Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,375
- 56,096
Wa kishua dogo ugali mboga nane!Hongera sana mkuu[emoji1787][emoji1787], Wengine maisha tumeanzia hostel za UDOM. Yaan ukiwa tu na mshikaji kule huwez kosa pa kulala jioni baada ya kazi.
@Walec share ile link hapa janaa yetu asome mtililiko
Wakina @kelphin kepph tulilalia mkeka wew una laki nane!!![emoji23][emoji23]