo muhimu ya kufanya badala ya kusafiri marekani kwa wiki mbili kupromote filamu tena kwa watu ambao wanaamini kabisa kuwa kwako kuna korona , ugaidi na uhalifu wa viwango vya juu kabisa.
Ndo washaenda Marekani na hakuna kitu utafanya
 
Ndo washaenda Marekani na hakuna kitu utafanya
Huo ni udikteta kufanya maamuzi kwakua hakuna kitu tunaweza kuwafanya.

Ila mwisho wa siku kila mtu atarehesha mahesabu ya matendo yake.

Tunapoona kuna jambo halifanyiki sawasawa hatupaswi kukaa kimya lazima tuulize

Kwani tukikaa kimya ni sawa na kukubaliana na jambo hilo.
 
Kwa hio Ally Kiba na Harmonize ni maarufu Marekani??

Jay Z na Bey je?.

We must appreciate differences
Ali kiba anaweza zindua muziki wake hapa Tanzania na bado akawa maarufu marekani.

Teknolojia imerahisisha mambo.

Sio zile zama za ujima mpaka uende mahali physical.

Kwa utaratibu huu akitaka kupromote hii filamu Ujerumani basi atakwenda na huko.

Tutatumia pesa nyingi mwisho wa siku tusifikie malengo yetu.
 
Kwa akili hizi basi tena
 
Badala ya hii filamu kuzinduliwa Marekani na Ulaya ingependeza sana kama uzinduzi ungefanyika ndani ya moja ya mbuga zetu Serengeti au Ngorongoro. Baadhi ya watu maarufu na watalii kutoka mataifa mbalimbali wangealikwa nchini kujionea eneo halisi la tukio. Hii ingeleta maana badala ya kufanyika kwenye ukumbi wa nchi ambayo haina hivyo vivutio halisi.

Labda waliotoa pesa ndio waliokuwa na usemi wapi uzinduzi wake ufanyikie.
 
Yani ukazindue filamu ya bilioni 7 porini? Kuwaonesha wanyama au?😀
 
ACHA USHAMBA ,FILAMU KUBWA KAMA ILE IZINDULIWE VICHOCHORONI?

HAPA TANZANIA NANI ANAPESA YA KUTALII,
 
Pongezi kwa mh SSH, ila asije akapotelea huko Hollywood
 
Huko mbugani watahudhuria wanyama au? Filamu inawalenga watu sio wanyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…