Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Kama una 800k cash fanya biashara hii
Maana mwaka juzi nimepitia situation kama yako sema wewe una backup ambae ni bamdogo mimi nilikuwa solo
Cha kufanya amka asubuhi na mapema anza kuzunguka kwenye masoko mfano ilala ,buguruni,tandika etc hata pale nyuma ya sim2000 kuna soko la ndizi
Tafuta madalali wanao kodisha meza,vizimba vya biashara ,utawapataje? nenda ulizia hao hao wafanyabiashara watakupa information zote,
Ukipata sehemu, mfano mimi nilipata pale ilala per day nilikuwa nalipa 1000 ya meza na ushuru wa soko 200.
Kwa huo mtaji wewe ni don kabisa maana unaweza kuuza
Mchele, maharage, tangawizi,karoti,vitungu swahumu,maji,pilipili hoho, nazi, maharage machanga, nyanya, machungwa,ndizi, maembe, matango, ukwaju ndimu.
Mpaka naondoka gunia la vitunguu maji kilo 100 tulikuwa tunanunua @90000-10000
Viazi@110000
Mchele@140000-180000
Karoti kiroba @50000
Hoho @50000
Nazi 300 unauza 500
Haya bado vitu vidogo vidogo kama pilipili,nyanya Chungu,matunda bei huwa chini kidogo,.Sasa ukipiga hesabu hiyo 800k ni pesa ya gunia sii chini ya 7.
Mimi nilianza na 300k karoti viroba 2, Tangawizi gunia 1,mzani tafuta ule mdogo kabisa wakushikilia mkononi nadhani ni 27k kkoo,sema nini Dar es salaam kuna biashara ukipatia eneo zuri hata uuze sijui nini watu wananunua tu regardless ni badic need.
Ingekua mimi ningemshauri atoke dar aende visiwani akakusanye samak au dagaa akaushe alete mjini..kifupi ajitupe visiwani mazima..asipoudoble mtaji in a 3mths bas tena!