Finally naanza upya maisha ya kujitegemea nikiwa mfukoni nina laki 8 tuu

Finally naanza upya maisha ya kujitegemea nikiwa mfukoni nina laki 8 tuu

Mie nilivyomaliza chuo, nyumbani niliondoka na kitanda na godoro tu. Hata hela ya code sikuwa nayo. Kuna mshkaji alikuwa na kodi ya miezi 6 ndio akalipa vyumba viwili miezi mitatu.

So nilikuwa na miezi miwili tu ya kutake off ili niweze kujichanga na kupata hela ya kulipia miezi mitatu vyumba viwili. Mwanzo huwa ni mgumu but ukijipanga fresh, utatoboa.
 
Nilikuwa ninakaa kwa baba mkubwa sasa nimeondoka nimerudi ktk maisha ya kujitegemea nikiwa mfukoni Nina laki 8 ambayo amenipa kama hela ya kuanzia maisha

Na kuhusu hela ya kodi nashukuru kuna mwana JF amejitolea kunilipia chumba laki na 80 miezi sita chumba kipo Tabata mawenzi

Hivyo naombeni maombi yenu wana JF nimeanza upya maisha, kama kuna ushauri au maoni naombeni mnisaidie nimeanza upya safari.
kwa mara ya kwanza unaenda kuwa na uhuru wako unakula unachotaka ukumbuke kwenda kanisani mkuu nunua unga mchele mafuta na jiko la gesi vitakusaidia siku ukifulia
 
We huwezi kuja kuoa na kustick na ndoa yako...kama unayoandika hapa yana ukweli....huna akili ya kijituma..ndoa itakushinda mapema...labda ukitaka istick oa mwanamke mpambanaji sana..ukioa mkr anayesubiria kuachiwa hela kila siku ndoa chali...
So atakuwa anapeleka shida za kifamilia kwa dada zake au anamwambia mkwe naomba hela ya kula
 
Tusikuone mwezi wa 10 humu, ukija na swaga za kodi imeisha nafukuzwa na mwenye nyumba.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Bora yako umeanza na kulipiwa kodi na pesa laki nane.
Mm nilianza na nilienda mkoa mwingine baada ya kulipia chumba kwa miezi 3 kwa 45,000 nikabakiwa na 2000 tu. Jiulize mtiti wake. Hela zikiisha ndiyo utajua hela zinatafutwaje. Utafanya kazi hadi za malipo ya 1000.
USIBAGUE KAZI ILI MRADI IWE YA HALALI
Acha niweke mambo sawa nijipange na ndoa
 
Yupo jamaa mmoja tumeoa nyumba moja, akamwambia mkwe naomba unitafutie kiwanja nimshawishi wife tujenge maana kuna matofali aliyaacha marehemu baba yake site atayatumia
Mie niliwah ona men anakopa ukwen hajawah rudishaga helanhad wa leo🤣🤣..imagine sasanhuyu atataka nan ampe heshima.hata ukwen aliachaga kwenda😅🤣🤣...pyeee
 
Bora yako umeanza na kulipiwa kodi na pesa laki nane.
Mm nilianza na nilienda mkoa mwingine baada ya kulipia chumba kwa miezi 3 kwa 45,000 nikabakiwa na 2000 tu. Jiulize mtiti wake. Hela zikiisha ndiyo utajua hela zinatafutwaje. Utafanya kazi hadi za malipo ya 1000.
Na huo ndo UNAUME!....mwanaume dizainu hii mie hata iweje nitakuheshimu balaa ..yaan hata familia yako utaisimamia barabara....respect...sio kila ukisikiliza simu za mwanaume analia lia tu .yaan analia utadhan anajidangisha
 
Kama una 800k cash fanya biashara hii
Maana mwaka juzi nimepitia situation kama yako sema wewe una backup ambae ni bamdogo mimi nilikuwa solo

Cha kufanya amka asubuhi na mapema anza kuzunguka kwenye masoko mfano ilala ,buguruni,tandika etc hata pale nyuma ya sim2000 kuna soko la ndizi
Tafuta madalali wanao kodisha meza,vizimba vya biashara ,utawapataje? nenda ulizia hao hao wafanyabiashara watakupa information zote,

Ukipata sehemu, mfano mimi nilipata pale ilala per day nilikuwa nalipa 1000 ya meza na ushuru wa soko 200.
Kwa huo mtaji wewe ni don kabisa maana unaweza kuuza
Mchele, maharage, tangawizi,karoti,vitungu swahumu,maji,pilipili hoho, nazi, maharage machanga, nyanya, machungwa,ndizi, maembe, matango, ukwaju ndimu.
Mpaka naondoka gunia la vitunguu maji kilo 100 tulikuwa tunanunua @90000-10000
Viazi@110000
Mchele@140000-180000
Karoti kiroba @50000
Hoho @50000
Nazi 300 unauza 500
Haya bado vitu vidogo vidogo kama pilipili,nyanya Chungu,matunda bei huwa chini kidogo,.Sasa ukipiga hesabu hiyo 800k ni pesa ya gunia sii chini ya 7.

Mimi nilianza na 300k karoti viroba 2, Tangawizi gunia 1,mzani tafuta ule mdogo kabisa wakushikilia mkononi nadhani ni 27k kkoo,sema nini Dar es salaam kuna biashara ukipatia eneo zuri hata uuze sijui nini watu wananunua tu regardless ni badic need.
 
Na huo ndo UNAUME!....mwanaume dizainu hii mie hata iweje nitakuheshimu balaa ..yaan hata familia yako utaisimamia barabara....respect...sio kila ukisikiliza simu za mwanaume analia lia tu .yaan analia utadhan anajidangisha
Hayo sio maisha bwana[emoji23] wewe useme unyonge wetu inabidi mtu aanze hivyo, Ila ukweli ni kuwa mtu ana haki ya kuanza maisha vizuri na kufurahia kuishi.

Ugumu wa maisha na umasikini wetu isiwe sababu ya kumuona aliyeanza hivyo kuwa kidume zaidi ya kina wangari walioanza kwenye two-bedroom apartment [emoji39]
 
Eli...hapa tunaongelea in general huyu anaishi popote pale best ....mfano Mungu hajakubariki ukaanzia maisja mazuri utafanya nn uchomoke huko kwenye ufukara? Yaan hapa tunaongelea kutoka kweny comfort zone.......mie sijaanzia maisha mazuri kivile bt sijawah kupanga single room
 
Back
Top Bottom