Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Mkuu unashindwa kuelewaFinancial Education must address Spiritual, Psychological, Emotional, and Technical aspects of Wealth Management
Benki sio mama yako
Bank is there to do business na ukifa ni ajali kazini kama zilivyo hospitali unaenda ukiumwa wanapiga hela na ukifa wanapiga hela
Wewe kama unaona kua tajiri unaumia sana acha kaa group la masikini na lalamika vizuri
Serikali,Banks na Matajiri wapo hapa kuwaendesha speed masikini mfanye kazi kwa jasho nchi iendelee
Serikali anaikopesha bank,bank anamkopesha tajiri anabeba dhamana then yeye anakuja kuwasimamia nyie masikini mnapigwa mijeledi uzalishaji ufanyike kwa hali na mali hela irudi apate yeye faida arudishe benki,benki apate interest yake na benki amrudishie BOT with interest
Matajiri mnaowalalamikia nao ni vidampa wa banks tu...na banks ni malaya wa serikali through BOT,mwisho wa yote shetani mkuu ni Benki Kuu yaani BOT maana mzizi wa hela ya kufanyia kazi locally inatoka pale kama mikopo kuja huku commercial banks watu wafanye kazi
Matajiri wanatombwa na mabenki kama wao wanavyowatomba nyie masikini...hakuna mwenye afadhali
Ukitaka kua trully independent uwe na kampuni multinational inayofanya biashara worldwide ndio utakwepa makucha ya shilingi za BOT lakini huwezi kwepa makucha ya Federal Reserve ya United States maana utakua una operate kwa USD huko duniani
Matajiri ni wapumbavu tu kama sisi wengine...japo wao wana afadhali zaidi ya masikini kimfumo