The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Gerson keshasema,wadau wa Utalii waliona fursa kwa Rais wakamuomba awe focal kwenye kuitangaza Utalii wa Nchi kwa njia ya filamu na kakubari..Wananchi wanapaswa kujua sasa ni nani anamlipia Rais wetu safari ya wiki mbili marekani ili tupunguze kelele.
Ni kodi zetu au hao waliotengeneza filamu?
Kama ni kodi zetu that is a bad investment.
Kama ni aliyetengeneza filamu wananchi wanapaswa kujua aliyegharamia utengenezwaji huo na safari hiyo.
Hii itakuwa faida sio tuu kwao bali kwa Nchi pia.Hata museven nikiona akifanya hivyo na Rais wa Rwanda nk so Samia sio wa kwanza.