Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Filikujombe, Kangi Lugola na Esther Bulaya ni majembe yaliyopo ccm kwa bahati mbaya
Mkuu Kapoloto, kuna kitu kinaitwa pseudo insanity kinachosababishwa na group mentality, ambapo mtu anapata insanity ya muda kutokana na group influence hivyo kuwa kichaa kwa muda tuu, mfano watu wapompiga mwizi wa kuku hadi kumuua binadamu mwenzao, kisa kaiba kuku tuu wa TZS.10,000/=!, au kummwagia mafuta na kumchoma moto binadamu mwenzao for whatever reason, watu hao wanakuwa ni vichaa wa muda!.Mkuu Pasco nimemsikia Edward Lowassa nae akisema ndiyoooo, kumbe nae ni imbecile, insane. Bado utaendelea kutushawishi tumpe kura yetu
This is the first time in history, Bunge letu Maalum la Katiba linapiga kura kwa aina mbili kuunga mkono kanuni kituko cha mwaka kuliruhusu bunge hilo kupiga kura za siri na wazi kwa wakati mmoja!. Hiki sio tuu ni kioja cha mwaka bali pia ni kituko cha karne na kubwa kulio kumbe Wabunge Wasio Timamu kwenye Bunge hilo Maalum la Katiba Ni Wengi Kuliko Hata nilivyowadhania mwanzo!.
Mtu mzima mwenye akili zako timamu, unawezaje kupiga kura ya ndio kuusupport upuuzi huo?!. Angalau Deo Filikunjombe sii mmoja wa hawa wasio Timamu!
Kiukweli Mhe, Samuel Sitta amenidisapoint hakuna mfano!.I had very high hopes on him with great expectations, now, the Great man is hopeless and a total failure!.
Wote mliokuwa na matumaini ya kupatikana "Katiba Bora", subirieni "Bora Katiba!".
Uliona wapi kura ya siri mtu akatajwa jina?!.
NB. Kutokuwa Timamu, hakumaanishi ni vichaa au wana wazimu,insanity pia imo, imbecile pia imo, na sio vichaa wote ni mpaka waokote makopo!.
Pasco
hubby Asprin uje uniambie kama na wewe una vimada NbC nisepe zangu mie!Habari zimeenea kuwa jamaa alikuwa na vimada kibao na alikuwa anampiga sana mkewe kiasi cha kutaka kukimbia ndoa hiyo. Pale NBC makao makuu alikuwa na vimada wawili na wengineo. Duh, mtu akiondoka watu ndo wanaanza kuneneza habari za mtu, mbayaaaa!