Final: USA vs Brazil FIFA Confederation Cup 2009

Final: USA vs Brazil FIFA Confederation Cup 2009

Dakika ya 45,

Brazil 0 - USA 2

Imeongezwa dakika 1 kwenda mapumziko
 
Half time hiyo...bado mnategemea Brazil kurudisha?
 
Dah, ama kweli cha ndimu kinadunda.......Brazil wanahaha kama mbweha..
 
Kakijana kadogo ka ki-Ghana kalikochezea USA kaliishia wapi?

Kalikuja na moto!
 
Huyu Dunga amemdharau Gaucho, angemsaidia sana leo.
 
kurudi anaweza brazil sema bado naona usa wataendelea kujituma.

Kama mnavyosema mpira unadunda ila kumbuka US nao watataka kuongeza, angalau Brazil wamecheza vizuri kuliko mechi yao iliyopita. Ramires akirudishwa kipindi cha pili watakuwa wamejichimbia kaburi.

Freddie Adu hapati number hapo, mwache asugue benchi.
 
Invisible, nilikwambia Brazil waksihangaa wanachapwa la pili hahaha ata dakika kumi hazikuisha wakatengenezwa.
Mkuu ndipo nilisema 'Experience the difference' (msemo wa VodaCom)... Kile ambacho hakitarajiwi ndicho kinaonekana katika soka hili...
 
Back
Top Bottom