Financial Education, hata Mabenki hawataki mteja aipate

consultancy Firm hawatoi elimu ya oesa, elimu ya pesa inapatikana kwa kusoma kama tunavyo soma elimu za Mazingira, Afya, mambo ya Ukimwi na kadhalika. Elimu ya kifedha ni pana sana
Binafsi nakuelewa sana Mkuu, but sadly, system haiko kamili. Mfumo wetu wa elimu unatoa base, then the rest linabaki kuwa jukumu la mtu mwenyewe.

Nikienda kwenye mada, kiuhalisia si jukumu la Bank na taasisi za kifedha kutoa elimu ya kifedha kwa wateja, bali ni jukumu la mteja/kutafuta kwanza maarifa juu ya service yoyote, si hizo za mabenki tu, kabla hajaingia kuitaka hiyo service.

Infact, mabenki na taasisi zingine wanajukumu la kuweka Wazi terms and conditions zote, ambapo wewe mtumiaji sasa, baada ya kuzisoma na kuzielewa utafanya maamuzi sahihi based on your interest. Uzuri ni kwamba Katika kuzisoma zile terms, kama kuna mahali hujaelewa, ukiwafata wanakuelewesha vizuri tu.

Financial literacy ni maisha, lakini mfumo hauko kamili, so tuna kazi kubwa ya kujielimisha. Ujinga wa wateja umekuwa asset moja kubwa sana kwa watu, makampuni , taasisi, mashirika na hata serikali kujinufaisha.
 
Ni kweli mkuu tujenge utamaduni wa kusema wazi wazi hakuna sugar coating

Upo sawa kabisa
 
Reactions: Tsh
Yaani mkuu una nichekesha sana

Wewe kua masikini ndio kunafanya mfumo ufanye kazi sawa sawa

Na pia hilo jukumu la kugeuza benki ni chuo cha kufundisha wanadamu sijui umetolea wapi hasa?

Jukumu la benki ni kibaraka wa serikali kukusanya amana na kukopesha watu wenye akili kwa niaba ya serikali ili wanadamu wafanye kazi nchi ipate huduma,bila hivyo kila mtu atakaa nyumbani aangalie TV

Wewe kua masikini unaehitaji pesa kwa hali na mali upate kula mlo mmoja ndio safi sana ili utafute kazi ufanye kazi nyingi upate kidogo ule usife....na ukifa anazaliwa mwingine anafanya ile kazi uliyoiacha

Nakushangaa unataka kila mtu awe tajiri,muwe tajiri wote halafu nani atoe huduma nchi hii?Airpot,bandari,jeshini,hospitali,hotelini,mitaro,barabara,dawa za mswaki,shambani,etc nani aende kufanya iwapo kila matako nchi hii ana hela nyingi sana benki zimekaa?

Unavyosemea mfumo uta collapse na tutapata shida sana kama nchi
 
Finanancia eduction ni pana mno, na imebeba mambo mengi sana, hizi ni elimu za lazima kwa Wazungu huko
kila mtu apate hiyo elimu kutegemea na mahali maisha yamempeleka

working class haiwezi fundishwa financial education ya banker au mfanyabishara mkubwa

jifundishe mwenyewe

ila kimtaala ni kwamba wengi wa wananchi wanahitajika wawe working class,hivyo elimu per mtaala na kujibia mitihani unafundishwa financials za working class

kama unataka ya wafanyabiashara wakubwa jifundishe mwenyewe

kama unataka ya banker jifundishe mwenyewe au zipo tu huko kajiandikishe ujisomee mwenyewe

kwa mchakato wa maisha ulivyo bize utajikuta unapita pita hujui lolote unajikuta kwenye class yako ya mfanyakazi na unagota huko huko

na ukibaki huko huko ni vyema uchumi unakua imara wa nchi zima maana ndio system inasema hivyo,lazima mabega yako yabebe

na kuhama class moja kwenda ingine sio elimu kiivyo kama unavyodhani.....mfanyabiashara ruthless ni in-born huwezi fundisha "ujasiri" ni mtu anazaliwa nayo au huwezi fundisha "intellect"

natural selection inawapanga tu,wafanyakazi kivyao,viongozi wa kisiasa kivyao,wafanyabiashara kivyao,etc.....usilie sana mzee
 
Mbona mada inajieleza vizuri umeamua tu kuzingua.
Unapotoa huduma ni jukumu lako kutoa elimu kwa madhara na faida yanayotokana na bidhaa zako, haijalishi unahudumia maskini au tajiri!!
Boeing ana struggles na shares zake sasa hivi moja ya sababu ni ajali mbili za 737 max ambapo aliweka Mcas bila kuwaelimisha wateja zake, Tbl Tcc wanabanwa na serikali waelimishe wateja wao kuhusiana na madhara ya bidhaa wanazouza, why not banks? Hii mikopo kausha damu Kuna watu wanakuwa machizi Kuna watu wanajinyongq etc, tu kwa sababu hawakupewa elimu kipindi wa naomba mikopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…