Finally,nimeamua kufunguka....

mara nyingi watu wanapenda mambo ya kijokejoke na kujinga wewe wape Neno la Mungu hapa au wape somo jema la maisha yao kama utawaona hakuna mtu, mwana si utaona hakuna hata aliyemchangiaji au naongopa Nicas Mtei best
 
Last edited by a moderator:
haa Mentor haaaa! ni lini nilikwambia utoe no yako ya simu kwa watu hasa hawa w......a......n....a.....w....a....k....e lini naomba tusikosane utanitambua leo home
Why not? Nimekupigia mara mbili kwa voda yangu hupokei (on your 601). Call me back when free. 🙂
 
Last edited by a moderator:
yani unafiikia hatua ya kunifanyia hivyo mpz, kwanini unatoa no yako kwa hawa watu W--A--N--A--W--A--K--E kwanini lakini uniheshimu wala kunijali kiasi hicho nimekukosea nini mpaka unanifanyia hivyo jamani, leo home patachimbika na lazima nawambia wakwe zangu kwani nimechoka na mambo yako nasema NIMECHOKA MIE nimekuvumilia sana kaka Erickb52 njoo unisaidie hapa
 
Last edited by a moderator:
asante kama utanisaidia nakuachia uzi huo fanyia kazi kaka yangu na ndo mana nasema kuwa wewe ni gwamahala
Haina haja ya kumuundia TUME huyo,mi mwenyewe tu namtosha as long as umeshanishtakia dada!
Relax...!
 
kaka Mentor,
Kwa namna moja au nyingine i am still exploring na nikaona sio jambo baya kama huku nijaribu pia.

George Edward Moore a philosopher amewahi kusema "A man travels the world in search of what he needs and returns home to find it.".....JF is one of my homes(home of great thinkers)......,i am here for that reason.

Oh no bro, u getting it all wrong n twisted...JF is travelling the world for you coz u get to be in Yaeda while still in Moshi...Home, according to the philosopher is Moshi for you.

IN OTHER NEWS: Roulette u got me there!!!:A S shade::shut-mouth:
 
Hahaha, JF is a family and you are my brother.
 
aisee kwahii cv..namimi nna bebifesi walai naenda kutengeza birth certificate mpya.. Tukishaoana tukitoka kanisani...Ndo namuambia ukweli nna 50's lol...Bytheway nna mdogo wangu kwakweli namshawishi aingie humu .. Ila atamsumbua sijui..maana hajaanza mapenzi na nimtundu sana ila she is a nice girl,cute,fun na bright..19yrs,in college. Uwii hii cv hakianani imenivutia..Mungu akupe wa ubavu wako,amen.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha...........

Au.........
Una maana

mechakaje comment yako na ladyfurahia
ha eti mie lijimama Boflo koma kunikomaza mi toto dogo hata ziwa halijaanguka sikumbuki mara ya mwisho kuvaa bra
Boflo we toa siri tu mbona sis hatujatoa zako??
 
Last edited by a moderator:
mechakaje comment yako na ladyfurahia
ha eti mie lijimama Boflo koma kunikomaza mi toto dogo hata ziwa halijaanguka sikumbuki mara ya mwisho kuvaa bra
Boflo we toa siri tu mbona sis hatujatoa zako??

Heeeee.... fidel81 hebu kuja pande hii.
The don want to see ya now now.
 
Last edited by a moderator:
seriously Roulette, siku nikiwa natafuta ajira nitakuomba unirecommendie...
 
Hahahaha... Swts, can u n I have a lil chat ?????:yo:
 
Last edited by a moderator:
Fanya mpango basi tuwaunganishe hawa wawili, it could be the next best couple in town bwana
 
seriously Roulette, siku nikiwa natafuta ajira nitakuomba unirecommendie...

Karibu sana ndugu yangu. I will be honored. Ila ndio tuanze kufahamiana mapema nisije nikakurecommand bila kukufaham.
 
Hahahaha... Swts, can u n I have a lil chat ?????:yo:

no Mentor nooooo....go to hell.........hahahah i want the cv man snochet...heheheh we cv yako ukiweka hapa..hupat mfuasi...hahah
 
Last edited by a moderator:
Ushampata uliyekuwa wamtafuta...hongera!!!

ningekuwa nahitaji ningeshamwambia niko na my husband Mentor kwanini nijichoshe na hako katoto kenye kuvalishwa pampers masaa yote, watu tuna watu siye au we unanionaje mie ha ha haaaaa
 
Last edited by a moderator:
Hahah...kaka mbona nipo kitambo tu ila hapa JF nilibatizwa February 2010...

Asprin hebu toa muongozo kwa hawa wakuu...

Hahaha hawa machalii yangu achana nayo kabisa.

Yakitia timu Leo Tupo hapa Pub stock ya vileo ya Mjeda itaisha.

Huyu Bigirita huyu anakunywa mayi kama Mamba. Ole wako pawe na mbuzi pembeni na baamedi mkali kama Joyce. Hatarudi nyumbani hiyo siku. Nyambaf zake na robo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…