Financial Education, hata Mabenki hawataki mteja aipate

Financial Education must address Spiritual, Psychological, Emotional, and Technical aspects of Wealth Management
 
Kwenye Mkopo kuna kitu kinaitwa Loan Insurance. Hii unailipia pale wakat wa kukopa pesa. Hii inakulinda ww wakat ukishindwa kulipa mkopo. Kwahyo bank wanatakiwa walipwe na hyo insurance na sio kuuza mali zako.
 
Kwenye Mkopo kuna kitu kinaitwa Loan Insurance. Hii unailipia pale wakat wa kukopa pesa. Hii inakulinda ww wakat ukishindwa kulipa mkopo. Kwahyo bank wanatakiwa walipwe na hyo insurance na sio kuuza mali zako.
Ule ni mkataba kati yako na insurance, Bank ni dalali. Una term and condition. Ukisoma ile policy utanielewa boss.
 
Ujuaji usio na maana!! kwaio wewe umeiona mikopo tu ndio watu wamekosa elimu!!

BAsi nikuongezeee watu wangekua na elimu hata hyo ccm isingekua madarakani Leo hii, hayo makanisa na misikiti ingefungwa Kwa kukosa sadaka,hata hii jf unayotolea mawazo Yako isingekuwa active,na hao wanakijiji mlioenda kuwapa elimu wangekua nayo msingeitajika huko nk
 
Last week my phone iliharibika....! Ndo lugha gani hii.....wanapenda sana kutumia vibinti vya chuo mwaka wa kwanza.....
 
Nayaraka wakati unaomba kadi hazielezi Makato, tena siku hizi kadi unaomba kupitia app hujazi chochote Zaid ya pin
 
Na hata simbanking, hawakwambii kiasi kilichobaki kwenye akaunti. Mpaka uulize ambapo nahisi kuna kiasi utahitaji kulipia, sio kama tigopesa and the like. Au ni akaunti yangu tu jamani
Simbanking kupitia app yao hawakati ila ukipitia zile ussd codes wanakata
 
Nayaraka wakati unaomba kadi hazielezi Makato, tena siku hizi kadi unaomba kupitia app hujazi chochote Zaid ya pin
Twende taratibu boss. Kadi yako ni ya akunti aina gani? Ulipofungua hiyo akaunt nyaraka za kufungulia hazikuwa na maelezo kuhusu kadi iwapo utaihitaji?
 
Hii mimi nilishaacha kuchukua risiti ila cha ajabu kila muamala wananitumia meseji ya salio, nataka siku nikiwa free nikachukue statement nione hizo meseji za salio wananikata au la, na kama wanakata watajua hawajui maana kawaida huwa napokea meseji ikisema tu nimetoa hela kiasi fulani, lakini baada ya kuacha kutoa risiti naanza kupokea meseji za salio kila nikitoa hela, nahisi kama wanafosi sana kukata salio check fees.
 
Kila mtu akiwa mjanja na kila mtu akawa na pesa nani afanye kazi kufanya uzalishaji nchi iende mbele?

Lazima wasiokua na pesa wawepo waajiriwe wajenge huduma na bidhaa nchi iende mbele

Sasa kila mtu awe na pesa,kila mtu awe tajiri,NANI AFANYE KAZI mtaroni nchi iwe safi?

Wasiokua na pesa wawe wengi ili kazi zifanyike nchi izalishe

Matajiri wawe wachache masikini wawe wengi ndio uchumi utafanya kazi otherwise hakuna atakaemuajiri mwenzie nani aende kazi kushika mavi nchi iende mbele?

Matajiri ni carefully selected na uchumi maana ni akili zao na survival of the fittest,nature inawachagua then tuwape resource ya fedha kama mkopo wao wabebe dhamana then waaajiri washenzi kama nyie mfanye kazi uzalishaji ufanyike

Wewe ni masikini huna uwezo wa kua na dhamana ila tajiri tunamtwisha huo mzigo wa dhamana tunampa hiyo hela kama mkopo asimamie uzalishaji kama kiranja,tukifaulu anavuna zaidi yetu na tukifeli anabeba dhamana yeye na wala sio sisi masikini,hivyo kaa kwa kutulia tayari masikini na tajiri tushawachambua kila mmoja kazi yake na wajibu wake na mshahara wake

Kama hamuwezi anzisheni mfumo mpya wa communism which will never work maana nature ya mwanadamu ni selfishness
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…