Ujinga ni mzigo yaani ikioneshwa TV zote bongo ndio watu wa Nanjilinjili wataenda kutalii shida mko na watu hawajawahi kumiliki hata genge la kuuza pilipili, thinking ya biashara watatoa wapi"Kamati ya Kitaifa ya Rais ya Kutangaza Tanzania, imesema kuwa Mei 8, 2022 Filamu ya Tanzania ‘The Royal Tour’ itaoneshwa vituo vyote vya Runinga Nchini ili watanzania wote wapate nafasi ya kuiona."-Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi.
AiseeeMuda huo huo Bolt nayo inataka kufunga biashara zake hapa nchini.
Sahivi pesa zinapigwa kwa kisingizio cha Royol Tour ambayo haina maana yoyote kwetu"Kamati ya Kitaifa ya Rais ya Kutangaza Tanzania, imesema kuwa Mei 8, 2022 Filamu ya Tanzania ‘The Royal Tour’ itaoneshwa vituo vyote vya Runinga Nchini ili watanzania wote wapate nafasi ya kuiona."-Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi.
Kweli tupuWengine hata hizo tv hatuangalii tena
Hawana kazi mkuuBongo mbwembwe ni nyingi sana bongo movie wanahisi kama ugeni ni wao wamepeleka biashara Arusha!
Bora mvua inyeshe umeme ukatike siku hiyo kuliko kurushwa kwa huo upupu"Kamati ya Kitaifa ya Rais ya Kutangaza Tanzania, imesema kuwa Mei 8, 2022 Filamu ya Tanzania ‘The Royal Tour’ itaoneshwa vituo vyote vya Runinga Nchini ili watanzania wote wapate nafasi ya kuiona."-Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi.
Kazi karibu zote zimesimamaNdo mtaelewa sasa kuwa raisi asiyecheka na nyani na mpiga kazi vs raisi mlenda mlenda anaekumbatia wapigaji nani ana tija kwa maendeleo!
Oh raisi ananyima watu uhuru haya sasa uhuru umepatikana wa mtu kupiga hela ya serikali kadri atakavyo na hamna kazi inayofanyika!
Yaani uache kutafuta pesa uangalie huo utumboBora mvua inyeshe umeme ukatike siku hiyo kuliko kurushwa kwa huo upupu
Bila kusema itakuwa saa ngapi, uzi unapwaya 🙄"Kamati ya Kitaifa ya Rais ya Kutangaza Tanzania, imesema kuwa Mei 8, 2022 Filamu ya Tanzania ‘The Royal Tour’ itaoneshwa vituo vyote vya Runinga Nchini ili watanzania wote wapate nafasi ya kuiona."-Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi.
Tuliishi muda mrefu bila bolt, acha uvivu kapande mwendo Kasi....madogo wa bodaboda wajiongezee kipato sasa.Muda huo huo Bolt nayo inataka kufunga biashara zake hapa nchini.
Honestly magu hakuwa mpiga kazi,ukatili tu na roho mbaya,Kama sgr na jnhep vinaendelea kujengwaNdo mtaelewa sasa kuwa raisi asiyecheka na nyani na mpiga kazi vs raisi mlenda mlenda anaekumbatia wapigaji nani ana tija kwa maendeleo!
Oh raisi ananyima watu uhuru haya sasa uhuru umepatikana wa mtu kupiga hela ya serikali kadri atakavyo na hamna kazi inayofanyika!
Alikuwa mkatili kwa nani? Hata mie ukiingia anga zangu nakupoteza mbona!Honestly magu hakuwa mpiga kazi,ukatili tu na roho mbaya,Kama sgr na jnhep vinaendelea kujengwa
Kuingia tu kaanza kubomoa nyumba, Kinondoni pale na huko ushuani, 2017 akaanza kubomoa toka Dar mpaka Mwanza, zaidi ya Mita 30 toka kwenye reli Kama Sheria inavyosema, kauli zake za hakuna Cha bure, mtaishi Kama mashetani, kule Kagera aliwaamvia hatoi chakula baada ya tetemeko, sijui tunahifadhi chakula kwa ajili ya Nani!?..hela zao za rambirambi akakomba, akapunguza mzunguko wa fedha toka 12% mpaka 6% ili tuishi Kama mashetani, Mimi mkulima, Kikwete alituwekea ruzuku ya pembejeo maeneo zalishi, tukawa tunanunua mbolea elfu 18, Magu Akaona tunafaidi akaondoa, tukanunua kwa elfu 60Alikuwa mkatili kwa nani? Hata mie ukiingia anga zangu nakupoteza mbona!
Fata mambo yako uone kama dunia itakuwa ngumu kwako hata siku moja.
Hata hapo Ufipa?Kazi karibu zote zimesimama