ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
ilikuwepo hapo juu,nimeshaitoa
Sasa mbona unnamchanganya? we si ulisema huoni kwanini amekutaja? sasa anatoa unataka arudishe? jibu swali hili: Unamkubali snochet kama member wa familia yako hapa JF? (Yes I do au No I don't, lol)aliyekwambia uitoe ni nani naomba uiweke haraka iwezekanavyo kabla sijakuchulia sheria , katika kifungu no.5 ibara ya 50 fanya haraka kurudisha hapohapo ulipokuwa haraka tena sasa, nisije unda TUME hapa
Teh teh..Hii avatar hii!! Haya nimekusikia.
Sasa mbona unnamchanganya? we si ulisema huoni kwanini amekutaja? sasa anatoa unataka arudishe? jibu swali hili: Unamkubali snochet kama member wa familia yako hapa JF? (Yes I do au No I don't, lol)
Ila sasa wewe na shem mkikosana siwezi kua na confidence ya kukusemea maana makosa yanaweza kua kwako kiukweli. lol
Makofi kwako tafadhali......:A S 41:snochet ni mdogo wangu na rafiki yangu wa karibu sana. I am sure he will make his friend/girlfriend a happy woman. He is a VERY sensitive person, available and ready to help. He is honest and he holds values that most of us would want to see in a brother/a man. He is moderate in most of his believes and quite open to different thinking. He is curious and tolerant. He is very smart and holds structured arguments in his discussions with me, which makes him one of the best companies I have. Tunapishana kwa dini na siasa but this has never been a problem and far from dividing us it has helped me understand better christianity and Chadema. Likewise, na yeye amegundua mengi kupitia maongezi yetu.
Although we don't live in the same town we communicate very often. I really hope he will find a girl who deserves him. Good luck hun, I am sure atajitokeza mmoja atakae meet expectations zako.
Mimi sina macho? hii avatar imekutoa sio siri. Jiandae kwa PMs tu maana humu people identify members with their avatars. lol
Ipo siku atachoka kiukweli, kazi yako. ha ha haHa ha ha ha! Kama ulijua vile! Nikikaa mwezi mzima bila ya kumtibua anaboreka.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sasa basi kauli yako ya kwanza kabisa ilikua sahihi, you don't have to be on that list, na ndio maana amekutoaNo! I don't
Saasaaaaa!!!! snochet..............vipi bana, mbona unaweaka masharti kabla ya kumpata.
Ulitakiwa uwasiliane na sisi kaka zako kwanza tukushauri.....!!
Unataka yeye aongee na wewe deile, au wewe uongee nae deile?
Unataka yeye akae karibu na wewe au wewe ukae karibu na yeye? Na kwa nini......ili uwee kwenda kula dudu kirahisi rahisi bila kuingia gharama kubwa au?
CC: AshaDii
Una umri gani hivi? Maana kiziwizi kikubwa hapa ni umri, my brother is very young.
Hahahaha umenikumbusha mbaaaaali sana.
Una umri gani hivi? Maana kiziwizi kikubwa hapa ni umri, my brother is very young.
Hahahaha umenikumbusha mbaaaaali sana.
Hii ndio MMU Masalia sasa.
Hebu nibadilishie mwandiko huko. Mi pata tabu kusoma wewe......hivi.....unawezaje kucheka wakati mwenzio nipo serious nikitafuta mupenzi.......?