Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Historia ya Firauni imeandikwa kwenye Qur'an kwa ufasaha ikitajwa ni kwa ajili ya ukumbusho kwa wanadamu kwanza wajue kuna muumba wa Ulimwengu na wasiwe wanajisemea tu ovyo kwa kutumia midomo yao.
Siku alipodakwa Allah sw akaweka wazi amefanya hivyo baada ya kumpa muda mrefu ajitafakari na akashindwa kufanya hivyo.Akasema nimemkamata kwa yale aliyokuwa akisema huko nyuma na haya mapya ya leo.Angalia kisa chake kwenye sutat Naaziyat.Qur 79.
Benjamin Netanyahu naye katika zama zetu na miaka hii michache amekuwa akitamka maneno mengi sana ya kibri.Maneno yake yamesababisha watu wengi kuanza kumdhihaki Mungu 9Allah) wakiwemo wana Jf.
Wako wanaJF ambao wamekuwa wakihoji sana uwezo wa Allah na wanauliza yuko wapi mbona wapalestina wanauliwa tu.Wengine wanasema kuna Allah na yuko Mungu mwengine wa mayahudi ambaye tangu enzi za nyuma huwa anawalinda na kuwapa nguvu watu hao dhidi ya maadui zao wote ndio maana hawashindwi.
Baada ya kuonekana kama Israel chini ya Netanyahu inaua kwa kasi inayotaka viongozi wa makundi ya kiislamu wako watu wameanza kutumbukia kwenye shirki kubwa zaidi na kujihakikishia ushindi wakitaja matukio ya nyuma na kutabiri hali itakuwa ndio hivyo daima kwa Israel.
Mwenyewe Benjamini Netanyahu amepanuka kichwa sana na kuanza kutamba hata mbele ya viongozi wenzake huko UN.Anasema hakuna sehemu ambapo mkono wao hauwezi kufika kuwatia adabu wanaofikiria kupigana nao .Waziri wa ulinzi alisema Shambulio la Yeme lilikusudiwa liwatie hofu wapinzani wao wote wa mashariki ya kati.
Pale UN Netanyahu alisema amekwenda kuweka sawa tu mambo yale yanayosemwa ovyo ovyo na viongozi waliomtangulia juu ya kwamba hakukusudia kwenda mwaka huu.Kwa ufupi maneno yake yote ni ya kutamba na kujitukuza kuliko ubinadamu wake,
Habari kwamba amejeruhiwa akitokea UN kutokana na kombora la Houth kwa ambao wameshazama kwenye shirki ya kuona Israel ina Mungu mwengine mwenye nguvu kuliko Allah,inaonekana ni kama utani na jambo lisilolowezekana.Lakini wajue tu maneno na matendo ya Netanyahu na athari zake kwa walimwengu ni wakati kama huu alipodakwa Firaun ili asiendelee kufanya jeuri zaidi.
Hapo mtaani kwetu wiki iliyopita kulikuwa na jamaa alizoea sana kutamka mambo ya fedheha kwa Mungu aliyemuumba.Alidakwa juu kwa juu kila mmoja akashangaa.