Fine za barabarani

Fine za barabarani

Makosa mawili niliandikiwa kwa siku 4 zilizopita ila leo asubuh nmepita njia ya mwendo kasi wakanidaka wakaniandikia makosa matatu,kupta mwendokasi,mkanda na na speed yamekuwa matano so jumla 150000
Kwa makosa ya kipuuzi namna hii yanayohatarisha usalama wako na watumiaji wengine wa barabara, lipa tu ndgu yangu.
 
Makosa mawili niliandikiwa kwa siku 4 zilizopita ila leo asubuh nmepita njia ya mwendo kasi wakanidaka wakaniandikia makosa matatu,kupta mwendokasi,mkanda na na speed yamekuwa matano so jumla 150000
askari wanaohusika na usalama barabarani wana changamoto nyingi sana ambazo si za kupendeza lakini kwenye hayo makosa yako inaonyesha kabisa wewe si aina ya mtu mwenye kupenda kutii sheria bila shuruti, hivyo basi namna nzuri ya kuskip hilo deni ni kulilipa na kutorudia makosa ambayo unaweza kuyaepuka.
 
Makosa mawili niliandikiwa kwa siku 4 zilizopita ila leo asubuh nmepita njia ya mwendo kasi wakanidaka wakaniandikia makosa matatu,kupta mwendokasi,mkanda na na speed yamekuwa matano so jumla 150000
Kosa la kujitakia,ulistahili adhabu kama hiyo
 
Makosa mawili niliandikiwa kwa siku 4 zilizopita ila leo asubuh nmepita njia ya mwendo kasi wakanidaka wakaniandikia makosa matatu,kupta mwendokasi,mkanda na na speed yamekuwa matano so jumla 150000
Hawa jamaa n wauaji…
Juz kunatrafic cjui alikuwa kwny cku zake yule dada, alichonifanyia!!!!

Acha tuu nipite zangu 🚶🏻‍♂️….
 
Back
Top Bottom