Filamu ya The Royal Tour kuonyeshwa vituo vyote vya TV Mei 8

Ujinga ni mzigo yaani ikioneshwa TV zote bongo ndio watu wa nanjilinjili wataenda kutalii shida mko na watu hawajawahi kumiliki hata genge la kuuza pilipili thinking ya biashara watatoa wapi
Wewe ndio mjinga
 
Ndo mtaelewa sasa kuwa raisi asiyecheka na nyani na mpiga kazi vs raisi mlenda mlenda anaekumbatia wapigaji nani ana tija kwa maendeleo!

Oh raisi ananyima watu uhuru haya sasa uhuru umepatikana wa mtu kupiga hela ya serikali kadri atakavyo na hamna kazi inayofanyika!
Hivi kuna mradi wa JPM uliosimama mpaka sasa?
 
Kuingia tu kaanza kubomoa nyumba,kinondoni pale na huko ushuani,2017 akaanza kubomoa toka dar mpaka mwanza,zaidi ya Mita 30 toka kwenye reli Kama Sheria inavyosema,kauli zake za hakuna Cha bure,mtaishi Kama mashetani,kule kagera aliwaamvia hatoi chakula baada ya tetemeko,sijui tunahifadhi chakula kwa ajili ya Nani!?..hela zao za rambirambi akakomba,akapunguza mzunguko wa fedha toka 12% mpaka 6% ili tuishi Kama mashetani,Mimi mkulima,kikwete alituwekea ruzuku ya pembejeo maeneo zalishi,tukawa tunanunua mbolea elfu 18,magu Akaona tunafaidi,akaondoa,tukanunua kwa elfu 60
Yule alikuwa ni zaidi ya shetani
 
Ndo mtaelewa sasa kuwa raisi asiyecheka na nyani na mpiga kazi vs raisi mlenda mlenda anaekumbatia wapigaji nani ana tija kwa maendeleo!

Oh raisi ananyima watu uhuru haya sasa uhuru umepatikana wa mtu kupiga hela ya serikali kadri atakavyo na hamna kazi inayofanyika!

Yani Acha kabisa aisee... huyu bi mzee sijui ni nini uchi anafanya spending a lot of money kwenye upuuzi!!!! Na iyo project yake inasaidia nini kwa taifa hili? Inamaana hao wazingu walikuwa hawajui vivutio vilivyopo Tanzania?

2025 hatoboi na sasa utaanza kusikia baazi ya taasisi wanapunguza raia kazi maana pesa inapigwa vbaya vbaya!!!

Iyo pesa ametumia na bado anatumia angesafisha mapori baadhi na tukafanya kulimo cha alizeti mafuta yapungue bei!!! Hii nchi ni ngumu sana sisi kufikia nchi ya ahadi viongozi wetu ni wa ovyo sana
 
Raia wapumbavu wanaendeshwa na wanasiasa. Uhuru uliokuwa unaliliwa ni wa kuiba hela bila kukamatwa.

Magufuli alipunguza grupu la wadokozi na ndio alichukiwa vibaya na kuzushiwa kila baya yani! Wadokozi wakishirikiana na viongozi wa serikalini na watumishi wahuni ndio hasa wamekuwa wakiendesha propoganda hizi za kipuuzi na ndio wengine wamekuwa machawa wa kumtetea mama kwa mambo ambayo hayana hata tija.
 
Ndo mtaelewa sasa kuwa raisi asiyecheka na nyani na mpiga kazi vs raisi mlenda mlenda anaekumbatia wapigaji nani ana tija kwa maendeleo!

Oh raisi ananyima watu uhuru haya sasa uhuru umepatikana wa mtu kupiga hela ya serikali kadri atakavyo na hamna kazi inayofanyika!
Raia wapumbavu wanaendeshwa na wanasiasa. Uhuru uliokuwa unaliliwa ni wa kuiba hela bila kukamatwa.

Magufuli alipunguza grupu la wadokozi na ndio alichukiwa vibaya na kuzushiwa kila baya yani! Wadokozi wakishirikiana na viongozi wa serikalini na watumishi wahuni ndio hasa wamekuwa wakiendesha propoganda hizi za kipuuzi na ndio wengine wamekuwa machawa wa kumtetea mama

Siku zote nilikuwa sikuelewi elewi leo umeandika jambo nikarudia kusoma twice, 3claps 👏🏾👏🏾👏🏾.
 
Honestly magu hakuwa mpiga kazi,ukatili tu na roho mbaya,Kama sgr na jnhep vinaendelea kujengwa

We unaishi wapi mkuu au mkoa gani? Nataka popote ulipo nikwambie magu alichokufanyia hapo ulipo kama wewe huwoni..... Ngoja nikupe elimu kazi ya raisi ni kuwa msimamizi wa fedha za umma nakuletea maendeleo kwenye nchi husika....

Magu hakuwa anatoa pesa zako mfukoni ni pesa za umma ila aliweza kuzisimamia kikamilifu na ndo sbabu unaona Iyo miradi ipo ni kwasababu kuna mikataba ilishaingiwa hapo.....

Huyu mtu sasa ni marehemu lakini mazuri ni mengi kuliko mabaya..... kwa miaka 5 ya magu alipiga kazi na kujichosha sana na pengine ndo sbabu hatupo nae!!! Mwili unahitaji kupumzika ila kile chuma adi kwenye mapumziko yake bado alikuwa anatoa maelekezo na kupitia mafile ya nchi!!! Alafu nchi hii karibu %60 ukiwauliza maendeleo ni nini hawajui na wewe ni mmoja wapo!!! Kwaiyo iyo royal tour ndo maendeleo kwa nchi kama tz?
 
Kuingia tu kaanza kubomoa nyumba,kinondoni pale na huko ushuani,2017 akaanza kubomoa toka dar mpaka mwanza,zaidi ya Mita 30 toka kwenye reli Kama Sheria inavyosema,kauli zake za hakuna Cha bure,mtaishi Kama mashetani,kule kagera aliwaamvia hatoi chakula baada ya tetemeko,sijui tunahifadhi chakula kwa ajili ya Nani!?..hela zao za rambirambi akakomba,akapunguza mzunguko wa fedha toka 12% mpaka 6% ili tuishi Kama mashetani,Mimi mkulima,kikwete alituwekea ruzuku ya pembejeo maeneo zalishi,tukawa tunanunua mbolea elfu 18,magu Akaona tunafaidi,akaondoa,tukanunua kwa elfu 60

Kwaiyo kwenye icho kilimo ulikuwa huapati faida? Kipindi cha uyu mzee wako kkt mlikuwa unalia lia na kwa magu mkalia lia na sasa ivi unalia lia ifike mahali nchi ni kubwa na inahitaji fedha bila kubanana humu nchini ndo Haya ya mama ako kuomba uko kwa beberu na hutaamini hawa wazungu sio wajinga kiasi hiki wana jambo lao
 
We unaishi wapi mkuu au mkoa gani? Nataka popote ulipo nikwambie magu alichokufanyia hapo ulipo kama wewe huwoni..... Ngoja nikupe elimu kazi ya raisi ni kuwa msimamizi wa fedha za umma nakuletea maendeleo kwenye nchi husika....

Magu hakuwa anatoa pesa zako mfukoni ni pesa za umma ila aliweza kuzisimamia kikamilifu na ndo sbabu unaona Iyo miradi ipo ni kwasababu kuna mikataba ilishaingiwa hapo.....

Huyu mtu sasa ni marehemu lakini mazuri ni mengi kuliko mabaya..... kwa miaka 5 ya magu alipiga kazi na kujichosha sana na pengine ndo sbabu hatupo nae!!! Mwili unahitaji kupumzika ila kile chuma adi kwenye mapumziko yake bado alikuwa anatoa maelekezo na kupitia mafile ya nchi!!! Alafu nchi hii karibu %60 ukiwauliza maendeleo ni nini hawajui na wewe ni mmoja wapo!!! Kwaiyo iyo royal tour ndo maendeleo kwa nchi kama tz?
Elimu yenyewe huna halafu unataka unipe elimu,nipo tabora,hebu nipe alichoufanyia mkoa wa tabora!?...CAG akisema trial 1.5 hazikujulikana zilikoenda,akasema mradi wa umeme Haina faida,magu wako akahakikisha cag anatoka hata kinyume Cha sheria,
 
Vtu vingne ni kuviacha viende tu mtameza nyongo bure mfe bado vijana familia na watt wenu wateseke
 
Asee Rais SSH bado hajafahamu ni nini watanzania wanahitaji

Kawakusanya kina bongo movie wamejaa huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..... nina uwakika majirani zetu wanatucheka sana kwamba hapa ndo tz ilipofikia kutoka kwenye speed ya magu mpaka royal tour
 
Kwaiyo kwenye icho kilimo ulikuwa huapati faida? Kipindi cha uyu mzee wako kkt mlikuwa unalia lia na kwa magu mkalia lia na sasa ivi unalia lia ifike mahali nchi ni kubwa na inahitaji fedha bila kubanana humu nchini ndo Haya ya mama ako kuomba uko kwa beberu na hutaamini hawa wazungu sio wajinga kiasi hiki wana jambo lao
Faida ni mauzo kutia gharama,gharama zikizidi faida hupungua au kuondoka kabisa,mbaya zaidi akaingia mgogoro na Kenya tunapouza zaidi nafaka zetu,tulikaa na mpunga wa 2017-18 kwa miaka mitatu,mpaka mwezi wa tisa bado gunia kilikua elfu 45-50,wakati wa kikwete tukiuza 80-100
 
Sisi wenye TV zetu watatulipa ngapi ? Au ndio uzalendo ?, kama sio huu si ni upotevu wa Kodi zetu kutangaza huku na huku, si TBC ni bure na kila mtu anayo kwanini isionyeshwe huko ?, Sasa mtu anatune channel ya kuburudika na muziki anakutana na Royal Tour ambayo huenda angeweza kuipata TBC..., hii si ni aina ya dictatorship..
 
Magu alikua na spidi gani zaidi ya porojo kwenye vyombo vya habari!!?..sgr miaka mitano bado unahangaika kufika Moro,bwawa rufiji hata halieleweki limefika wapi,Bei za mazao zilishuka,biashara nchi zikifungwa kwa Kasi ya kutisha
Kawakusanya kina bongo movie wamejaa huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..... nina uwakika majirani zetu wanatucheka sana kwamba hapa ndo tz ilipofikia kutoka kwenye speed ya magu mpaka royal tour
 
Sishabikii lolote linalotokea ila ni mdau wa kuwa sehemu ninayodhani itanipa jibu kwa future yangu na nchi.

Hiyo sinema inajitangaza yenyewe (blanding) kuwachukua wasanii na kuwapeleka Arusha kupromote utalii na sinema ni kutufanya watanzania wajinga.

💠 Hiyo sinema yenyewe tu inajitangaza kimataifa pasi kumtegemea mtu, mngesubiri impact kutoka majuu not inside, pesa zimekuwa nyingi hakuna pa kuzipeleka zikatoe +matokea!.
 
Elimu yenyewe huna halafu unataka unipe elimu,nipo tabora,hebu nipe alichoufanyia mkoa wa tabora!?...CAG akisema trial 1.5 hazikujulikana zilikoenda,akasema mradi wa umeme Haina faida,magu wako akahakikisha cag anatoka hata kinyume Cha sheria,

Hapo tabora mliletewa mradi mkubwa wa maji ambao mna zaidi ya Miaka 15 mlikuwa mkiomba maji unazungushwa.... lakini sasa tabora ina maji!!! Nimegusia hili kwasbabu lina gusa wananchi wote moja kwa moja....

Umeleta habari ya CAG na izo pesa mimi na wewe hatuna uwakika iyo pesa ilifanya kazi gani, na kuhusu utaratibu wa yeye kusimamishwa anajua mkuu wake wa kazi ukisikia Amiri jeshi mkuu uwe unaelewa maana yake!!!

Umegusia swala la elimu yangu pia, lakini hili sitakujibu, nikisema nikupe elimu sijamaanisha ya shule nilitaka nikupe elimu uweze kuchakata na kujua maendelea yakoje na wapiga dili wapoje.... hii huwezi ipata shule yoyote mkuu
 
Sishabikii lolote linalotokea ila ni mdau wa kuwa sehemu ninayodhani itanipa jibu kwa future yangu na nchi.

Hiyo sinema ina tangazq yenyewe (blanding) kuwachukua wasanii na kuwapeleka Arusha kupromote utalii na sinema ni kutufanya watanzania wajinga.

[emoji746] Hiyo sinema yenyewe tu inajitangaza kimataifa pasi kumtegemea mtu, mngesubiri impact kutoka majuu not inside, pesa zimekuwa nyingi hakuna pa kuzipeleka zikatoe +matokea!.

Izi ndo akili tunataka na kama kuna waku chalange ulichosema nasubiri nione atasema nini
 
Back
Top Bottom