"Kamati ya Kitaifa ya Rais ya Kutangaza Tanzania, imesema kuwa Mei 8, 2022 Filamu ya Tanzania ‘The Royal Tour’ itaoneshwa vituo vyote vya Runinga Nchini ili watanzania wote wapate nafasi ya kuiona."-Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi.