Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,257
- 3,905
We tajiri oa na kuoa tu 800,000 ni mtaji mkubwa katika nchi hi ya wanyonge.Nilikuwa ninakaa kwa baba mkubwa sasa nimeondoka nimerudi ktk maisha ya kujitegemea nikiwa mfukoni Nina laki 8 ambayo amenipa kama hela ya kuanzia maisha....
Asante sana ndo nimeanza upya safariPole na hongera sana
Acha niweke mambo sawa nijipange na ndoaWe tajiri oa na kuoa tu 800,000 nimtaji mkubwa katika nchi hi ya wanyonge.
Kuoa tena?!!We tajiri oa na kuoa tu 800,000 nimtaji mkubwa katika nchi hi ya wanyonge.
Unalialia sana, utaolewa Dar hii.Nilikuwa ninakaa kwa baba mkubwa sasa nimeondoka nimerudi ktk maisha ya kujitegemea nikiwa mfukoni Nina laki 8 ambayo amenipa kama hela ya kuanzia maisha
Na kuhusu hela ya kodi nashukuru kuna mwana JF amejitolea kunilipia chumba laki na 80 miezi sita chumba kipo Tabata mawenzi
Hivyo naombeni maombi yenu wana JF nimeanza upya maisha, kama kuna ushauri au maoni naombeni mnisaidie nimeanza upya safari.
We huwezi kuja kuoa na kustick na ndoa yako...kama unayoandika hapa yana ukweli....huna akili ya kijituma..ndoa itakushinda mapema...labda ukitaka istick oa mwanamke mpambanaji sana..ukioa mkr anayesubiria kuachiwa hela kila siku ndoa chali...Acha niweke mambo sawa nijipange na ndoa
Asante sana mkaruka nimetoka kuandika sec hayaUnalialia sana, utaolewa Dar hii.
Hii ni aibu kwa Mwanamume timamu.
Usifunge ndoa vuta wa ku vuta tu kwanza ukisema kuoa rasimi hiyo 800k inaisha faster.Acha niweke mambo sawa nijipange na ndoa
Hawezi huyo...ila angekuwa ni ke tena awe ana majukumu angepaa nayo mdogo mdogo...! Wanawake wana akili fulani za ajabu sana ...Kusema ukweri wa nafsi yangu naona kama itaenda kukushinda!!
Sisemei vibaya hapana ila mala nyingi uchungu wa kitu anaujua anekitafuta!
UMEPEWA LAKI8
BADO UMEPEWA NA KODI!
Mkuu hapo unahitaji zaidi ya nidhamu ili utoboe
Ione hiyo pesa kama ni a pointof no return
Yaani ione kama dhahabu hivi
Itumie kwa mambo ya msingi na mambo hayo yawe yakuzalishia
Kwasababu sijajua kama una kazi au lah!
Nilikuwa ninakaa kwa baba mkubwa sasa nimeondoka nimerudi ktk maisha ya kujitegemea nikiwa mfukoni Nina laki 8 ambayo amenipa kama hela ya kuanzia maisha
Na kuhusu hela ya kodi nashukuru kuna mwana JF amejitolea kunilipia chumba laki na 80 miezi sita chumba kipo Tabata mawenzi
Hivyo naombeni maombi yenu wana JF nimeanza upya maisha, kama kuna ushauri au maoni naombeni mnisaidie nimeanza upya safari.
OyaaaNilikuwa ninakaa kwa baba mkubwa sasa nimeondoka nimerudi ktk maisha ya kujitegemea nikiwa mfukoni Nina laki 8 ambayo amenipa kama hela ya kuanzia maisha
Na kuhusu hela ya kodi nashukuru kuna mwana JF amejitolea kunilipia chumba laki na 80 miezi sita chumba kipo Tabata mawenzi
Hivyo naombeni maombi yenu wana JF nimeanza upya maisha, kama kuna ushauri au maoni naombeni mnisaidie nimeanza upya safari.
Nilikuwa ninakaa kwa baba mkubwa sasa nimeondoka nimerudi ktk maisha ya kujitegemea nikiwa mfukoni Nina laki 8 ambayo amenipa kama hela ya kuanzia maisha
Na kuhusu hela ya kodi nashukuru kuna mwana JF amejitolea kunilipia chumba laki na 80 miezi sita chumba kipo Tabata mawenzi
Hivyo naombeni maombi yenu wana JF nimeanza upya maisha, kama kuna ushauri au maoni naombeni mnisaidie nimeanza upya safari.
Awe na kazi asiwe na kazi kitendo cha kupewa 8kilos kwa mtu anaejitambua anatoboa,but I can see hajazoea huyu kaka maisha ya kujitafutia kazoea kupewa kila kitu bamkubwa anamfunza maisha anaona anaonewa loooh!!!Kusema ukweri wa nafsi yangu naona kama itaenda kukushinda!!