Filamu ya The Royal Tour kuonyeshwa vituo vyote vya TV Mei 8

Filamu ya The Royal Tour kuonyeshwa vituo vyote vya TV Mei 8

Hapo tabora mliletewa mradi mkubwa wa maji ambao mna zaidi ya Miaka 15 mlikuwa mkiomba maji unazungushwa.... lakini sasa tabora ina maji!!! Nimegusia hili kwasbabu lina gusa wananchi wote moja kwa moja....

Umeleta habari ya CAG na izo pesa mimi na wewe hatuna uwakika iyo pesa ilifanya kazi gani, na kuhusu utaratibu wa yeye kusimamishwa anajua mkuu wake wa kazi ukisikia Amiri jeshi mkuu uwe unaelewa maana yake!!!

Umegusia swala la elimu yangu pia, lakini hili sitakujibu, nikisema nikupe elimu sijamaanisha ya shule nilitaka nikupe elimu uweze kuchakata na kujua maendelea yakoje na wapiga dili wapoje.... hii huwezi ipata shule yoyote mkuu
Mradi maji wa pesa za wahindi aliu-lobby jakaya
 
Alikuwa mkatili kwa nani? Hata mie ukiingia anga zangu nakupoteza mbona!

Fata mambo yako uone kama dunia itakuwa ngumu kwako hata siku moja.
Tuko pa1 mkuu!
Hata Mimi mtu akiingia anga zangu ni kumshona tu kisawasawaa!
Tatzo watu hawataki kufanya kazi, ni majungu tu!

HAPA KAZI TU.
 
Tuko pa1 mkuu!
Hata Mimi mtu akiingia anga zangu ni kumshona tu kisawasawaa!
Tatzo watu hawataki kufanya kazi, ni majungu tu!

HAPA KAZI TU.
Watu hawataki kuwa busy na yao wamekalia majungu tu kisha wanataka wachekewe.

Watu wamesurvive vizuri tu kipindi cha Magu na biashara zilikuwa maradufu ila wapiga dili ndio walikuwa wananyooshwa.
 
Watu hawataki kuwa busy na yao wamekalia majungu tu kisha wanataka wachekewe.

Watu wamesurvive vizuri tu kipindi cha Magu na biashara zilikuwa maradufu ila wapiga dili ndio walikuwa wananyooshwa.
Hahaha ,mfumo wetu ni wa kutesa kwa zamu chief

Ova
 
Kuingia tu kaanza kubomoa nyumba, Kinondoni pale na huko ushuani, 2017 akaanza kubomoa toka Dar mpaka Mwanza, zaidi ya Mita 30 toka kwenye reli Kama Sheria inavyosema, kauli zake za hakuna Cha bure, mtaishi Kama mashetani, kule Kagera aliwaamvia hatoi chakula baada ya tetemeko, sijui tunahifadhi chakula kwa ajili ya Nani!?..hela zao za rambirambi akakomba, akapunguza mzunguko wa fedha toka 12% mpaka 6% ili tuishi Kama mashetani, Mimi mkulima, Kikwete alituwekea ruzuku ya pembejeo maeneo zalishi, tukawa tunanunua mbolea elfu 18, Magu Akaona tunafaidi akaondoa, tukanunua kwa elfu 60
Like lilikuwa janga la kitaifa. Mungu anatupenda watanzania.
 
Watanzania ni wanufaiki wa pato la utalii litakaloongezeka baada ya royal tour kuoneshwa kwa waliolengwa kuiona huko duniani. Ndivo nilivoelewa kutoka na maelezo ya hapo awali.
 
"Kamati ya Kitaifa ya Rais ya Kutangaza Tanzania, imesema kuwa Mei 8, 2022 Filamu ya Tanzania ‘The Royal Tour’ itaoneshwa vituo vyote vya Runinga Nchini ili watanzania wote wapate nafasi ya kuiona."-Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi.

Duh! Kamati ya Kitaifa ya Rais ya Kutangaza Tanzania!
 
Back
Top Bottom