Filisika tujue tabia ya mkeo

Filisika tujue tabia ya mkeo

Pole mtoa mada.

Kiuhalisia hakuna mwanamke anaependa kuishi maisha ya shida. Hivyo mume unapoyumba kiuchumi, mabadiliko ya kitabia ya mkeo lazima ukutane nayo. Ni wanawake wachache sana wanaweza kuwa wavumilivu.
Kongole nyingi kwa mke wangu,

Kutoka kwenye kuvumilia chumba chenye mchanga mpaka kwenye chumba chenye zege kwa juu.. Mungu akutunze
 
Na bado siku ukijenga hekalu utaona hana hadhi ya kukaa na wewe, unapiga chini unaingiza katoto kabichiii katoto namba D!!!!
 
Pole mtoa mada.

Kiuhalisia hakuna mwanamke anaependa kuishi maisha ya shida. Hivyo mume unapoyumba kiuchumi, mabadiliko ya kitabia ya mkeo lazima ukutane nayo. Ni wanawake wachache sana wanaweza kuwa wavumilivu.
Yawe yamemkuta nae...ndo atavumilia coz kaonja hiyo pinch

Hivi hivi no
 
Back
Top Bottom