Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni zaid ya hapo, sababu uislamu haujaanzia kwa mtume muhammad(s.a.w) uislam upo tangu enzi adam na kabla kuumbwa kwake..
Aliyekwambia adhabu inamtenga mwanaume ni nani!?kwaiyo adhabu yakumpiga mwanamke aliyezini mawe mpka afe na kumwacha mwanaume aendelee kuishi imeanzishwa mwaka gani? so far ukiwa na IQ kubwa na techolojia inavyokuwa hata wew kuna vitu unaweza kupredict 10yrs to come
Sasa msimamo wa dini ya kiislamu na hiyo thread hapo inhusiana nini?????Mm naomba unajua misimamo na Sheria za dini ya Kiislamu..?
Ilienezwaje...?
Adhabu zake..?
Je yale yanayotendeka kule Saudia ni uongo (rejea uzi wa The bold kuhusu kuchinjana)
Bokko haram je wale mabinti 200 ni uongo..?
Al shabab somalia west gate tunadanganywaa..?
Aksante..
watu kama wewe ni wachache hata ukitoa mawaza unafaa kabisa.sio hawa juma mpika pirau au shabani mkabaji kaacha shule kitambo naye kawa sheik au hostazi wakati mda wao wote wapo kwenye mambo yao.kwanza tambua SAUDI ARABIA si dora ya kiisram bali ni dora ya kifalme
hivyo sheria zinazosimamiwa ni za kifalme fahamu hilo kwanza
Dora ya kiisram ni nini ?
ni mfumo kamiri wa maisha ya MUISLAM tangu tumboni kwa mama yake mpaka siku ya mwisho ya uhai wake ambapo huongozwa namna ya kuishi kwa SHARIA na TARATIBU za kiislam kwa kufuata QURANI na SUNNA za Mtume na naswahaba wake
piri kuhusu boko kharamu na alshababu
labda ujue kwa undani JIHAD ni nini katika UISRAM
unaposema JIHAD unamaana kujituma zaidi au kujitolea
na unapozungumzia JIHADI katika UISLAM inamaaka kujituma zaidi na kujitolea zaidi kwa ajiri ya DINI malipo ikiwa ni kwa MUNGU
hivyo JIHADI ya kwanza kabisa inaanza nafsi mwako ukiweza kushida JIHAD ya nafsi yako basi inafatia wanaokuzunguka famiria yako na ndugu zako
Ili uweze kupigana JIHADI kama hivyo wanayojinasibu hao Boko khalamu na alshabab Shart uwe MJAHIDINA
sasa ni nini JIHAD na nani MUJAHIDINA ?
ni muumini anayefanya juhudi(JIHAD) katika njia ya Allah, kwa mali yake nafsi yake na muda wake
Jihad inapigwana wapi na kina nani na wakati gani ?
kwanza tambua
UISLAMU si dini ya mabavu
Uislamu unajali zaidi hoja na siyo nguvu
Unamtaka mwanadamu atumie akili yake katika kumtambua Muumba wake.
na Ndiyo maana katika Qur’an haimlazimishi mtu kumkubali Mwenyezi Mungu bali inamtaka binadamu atumie akili na kuzingatia
Qur’an inasema:
"Je! Hawatazami ngamia jinsi walivyoumbwa? Na mbingu jinsi zilivyoinuliwa. Na milima jinsi ilivyothubutishwa. Na ardhi jinsi ilivyotandazwa?" (Al- Ghashiyah 88:17-20).
hapa MWENYEZIMUNGU anawataka wanaadamu(wakrsto kwa waislamu) watazame umbo la ngamia, mbingu, majabali na ardhi, kisha watumie akili zao kupima ili waone kama vyote hivyo vimekuja vyenyewe hivi hivi au yuko aliyeviumba?
Kisha MWENYEZIMUNGU akamwambia Mtume wake:
"Basi kumbusha, hakika wewe ni mkumbushaji (tu). Wewe si mwenye kuwatenza nguvu’. (Al-Ghashiyah 88:21-22)
sasa hapo Unaona Uislamu umeilenga zaidi akili ya mwanadamu. Mwanadamu amekuwa ni kiumbe bora kuliko mnyama kwa sababu ya akili aliyo nayo. Binadamu asiye na akili hatofautiani na mnyama. Mwenye akili hupima kila analoambiwa. Akiliona linakubaliana na akili analikubali na akigundua halikubaliani na akili, basi naye hulikataa. Na Uislamu ndivyo ulivyo. Hoja zake zinachuana na akili ya binadamu. Kama akili inakataa kukubali kuwa 1 + 1 + 1 ni 3, kwanini basi akili itaabishwe kwa kupewa jawabu isiyoridhia na ya uwongo?
Na vipi Muislamu atakashifu dini nyingine na wakati Uislamu wenyewe unakataza kufanya hivyo
unaweza ukashangaa unakataza kukashifu je ni vipi wale wanaojinasibu kuchinja watu kwa kigezo cha JIHADI na kuwaita makafiri wakati kumbe hata kukashifu dini nyingne kwa lugha kali UISLAM unakataza !!?
ni some kwa umakini utanielewa
Qur’an Tukufu inasema:
"Wala msiwatukane wale ambao wanaabudu, kinyume cha MWENYEZIMUNGU wasije wakamtukana MWENYEZIMUNGU kwa jeuri zao bila kujua". (Al An-Am 6:108).
Na kutokana na aya hiyo hapo juu MWENYEZIMUNGU alimwagiza
Mtume muhammad kwa kumwambia
"Waite (watu) katika njia ya Mola wako kwa hekima na mawaidha mema, na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora (siyo kwa kuwatukana wao au kutukana dini zao)". (An Nahl 16:125).
Mtume (saw) akafuata maagizo ya Mola wake. Kwa miaka 13 mfululizo aliwalingania watu wa Makka kwa maneno mema, hekima na busara. Katu hakuwatukana wala kutumia nguvu. Kinyume chake yeye na wafuasi wake ndio waliokuwa wakitukanwa kunyanyaswa na kuteswa.
Na kila mara katika kulingania akijibiwa hovyo au kukashfiwa
MWENYEZIMUNGU alimwambia,
"Basi wasamehe na uwaambie (maneno mazuri) ya salama (labda mwisho wake watatambua). Hivi karibuni watajua". (Az-Zukhruf 43:89).
Na pale alipofanyiwa uovu mkubwa aliambiwa,
"Ondosha mabaya (unayofanyiwa) kwa (kulipa) mema". (Al Muuminun 23:96).
ni kama wewe ulipouliza hapo juu inakuwaje BOKO KHALAM kufanya yale yanayofanya hali kadhalika AL SHABAB kila siku kuua watu wasio na hatia
kisha nije na nahau nilizozipangilia vema kuwa Uislamu ni dini ya amani, na jihadi siyo vita na ilihali Waislamu kila uchao w wanapigana vita vya jihadi?
Vita hupiganwa kwa malengo mawili makuu. Aidha kwa kupigania maslahi ya kidunia, kama kutaka kuziteka na kuzitawala nchi nyingine, kupata mali ghafi au masoko ya kuuzia bidhaa ardh nk
au pia vita vinaweza kupiganwa kwa ajili ya kujilinda na mashambulizi ya adui.
Kwa vyovyote vile vita hivyo viwili havifanani. Vile vya aina ya kwanza ni vya uchokozi na vile vya pili ni vya kujihami
Uislamu unaviita vile vita vya uchokozi "Harbun" na vile vya kujihami "Jihadun
Ilitarajiwa Waislamu wafanye nini baada ya kudhulumiwa uhuru wa kuabudu na kufukuzwa katika nchi yao kuporwa ardhi yao na wengine kuuawa
Bila shaka hiyo ni jeuri iliyopindukia na hakuna atakayeivumilia. Ndipo hapo Mwenyezi Mungu (sw) akawapa Waislamu ruhusa ya kupigana. Ruhusa ya kwanza waliyopewa ilikuwa
"Wameruhusiwa (kupigana) wale wanaopigwa, kwa sababu wamedhulumiwa. Na kwa yakini Mwenyezi Mungu ni muweza wa kuwasaidia ambao wametolewa majumbani mwao pasipo haki ila kwa sababu wanasema ‘Mola wetu ni Allah’ (Al Hajj 22:39-40)
Huo ukawa ndio mwanzo wa vita vya jihadi. Lakini msisitizo mkubwa waliowekewa ulikuwa wasipigane vita vya uvamizi bali vita vya kujihami. Na shahidi wa haya ni ile kauli ya Allah(sw) inayosema
"Na piganeni katika njia ya Mwenyezi Mungu na wale wanaokupigeni, wala msipindukie mipaka (mkawapiga wasiowapigeni). Kwani Mwenyezi Mungu hawapendi warukao mipaka" (Al Baqarah 2:190).
rejea mikasa ya MYNMAR waislamu wa ROHNGYA na PARESTINA wanavyofanyiwa na ISRAEL then linganisha na SYRIA SOMARIA na huko NIGERIA na baadhi ya NCHI nyingne wanavyopigana kwa Chuki USUNNI na USHIA
then tumia akili yako kung'amua lipi ni lipi wapi sahihi wapi UZUSHI
MKUU uislamu ni DINI nzuri sana yenye MUONGOZO thabiti kwa walioamini
na si propaganda za mitaani ukitaka kuujua UBORA na UZURI wa UISRAMU ujifunze kwa undani
mwisho nakuongezea kukufuta mawazo mabaya kuhusu UISLAM kama ulikuwa hujui jua sasa sisi WAISLAM tunampenda YESU na Tunaamini atarudi kama MKOMBOZI kama tulivyobainishiwa
Ila sisi tunamuita NABII ISSA bin MARIAM
Well said mkuu [emoji120] [emoji120] [emoji120]kwanza tambua SAUDI ARABIA si dora ya kiisram bali ni dora ya kifalme

Add thisKuna vitu vingine kuvitenganisha ni kazi sana ata kama havina ukweli
1.Uislam na ugaidi
2.punyeto na nguvu za kiume
3.CCM na ujinga
4.Pombe na umalaya
5.Wasukuma na ushamba
6.... Vingine malizieni nyie wadau
POINTPoleni waislamu kwa kuitwa magaidi ila na nyinyi muache kuita wenzenu makafili
sleepy hollow ni mambo ambayo yalitokea marekani kipindi cha nyuma huko amerikaKna series moja ya kimarekani inaitwa 'sleepy hollow 'hii movie naona ina uhalisia kbsa na maisha ytu
Asante kwa Uzi mzuri mkuuuuuu.
Apa ndo nmepata picha ,,nikwann Màrekan imeanza kufanyia uchunguzi Vina Saba vya warusi.....nakwann Putin ametoa Onyo kwawanchi wake juuu yahuo mchezo!!!!.
Asante sana .