Yamungu Jeremiah
Member
- Jul 16, 2021
- 29
- 17
Binafsi nakuelewa sana Mkuu, but sadly, system haiko kamili. Mfumo wetu wa elimu unatoa base, then the rest linabaki kuwa jukumu la mtu mwenyewe.consultancy Firm hawatoi elimu ya oesa, elimu ya pesa inapatikana kwa kusoma kama tunavyo soma elimu za Mazingira, Afya, mambo ya Ukimwi na kadhalika. Elimu ya kifedha ni pana sana
Nikienda kwenye mada, kiuhalisia si jukumu la Bank na taasisi za kifedha kutoa elimu ya kifedha kwa wateja, bali ni jukumu la mteja/kutafuta kwanza maarifa juu ya service yoyote, si hizo za mabenki tu, kabla hajaingia kuitaka hiyo service.
Infact, mabenki na taasisi zingine wanajukumu la kuweka Wazi terms and conditions zote, ambapo wewe mtumiaji sasa, baada ya kuzisoma na kuzielewa utafanya maamuzi sahihi based on your interest. Uzuri ni kwamba Katika kuzisoma zile terms, kama kuna mahali hujaelewa, ukiwafata wanakuelewesha vizuri tu.
Financial literacy ni maisha, lakini mfumo hauko kamili, so tuna kazi kubwa ya kujielimisha. Ujinga wa wateja umekuwa asset moja kubwa sana kwa watu, makampuni , taasisi, mashirika na hata serikali kujinufaisha.