Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
noted.....nxt tym sitaku-mention,samahani 4 that....asantehongera Mungu akupe kile alichoomba toka kwake kila la kheri, ila sijafurahishwa kunimention hapo, sijui kwanini umefanya hivyo lakiini yote ni kheri ondoa shaka kwa hilo
ubarikiwe
Age 18-22(naamini wapo humu JF).Ningependelea zaidi kama atakuwa na account ya facebook/myspace,awe ananitumia text na kuongea na mimi kwenye simu daily.good personality na ambaye atakuwa interested na mimi.
Awe anaishi karibu na mimi(sitapendelea awe anaishi mbali sana na mimi)
Saasaaaaa!!!! snochet..............vipi bana, mbona unaweaka masharti kabla ya kumpata.
Ulitakiwa uwasiliane na sisi kaka zako kwanza tukushauri.....!!
Unataka yeye aongee na wewe deile, au wewe uongee nae deile?
Unataka yeye akae karibu na wewe au wewe ukae karibu na yeye? Na kwa nini......ili uwee kwenda kula dudu kirahisi rahisi bila kuingia gharama kubwa au?
CC: @AshaDii
snochet ni mdogo wangu na rafiki yangu wa karibu sana. I am sure he will make his friend/girlfriend a happy woman. He is a VERY sensitive person, available and ready to help. He is honest and he holds values that most of us would want to see in a brother/a man. He is moderate in most of his believes and quite open to different thinking. He is curious and tolerant. He is very smart and holds structured arguments in his discussions with me, which makes him one of the best companies I have. Tunapishana kwa dini na siasa but this has never been a problem and far from dividing us it has helped me understand better christianity and Chadema. Likewise, na yeye amegundua mengi kupitia maongezi yetu.
Although we don't live in the same town we communicate very often. I really hope he will find a girl who deserves him. Good luck hun, I am sure atajitokeza mmoja atakae meet expectations zako.

U can PM me kwa jambo jingine,ila for this thread naomba wawe kwenye hiyo range ya 18-22
Yaani kwa jinsi ulivyommwagia sifa, akyanani umenitamanisha
Mhusika, naweza punguza umri kidogo??
:A S-heart-2: kweli kabisa sifa zingine zote nnazo ila kaumri ni bi.kidude kwa mbali :dizzy::lying:
referee @work ... good RECCOMENDATION!
Kwa kweli huyu mdogo wangu ni Premium quality. nimekutana na wachache sana kama yeye. I mean every word I wrote and we have discussed often about the type of women he likes. Kilicho ni-surprise zaidi ni kua he is not very restrictive in his criteria kama vijana wengine wa umri wake. He wants to be surprised too, of course. Ni zile criteria za kawaida tu. Did I mention he was generous? the type that believes there is more pleasure in giving than receiving.
I am very good:wink:
Umri tu ndio unanitatiza, daym stone age.
Anaonekana honest kwa sentensi hii
" Mengineyo:
I am too young kuwa mume kwa sasa.tutaanza kama marafiki,na kama wote tuta-qualify kwa pande zote mbili,we can move on kwenye hatua zingine."
Wachache sana watasema hilo.