Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee jengua ndo mtoto wa jb eti!
khaaa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee jengua ndo mtoto wa jb eti!
khaaa..
biashara matangazo.🏃🏃I think Loko Motion, pamoja na kuwa wanafanya short films za YouTube wana asilimia kubwa sana ya kufanya mapinduzi kwenye hii sekta ya filamu.
Idris popote ulipo keep working, bro. I know s/thing extraordinary is comin'
Upangiliaji wa stories. Matukio yapo vizuri... Wahusika wanauvaa uhusika haswa! Kama mtazamaji ulikua hutaki kucheka unajikuta unacheka. Huna mood ya kulia unajikuta unalia.
MauFundi pia (Fundi TV) na hizi episode zake tatu latest kwenye YouTube yake zimeniacha nacheka sana.! I believe it's a matter of time, tutaona maajabu.