Filamu ya wwz na mipango ya kupunguza idadi ya watu

Jana usiku (juzi)niliipata filamu inayo kwenda kwa jina la ‘WORLD WAR Z’, jina WORLD WAR ndilo lililo nivutia kuitazama filamu yake, hasa nikitaka kujua ‘Z’ inasimama badala ya nini kwenye jina hilo. Baada ya kuimaliza kuitizama nilikuwa na machache ya kushea na wasomaji wa blogi hii kuhusiana na filamu yenyewe.

Lakini kwanza kabisa kabla ya kupena mawili matu ya filamu hii, kwanza tutambue nafasi na kazi ya Hollywood kwenye soko la filamu.

[http://1]

Tangu Hollywood ianzishe sehemu kubwa ya zake imekuwa ni kuwarubuni mawazo ya watu, kutengeneza mawazo ya umma kukubaliana na kile wanacho kitaka.

Mathalani hakuna ushahidi wowote wenye mashiko unaothibitisha kuwa kuna viumbe wengine ‘huru’ kwenye uso wa dunia au nje ya dunia mbali na binadam na majini, lakini Hollywood wameweza kuurubuni umma kiasi kwamba kwa sasa inaaminika kuwa kuna viumbe wengine kutoka nje ya sayari hii, na kunayo uwezekano wa kuvamiwa na viumbe hao, lakini tunajua huu ni moja ya mipango kamambe ya Illuminanti ambao kwa kiasi nimeulezea kwenye

Duniani hatuna tatizo la ‘UGAIDI’ kwa maana ya UGAIDI, Lakini kwa kutumia vyombo mbalimbali vya habari pamoja na Hollywood leo dunia nzima imekubali kuwa kuna tatizo la ugaidi na kama hatua za msingi hazitochukuliwa basi tatizo hilo litaiangamiza dunia (Hatua za msingi si nyingine bali sheria zilizo na utata na zilizo juu ya katiba ya nchi na zinazo pora uhuru na haki za msingi za wananchi)

[http://3]

Kupitia Hollywood umma umeaminishwa kwamba Uislamu ni dini mbaya ya kigaidi, kishetani, waumini wake wana roho mbaya, wakatili na wauaji wabaya kama wao hakuna, lakini hadithi ni tofauti kabisa na Waislamu wenyewe namna walivyo.

Hivyo basi Hollywood hutumika kurubuni na kuandaa maamuzi na fikra za umma kukubaliana na jambo fulani wanalo taka kulifanya, mara kadhaa imethibitika kwa Hollywood kutengeneza filamu zenye maudhui ya jambo fulani walilopanga kulifanya

[http://2]

Mwaka 1954 kitabu kilicho kwenda kwa jina la ‘I Am Legend’ kilizinduliwa. Matukio katika kitabu hicho ni baina ya mwaka 1976 – 1979. Mwaka 1957 janga la mafua likaimeza dunia na chanjo ya polio ikaanza kutumika rasmi. Kipindi ambacho kimetumika kama muda wa maudhi ya kitabu yaani miaka minne ndicho kipindi kilicho chukua kuibuka kwa janga la mafua tangu kitabu hicho kiingie sokoni.

Filamu iliyo kwenda kwa jina la ‘The Last Man on Earth’ ya mwaka 1964, maudhui yake ni matukio yaliyo chezwa kutokea mwaka 1968. Mwaka 1967 baa la mafua liliikumba dunia.

Filamu nyingine ya aina kama hii ni ‘The Omega Man’ filamu hii ni ya mwaka 1971, lakini maudhui yake ni matukio ya mwaka 1977. Mwaka 1976 liliibuka janga la mafua ya nguruwe.

Filamu ya ‘I Am Legend’ ambayo ni ya mwaka 2007, maudhui yake ni baina ya mwaka 2009 – 2012. Dunia ilikumbwa na janga la HIN1.

[http://4]

Unaweza kwenda umbali wa ziada na kwakufanya tafiti binafsi, natumai utakuja na majibu mazuri zaidi.

[http://1]

Hadithi ya ‘Worl War Z’ na matukio kwenye filamu hiyo yanaonesha kwamba Illuminanti wanayo aina fulani ya mpango mbaya dhidi yetu. Kama ‘Z’ kwenye filamu hiyo imesimama badala ya neno ZOMBIE, Hapana shaka hivyo ndivyo tunavyo onekana kwenye macho ya Illuminanti, kwamba ni watu duni, wabaya, tusio na bongo salama, na ambao inabidi tuangamizwe kwa namna yeyote ile inayo wezekana na kwa zana yeyote ile inayo patikana kukidhi lengo hilo kwa kiwango cha kidunia, ‘globaly’ na hapo ndipo unapo pata maana ya WWZ.

[http://1]

Kwenye filamu hiyo zaidi ya watu bilioni 4, ‘wameathirika’ kutokana na virusi wabaya wanao badilisha maumbile ya binadamu na kama wanyama. Tetesi zipo na maandishi yapo kuwa Illuminanti wanao mpango wa kufuta asilimia 90 ya watu wote duniani, pekua mwenyewe utaona. WWZ inaonesha zaidi ya asilimia 80 ya binadamu wote wameathirika na hakuna kinga hivyo wanauwawa wote kwa namna yeyote ile iwezekanayo.

[http://4]

Nyota wa filamu hii ni Brad Pitt, ambaye amesha shiriki filamu zingine zenye jumbe mahususi za kimasonia kwa wanamasonia, na pia anatarajiwa kuowana na Angelina Joel ambaye ni mwanachama wa asasi ya siri ya CFR, asasi ambayo pia inamuandaa Brad Pitt kuwa mwanachama. Katika filamu Brad Pitt kama mtu aliyepata kuwa muajiriwa wa UN, anachukua nafasi ya kutafuta njia ya kuwaangamiza ‘zombi’ (kwenye neno zombi badilisha na weka neno ‘walimwengu’).

Kutakuwa na kambi ambazo zombi itabidi waingizwe kama mahala pa salama wakati tiba yao inaendelea kutafutwa, lakini itakuwa ndiyo machinjio yao, watakuwa wanauwawa humo.

Israel itaonekana kuwa ndiyo nchi inayo weza kupambana na zahama hilo kwa kuweka ukuta mkubwa ambao utawazuia zombi wasiingie, ambao wengi ni wapalestina na mamilioni wanaonekana kuuwawa wanapo upanda ukuta huo.

[http://3]

Kila kona kuna miili ya binadamu iliyo lundikana baada ya kuuwawa ilipogundulika ni waathirika.

Pakistani na Iran zinamalizana zenyewe kwa silaha zao za nyuklia, baada ya Iran kuzuia kwa kuwauwa wakimbizi ambao ni zombi wasiingie Iran kutokea Pakistan, hapa kwa maneno mengine tunaambiwa kuwa Iran wanazo sila za nyuklia.

Ni kama filamu hii, inatabiri yale yatakayo kuja kwenye kila kinacho fahamika saa za mwisho, na pia inawiana na mpango wa Illuminanti, hasa linapo kuja anguko la uchumi la kidunia, ambalo nalo litakuwa ni la kupangwa, na mabilioni ya watu kumwagika mitaani wakiwa hawana kitu nyumbani wala mifukoni, kwa vile Illuminanti kupitia mabenki yao wamewapora utajiri wao, watu hawa watakuwa ni shida mitaani, sheria za kutotembea mtaani zitapitishwa kama inavyo onekana mwanzoni kabisa kwenye filamu hii, lakini hilo halitasaidia na nguvu za kijeshi ndipo zitakapo tumika, nayo itakuwa ni mauwaji ya halaki kama inavyo onekana kwenye filamu ya WWZ.

[http://1]

Baada ya miaka 10 ya vita, dunia imebadilika, tiba ya zombi hakupatikana zaidi ya vifo vya halaiki na walimwengu wamebakia wateule wachache.

Filamu hii ni moja ya filamu zilizo tengenezwa kwa gharama kubwa mno, lakini kikubwa ikionesha burudani ya mabilioni ya watu wakiuwawa kwa halaiki. Ni kweli suala la kuuwa watu, mabilioni ya watu ni kitu cha kukihesabu kama aina ya burudani?

Unakumbuka kazi ya Hollywood? Filamu hii inaandaa akili za umma na mawazo yao kusukumwa na nguvu hasi za kiukatili na mauwaji zaidi, kutuandaa kukubaliana na mipango ya Illuminanti hata kama itakuwa ni kuuwa mabilioni ya watu kwa sababu yeyote ile watakayo itaja kwenye vyombo vya habari.

Wakati wa utawala wa Rome, umma ulidanganywa na mambo ya kipuuzi, kulikuwa na michezo mibovu na mibaya kwa umma lakini yenye baraka za kiserikali, michezo hiyo ni kama ‘GLADIETOR’ Ambapo wafungwa waliingizwa kwenye ulingo wakapambana na kupigana mpaka kifo na wananchi walikaa majukwaani wakishangilia damu zikitiririka, Hollywood naona wanaturudishia utamaduni huo na ulimwengu umeonekana kuupenda sana.

[http://3]

Leo hii tunatizama LIVE kwenye luninga taifa moja likimwaga damu za watu wasio na hatia za watu wa taifa jingine na tunaona yote hayo ni sawa tu.

Mauwaji ya halaiki tangu lini yakawa ni burudani kwa uma?

[http://3]
INAWEZEKANA UGONJWA WA EBOLA NI MAJARIBIO YA KUFANYA WATU KUWA MAZOMBI
 
Kuna vitu vingine kuvitenganisha ni kazi sana ata kama havina ukweli
1.Uislam na ugaidi
2.punyeto na nguvu za kiume
3.CCM na ujinga
4.Pombe na umalaya
5.Wasukuma na ushamba
6.... Vingine malizieni nyie wadau

1.Uislam na Ugaidi.
Kama unaakili timamu na akili zako zinafanya kazi tafuta maana ya Uislamu na Ugaidi utaona utofauti wake ebu jifunze mwenyewe funuafunua vitabu usome.
Uislamu na Ugaidi ni vitu viwili tofauti.
Ushawahi kusikia american wanamwita mzungu/mkristo mwenzao Gaidi japokuwa kaua watu 58 Las Vegas.
 
a39ac0afc23209664b8aa1222eb8d12d.jpg
Jana usiku (juzi)niliipata filamu inayo kwenda kwa jina la ‘WORLD WAR Z’, jina WORLD WAR ndilo lililo nivutia kuitazama filamu yake, hasa nikitaka kujua ‘Z’ inasimama badala ya nini kwenye jina hilo. Baada ya kuimaliza kuitizama nilikuwa na machache ya kushea na wasomaji wa jamii forum kuhusiana na filamu yenyewe.

Lakini kwanza kabisa kabla ya kupena mawili matu ya filamu hii, kwanza tutambue nafasi na kazi ya Hollywood kwenye soko la filamu.
4cc7b70e695c883aaaa729320cd9ea46.jpg

Tangu Hollywood ianzishe sehemu kubwa ya zake imekuwa ni kuwarubuni mawazo ya watu, kutengeneza mawazo ya watu kukubaliana na kile wanacho kitaka.

Mathalani hakuna ushahidi wowote wenye mashiko unaothibitisha kuwa kuna viumbe wengine ‘huru’ kwenye uso wa dunia au nje ya dunia mbali na binadam na majini, lakini Hollywood wameweza kuurubuni watu kiasi kwamba kwa sasa inaaminika kuwa kuna viumbe wengine kutoka nje ya sayari hii, na kunayo uwezekano wa kuvamiwa na viumbe hao, lakini tunajua huu ni moja ya mipango kamambe ya Illuminanti ambao.

Duniani hatuna tatizo la ‘UGAIDI’ kwa maana ya UGAIDI, Lakini kwa kutumia vyombo mbalimbali vya habari pamoja na Hollywood leo dunia nzima imekubali kuwa kuna tatizo la ugaidi na kama hatua za msingi hazitochukuliwa basi tatizo hilo litaiangamiza dunia (Hatua za msingi si nyingine bali sheria zilizo na utata na zilizo juu ya katiba ya nchi na zinazo pora uhuru na haki za msingi za wananchi)

cb14321ef1d500179ea759c8d625503f.jpg

Hivyo basi Hollywood hutumika kurubuni na kuandaa maamuzi na fikra za jamii kukubaliana na jambo fulani wanalo taka kulifanya, mara kadhaa imethibitika kwa Hollywood kutengeneza filamu zenye maudhui ya jambo fulani walilopanga kulifanya
01440258301b8096c329fd7ffdeec917.jpg

Mwaka 1954 kitabu kilicho kwenda kwa jina la ‘I Am Legend’ kilizinduliwa. Matukio katika kitabu hicho ni baina ya mwaka 1976 – 1979. Mwaka 1957 janga la mafua likaimeza dunia na chanjo ya polio ikaanza kutumika rasmi. Kipindi ambacho kimetumika kama muda wa maudhi ya kitabu yaani miaka minne ndicho kipindi kilicho chukua kuibuka kwa janga la mafua tangu kitabu hicho kiingie sokoni.

Filamu iliyo kwenda kwa jina la ‘The Last Man on Earth’ ya mwaka 1964, maudhui yake ni matukio yaliyo chezwa kutokea mwaka 1968. Mwaka 1967 baa la mafua liliikumba dunia.

Filamu nyingine ya aina kama hii ni ‘The Omega Man’ filamu hii ni ya mwaka 1971, lakini maudhui yake ni matukio ya mwaka 1977. Mwaka 1976 liliibuka janga la mafua ya nguruwe.

Filamu ya ‘I Am Legend’ ambayo ni ya mwaka 2007, maudhui yake ni baina ya mwaka 2009 – 2012. Dunia ilikumbwa na janga la HIN1.

3d289f350ce34d423fb5260c6317fbf8.jpg

Unaweza kwenda umbali wa ziada na kwakufanya tafiti binafsi, natumai utakuja na majibu mazuri zaidi.

5c6752cf2d1d4c233f8d7ab9026b5bbc.jpg

Hadithi ya ‘Worl War Z’ na matukio kwenye filamu hiyo yanaonesha kwamba Illuminanti wanayo aina fulani ya mpango mbaya dhidi yetu. Kama ‘Z’ kwenye filamu hiyo imesimama badala ya neno ZOMBIE, Hapana shaka hivyo ndivyo tunavyo onekana kwenye macho ya Illuminanti, kwamba ni watu duni, wabaya, tusio na bongo salama, na ambao inabidi tuangamizwe kwa namna yeyote ile inayo wezekana na kwa zana yeyote ile inayo patikana kukidhi lengo hilo kwa kiwango cha kidunia, ‘globaly’ na hapo ndipo unapo pata maana ya WWZ.
ea9d8bc2e59bae7a2b6c184d8a2b585f.jpg

Kwenye filamu hiyo zaidi ya watu bilioni 4, ‘wameathirika’ kutokana na virusi wabaya wanao badilisha maumbile ya binadamu na kama wanyama. Tetesi zipo na maandishi yapo kuwa Illuminanti wanao mpango wa kufuta asilimia 90 ya watu wote duniani, pekua mwenyewe utaona. WWZ inaonesha zaidi ya asilimia 80 ya binadamu wote wameathirika na hakuna kinga hivyo wanauwawa wote kwa namna yeyote ile iwezekanayo.

2aaec8e4a960411c9fb991b184842599.jpg

Nyota wa filamu hii ni Brad Pitt, ambaye amesha shiriki filamu zingine zenye jumbe mahususi za kimasonia kwa wanamasonia, na pia anatarajiwa kuowana na Angelina Joel ambaye ni mwanachama wa asasi ya siri ya CFR, asasi ambayo pia inamuandaa Brad Pitt kuwa mwanachama. Katika filamu Brad Pitt kama mtu aliyepata kuwa muajiriwa wa UN, anachukua nafasi ya kutafuta njia ya kuwaangamiza ‘zombi’ (kwenye neno zombi badilisha na weka neno ‘walimwengu’).

Kutakuwa na kambi ambazo zombi itabidi waingizwe kama mahala pa salama wakati tiba yao inaendelea kutafutwa, lakini itakuwa ndiyo machinjio yao, watakuwa wanauwawa humo.

Israel itaonekana kuwa ndiyo nchi inayo weza kupambana na zahama hilo kwa kuweka ukuta mkubwa ambao utawazuia zombi wasiingie, ambao wengi ni wapalestina na mamilioni wanaonekana kuuwawa wanapo upanda ukuta huo.

bc8ec59ef3d8e41ec540b1ca182fefe8.jpg

Kila kona kuna miili ya binadamu iliyo lundikana baada ya kuuwawa ilipogundulika ni waathirika.

Pakistani na Iran zinamalizana zenyewe kwa silaha zao za nyuklia, baada ya Iran kuzuia kwa kuwauwa wakimbizi ambao ni zombi wasiingie Iran kutokea Pakistan, hapa kwa maneno mengine tunaambiwa kuwa Iran wanazo sila za nyuklia.

Ni kama filamu hii, inatabiri yale yatakayo kuja kwenye kila kinacho fahamika saa za mwisho, na pia inawiana na mpango wa Illuminanti, hasa linapo kuja anguko la uchumi la kidunia, ambalo nalo litakuwa ni la kupangwa, na mabilioni ya watu kumwagika mitaani wakiwa hawana kitu nyumbani wala mifukoni, kwa vile Illuminanti kupitia mabenki yao wamewapora utajiri wao, watu hawa watakuwa ni shida mitaani, sheria za kutotembea mtaani zitapitishwa kama inavyo onekana mwanzoni kabisa kwenye filamu hii, lakini hilo halitasaidia na nguvu za kijeshi ndipo zitakapo tumika, nayo itakuwa ni mauwaji ya halaki kama inavyo onekana kwenye filamu ya WWZ.
d651111b06109dc2a717f7b132e0637d.jpg

Baada ya miaka 10 ya vita, dunia imebadilika, tiba ya zombi hakupatikana zaidi ya vifo vya halaiki na walimwengu wamebakia wateule wachache.

Filamu hii ni moja ya filamu zilizo tengenezwa kwa gharama kubwa mno, lakini kikubwa ikionesha burudani ya mabilioni ya watu wakiuwawa kwa halaiki. Ni kweli suala la kuuwa watu, mabilioni ya watu ni kitu cha kukihesabu kama aina ya burudani?

Unakumbuka kazi ya Hollywood? Filamu hii inaandaa akili za jamii na mawazo yao kusukumwa na nguvu hasi za kiukatili na mauwaji zaidi, kutuandaa kukubaliana na mipango ya Illuminanti hata kama itakuwa ni kuuwa mabilioni ya watu kwa sababu yeyote ile watakayo itaja kwenye vyombo vya habari.

Wakati wa utawala wa Rome, jamii ulidanganywa na mambo ya kipuuzi, kulikuwa na michezo mibovu na mibaya kwa jamii lakini yenye baraka za kiserikali, michezo hiyo ni kama ‘GLADIETOR’ Ambapo wafungwa waliingizwa kwenye ulingo wakapambana na kupigana mpaka kifo na wananchi walikaa majukwaani wakishangilia damu zikitiririka, Hollywood naona wanaturudishia utamaduni huo na ulimwengu umeonekana kuupenda sana.
ebfd4975b23b2cd64ca5cf56aa92254c.jpg

Leo hii tunatizama LIVE kwenye luninga taifa moja likimwaga damu za watu wasio na hatia za watu wa taifa jingine na tunaona yote hayo ni sawa tu.

Mauwaji ya halaiki tangu lini yakawa ni burudani kwa jamii?
Ok
 
Kuna vitu vingine kuvitenganisha ni kazi sana ata kama havina ukweli
1.Uislam na ugaidi
2.punyeto na nguvu za kiume
3.CCM na ujinga
4.Pombe na umalaya
5.Wasukuma na ushamba
6.... Vingine malizieni nyie wadau
Unasahau "the first terrorist in the world is UNITED STATES." lakini kwa sababu uko "brain washed" huwezi ona hiyo!
 
Kwa hiyo unataka kusema mambo yote yanayotokea kuhusu ugaidi sio kweli ni Hollywood wanatuaminisha kwa hiyo Isis,book haram,alqaida na matukio yao yote ya kigaidi ambayo mengine yametugusa kabsa( refer West gate) sio kweli ni Hollywood tu ....dude really ?? Au mi ndo sijaelewa
 
kama si mchonozi wa mambo fulani fulani yanayoendelea duniani, kamwe hutajua kipi kinaendelea. Mfano hata muvi za matrix kuna ujumbe uko ndani yake, series za katuni za 'the simpson' kuna mambo mengi ni kama yalitabiliwa na yametokea na mengine bado yanatabiliwa na huenda yakatokea. mfano. nenda 'youtube' andika 'the things the simpsons predicted' kisha search, jibu utalipata

M
Simpsons wametabir meng sana naamin ni zaid ya muvi yoyot ile ilowah kuigizwa dunian
 
Kwa hiyo unataka kusema mambo yote yanayotokea kuhusu ugaidi sio kweli ni Hollywood wanatuaminisha kwa hiyo Isis,book haram,alqaida na matukio yao yote ya kigaidi ambayo mengine yametugusa kabsa( refer West gate) sio kweli ni Hollywood tu ....dude really ?? Au mi ndo sijaelewa
Hebu fanya yako mkuu!! Hawa theorist huwa wapo kuilazimisha juu kuitwe chini! Yaani mtu anaandika kitu ambacho hata yeye mwenyewe hakielewi na anataka aaminike! Hebu angalia huu mkorogo wake hapa kisha tazama vizuri hizo tarehe zake uniambie kama huyu anaelewa alicho copy> mwaka 1954 kitabu kilicho kwenda kwa jina la ‘I Am Legend’ kilizinduliwa. Matukio katika kitabu hich
o ni baina ya mwaka 1976 – 1979. Mwaka 1957 janga la mafua likaimeza dunia na chanjo ya polio ikaanza kutumika ras
mi. Kipindi ambacho kimetumika kama muda wa maudhi ya kitabu yaani miaka minne ndicho kipindi kilicho chukua kuibuka
kwa janga la mafua tangu kitabu hicho kiingie s
oko

ni.

Kuna Chanel Fulani hivi ya TV inaitwa VIASAT HISTORY wanavipindi vingi vya ajabuajabu Ila kilichonishangaza ni kuwa vimpires kumbe tayari wanaishi na nchi iliyonao kwa wingi nimeisahau tu jina ila ni jirani jirani na Urusi. Walikuwa wanaoneshwa maisha yao na namna wakifa wanavyotakiwa kuzikwa ili wasifufuke kuja kunyonya damu za watu.
ONYO LANGU: Kama kichwa chako ni chepesi kudanganyika achana nao jamaa wanamajibu mepesi sana kwenye maswali magumu na wanaushawishi mkubwa sana kifupi wamejipanga.
 
Mm naomba unajua misimamo na Sheria za dini ya Kiislamu..?
Ilienezwaje...?
Adhabu zake..?
Je yale yanayotendeka kule Saudia ni uongo (rejea uzi wa The bold kuhusu kuchinjana)
Bokko haram je wale mabinti 200 ni uongo..?
Al shabab somalia west gate tunadanganywaa..?
Aksante..
Hao jamaa uliiwataja hapo ni kweli wanafanya vitu ambavyo sivyo ila kwa saudia pale wao kuchinja mtu anachinjwa kama amepatikana na hatia ambayo inarusu mtu huyo kuhumiwa hivyo kwenye swala la boko haram sijui al shabab na wengine hao jamaa ni kama hawana akili na nadhani hawajui kile wanafanya nani kawatuma kufanya hivyo maadam wameambiwa kuwa wanapigania kitu flani basi wao wanafanya laiti kama wangeona nyuma ya pazia sidhani kama wangefanya wanayoyafanya.
Tv manupulate your mind to believe what you can not see wanapindua tu.
 
Mazombie kwenye hiyo movie ya world war z yana mbio balaa! Hata train za umeme cha mtoto!
 
Nje kidogo... Bradd na angelina si wameachana kitambo?
 
Kuna movie inaitwa looper ya bluce wills, niliiangalia kwa umakin ile movie nkagundua ina malengo maalumu. Et kuna watu wachache matajir wanamilik umri wa watu, yaan unapozaliwa unapewa miaka walau 18 ya kuish, then mingne inabdi ufight na kununua kwa hao matajir. Ni kupambana tu ili kupata miaka il uish, watu wanauziana kama njugu sekunde, dk, masaa, siku. wiki na miakag. Kuna mitambo maalumu na kifaa unafungwa mkonon ndo unatumia kununua umri wa kuish. Na umr wako ukiisha unakauka kau, maskn wamehustle sana mule ndan
nyingine inaitwa *In Time* amecheza Justin timberlake humu...maudhui yake tata aisee,
 
Nje kidogo... Bradd na angelina si wameachana kitambo?
Hata Mimi sijaelewa bradd na Angie wameingia vipi tena hapa na kama ndoa yao tayari ilishavunjika sasa anasemaje tena wanatarajia kuoana au labda in next life sio hii..
 
Ngoja na mimi sikuhizi niwe naangalia movie na nyuma ya pazia....
maana wametuaminisha mavampire,zombies,Dracula
 
Back
Top Bottom