Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Nilitaka kusrma hvyo nikaogopa anti- single mama watajaa hapa...Tena ukiwa na mtoto ndo kabisa..akili inafanya kazi 2×
Nilitaka kusrma hvyo nikaogopa anti- single mama watajaa hapa...Tena ukiwa na mtoto ndo kabisa..akili inafanya kazi 2×
Nami nichukue ngapi?!!Ok,nenda pale makuru butcher uchukue nyama kilo 2,nikitoka church ntakuja kulipia mkuu,. Sunday offer..
Mi ke dogoMkuu kabla ya kurudi home kwa baba mkubwa nilikuwa nina maisha yangu Ila nilivyorudi kwa bab mkubwa baada ya life kunipiga
Nashukuru sana broo
Asante kwa ushauli wako mzuri sana kwa sasa sina kazi wala biashara ya kuniingizia kipato ndo naaanza upya Ila kabla ya hapo nilikuwa kiwanda cha OK plastic vingunguti kwa siku nilikuwa napokea elfu 5 kama kibarua ila saivi pamefungwa kibarua nikawa sina nikajikuta narudi nyumbani
Ona, dingi kampa 800k, msamaria kajitolea 180k *6months. Ñingetafuta chumba cha 80k then 100kx6 + 800k ningekuwa na 1,400k.
Ningeanzia hapo...kuna nyakati mambo yakiwa magumu unashuka chini uanze upya tu.
Nadhan mmechanganya anamaanisha 180k hiyo ni kodi ya 6months ,means 30k per monthVyuma vilivyokaza hata cha 50k angepata cha kumfaa, aweke akiba ya 20 000 maji na umeme na taka kwa mwezi takataka. Budget ya chakula, bundles, na nauli ya mizunguko vyote vingeingia kwenye ile 180 000
Kuanza maisha sio kumalizia maisha
Ushauri mzuri mno.Pole na hongera.
Hiyo laki nane si hela nyingi.
1: Usikimbile suala la kuoa
2: Nusu ya hiyo hela ichukulie kama mtaji. Angalia kwa eneo ulilopo, unaweza kufanya nini kikakuingizia pesa kidogokidogo. Jifunze kwa yeyote anaefanya vizuri. Weka mtaji wako nusu 200,000/=, wakati hiyo nyingine 200, 000/= ukiangalia mwenendo wa kazi yako. Ukiona inakwenda vyema, utaongeza mtaji kwa kadri.
3: Hiyo 400,000/=, 150,000/= nunua mahitaji mhimu ya maisha. Hasa chakula, luku na maji kama ni ya kulipia ili vitoshe kwa miezi mitatu hata minne. 50,000/= vitu vidogovidogo utakavyohitaji kwa kila siku.
200,000/= iweke kama akiba yako. Utaipunguza pale ambapo kuna suala la muhimu kweli.
4: Kuwa na nidhamu ya matumizi ya hela uliyonayo kama vile ukijua kuna siku ngumu zinakuja mbele. Nunua kitu ambacho ni muhimu na kinahitajika kweli kwenye maisha yako.
5: Weka kumbukumbu ya kila unachokifanya kwa pesa yako.
6: Ukipita kwa kiasi humo, kufeli au kufanikiwa kwako hautaulaumu sana utendaji wako binafsi.
7: Tafakali kwa kina na tahadhali kwa kila utapohitaji kutumia hela yako.
Miaka 35 ndo unaanza maisha bdo ujachelewa mkuuNilikuwa ninakaa kwa baba mkubwa sasa nimeondoka nimerudi ktk maisha ya kujitegemea nikiwa mfukoni Nina laki 8 ambayo amenipa kama hela ya kuanzia maisha
Na kuhusu hela ya kodi nashukuru kuna mwana JF amejitolea kunilipia chumba laki na 80 miezi sita chumba kipo Tabata mawenzi
Hivyo naombeni maombi yenu wana JF nimeanza upya maisha, kama kuna ushauri au maoni naombeni mnisaidie nimeanza upya safari.
Huenda mkuu, kusoma juu juu[emoji23] ngoja aje afafanueNadhan mmechanganya anamaanisha 180k hiyo ni kodi ya 6months ,means 30k per month
Wewe chagua kama ni maini, nyama au utumbo..kg 3😊Nami nichukue ngapi?!!
Maini mama ila ntumie ninunue huku huku[emoji3][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Wewe chagua kama ni maini, nyama au utumbo..kg 3[emoji4]
😅😅😅Hujaancha tuu ujanja wako..?Maini mama ila ntumie ninunue huku huku[emoji3][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]looh!ujanja upi tenaa?!Dada tushakubaliana kua mimi ni mpooolee[emoji28][emoji28][emoji28]Hujaancha tuu ujanja wako..?
Assuubuutu,.we usijali na hiki kimvua cha leo ngoja Shunie atakupitishia hapo anaenda airport mida ya saa tano asbh leo....😍[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]looh!ujanja upi tenaa?!Dada tushakubaliana kua mimi ni mpooolee
Nyingi sana hiyo kama una Godoro la kulalia na jikoNilikuwa ninakaa kwa baba mkubwa sasa nimeondoka nimerudi ktk maisha ya kujitegemea nikiwa mfukoni Nina laki 8 ambayo amenipa kama hela ya kuanzia maisha
Na kuhusu hela ya kodi nashukuru kuna mwana JF amejitolea kunilipia chumba laki na 80 miezi sita chumba kipo Tabata mawenzi
Hivyo naombeni maombi yenu wana JF nimeanza upya maisha, kama kuna ushauri au maoni naombeni mnisaidie nimeanza upya safari.
Wee!huyo shunie anaelalama baridi Leo hatoki!we Fanya kwa airtel tu mambo yaishee!!![emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Assuubuutu,.we usijali na hiki kimvua cha leo ngoja Shunie atakupitishia hapo anaenda airport mida ya saa tano asbh leo....[emoji7]
Ni ya miezi kadhaa hiyo...siyo mmoja nadhani.Ningekuwa wewe nisingekubali chumba 180k p/m, nyingi sana hiyo hela. Kwa 50k hadi 80k unapata chumba safi kabisa, hiyo 100k X 6months unaiingiza biasharani. Yani nisingetafuta chumba zaidi ya 360k kwa miezi sita.
Well, kila la heri. Maisha ni mapambano.
Hee kandanganya kumbeee,..basi ngoja nipitie kwa wakala mwaya,.💃💃Wee!huyo shunie anaelalama baridi Leo hatoki!we Fanya kwa airtel tu mambo yaishee!!![emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]