Finally Bongo Movies Kwenda International!!!!!!!!!! Richard Mzirayi na Mkewe Wawekeza Mpunga Mnene!!

Wanajishaua tu ukoo wa wabeba sembe huo...si wanashinda catalunya mwenge kwa mjomba yao mbeba sembe maarufu...yetu machoo
 
wangemtoa uyo mawe wamuweke monalisa,lile jembe sana na yupo kikazi zaidi
 
nilidhani wanawekeza kwenye tuzo na miundombinu kumbe ni kwenye kuigiza? Simply hakuna jipya sana
 
From actors of this calibre: Marlon Brando, Clint Eastwood, Denzel Washngton, Brad pitt, Matt Damon, Bruce Wills, Cage Nicolas, De Niro Robert, Arnold Schwarznigger, Christian Bale etc. then Watchin the likes of Godfather, Curious case of Benjamin Buttons, Flight, Training day, Act of Valor, Tears of the Sun, Argo, Public Enemies alafu suddenly uniwekee Bongo Movie.!!!!!!!! Acha ninyamaze tu siku iishe vzur.
 
Ni habari nzuri sana ila nina wasiwasi na ukweli wake.

Huyu Cynthia na Mumewe na mdogo wao Mike wameshamaliza kesi yao kwanza kule marekani? Maana habari zilizopo ni kuwa kuna matukio ya wizi yalitokea marekani yakiwahusisha wao kama wahusika wakuu. Na FBI wanawatafuta sasa leo hii wanafanya kazi na kampuni ya US napata tabu kuelewa ukweli wa habari hii. Hata hivyo huwezi jua pengine ni kweli ila nikuulize Lara wamemaliza kesi yao na FBI????
 
Movie zenyewe ni maigizo matupu, movie inaandaliwa mwezi mmoja hakuna maandalizi yoyote wala utafiti wa maana unaofanyika.
Sasa wasipoigiza wataifanyaje hiyo movie?
 
Naona mnapotosha watu kusema anaishi kwenye hekalu lake nyumba ka kodi na mwenye nyumba namjua vizuri hata mkitaka cont zake nitawapa
 
Naona mnapotosha watu kusema anaishi kwenye hekalu lake nyumba ka kodi na mwenye nyumba namjua vizuri hata mkitaka cont zake nitawapa

Kila mtu anajua ule ni mhekalu wao bwana.
Wamekuja na mihela yasiyohesabika kutoka kwa Obama.
Tena nasikia Mwanza Cynthia anaporomsha ghorofa lingine la hatari lile la mbezi beach cha mtoto.
 
Alikua kwenye videoo ya kina rick ross??nyimbo ipi niingalie au uturushie hapa tuione
 
Queen cake usilolijua litakusumbua hiyo ndio habari ya mjini kiama kipo karibu mwenye nyumba akitaka nyumba yake utaisoma kwenye magazeti ndio utajua ukweli
 
Kibongo bongo wakinipa TZS 5 million naweza kuwaandikia Script iliyoenda shule; najua Kibongo bongo itanichukua about three months kumaliza kazi! Kinyume chake, hata wakichukua waigizaji wote kutoka Hollywood, tena A-List Actors, lakini wakiwa na script mbovu na movie itakuwa mbovu tu unless Director afanye kazi ya ziada kufumua script mzima na kufanya rewriting.
 
Kila mtu anajua ule ni mhekalu wao bwana.
Wamekuja na mihela yasiyohesabika kutoka kwa Obama.
Tena nasikia Mwanza Cynthia anaporomsha ghorofa lingine la hatari lile la mbezi beach cha mtoto.
queenkami, mpunga wa x-mass wapi?!
 
Last edited by a moderator:
Queen cake usilolijua litakusumbua hiyo ndio habari ya mjini kiama kipo karibu mwenye nyumba akitaka nyumba yake utaisoma kwenye magazeti ndio utajua ukweli

haya ni mapya kwangu.
mwenzio najua ni gorofa lao.
Ila hata kama wamepangisha bado ni kwao as long as kodi si tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…