Filamu za Bongo bado

Filamu za Bongo bado

Mnapoona movie za mbele zikiisha zinadisplay majina ya washiriki na wadhamini nusu saa nzima unadhan mchezo

Sent from my I phone
 
I think Loko Motion, pamoja na kuwa wanafanya short films za YouTube wana asilimia kubwa sana ya kufanya mapinduzi kwenye hii sekta ya filamu.
Idris popote ulipo keep working, bro. I know s/thing extraordinary is comin'

Upangiliaji wa stories. Matukio yapo vizuri... Wahusika wanauvaa uhusika haswa! Kama mtazamaji ulikua hutaki kucheka unajikuta unacheka. Huna mood ya kulia unajikuta unalia.

MauFundi pia (Fundi TV) na hizi episode zake tatu latest kwenye YouTube yake zimeniacha nacheka sana.! I believe it's a matter of time, tutaona maajabu.
biashara matangazo.🏃🏃
 
Back
Top Bottom