Firauni wa Misri alidakwa muda kama huu alipotamka yale anayotamka na kutenda Netanyahu wa Israel

Firauni wa Misri alidakwa muda kama huu alipotamka yale anayotamka na kutenda Netanyahu wa Israel

Imaam Hussein angekuwepo na lile panga lake kingewaka sana wallah bilah wataalah
Chezea qauli thabeet wewee.

Kupitia yeye tumepewa Tawfiq/Tawfeek (the ability and opportunity to succeed) na tunauhakika wa jannah na firdaus.

Mcheki hapo chini kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein IBN ALI A.S Mkombozi wa waislam na Uislamu.

20240930_085647.jpg

Nyau de adriz
 
Majini wenyewe ni viumbe wa Allah na wako waislamu na wengine makafiri kama wewe.
Majini hata ukisema wako wakubwa basi ni viumbe dhaifu kuliko binadamu na wanamjua Allah hata kama wameamua kufanya uasi kama walivyoahidi huko nyuma siku alipoumbwa binadamu.
Hizo stor za kijiwen peleka huko. Hakuna jini mtakatifu wote ni roho zilizoasi pamoja na shetan
 
Brother, hawa sio wayahudi, hawa ni wahuni kutoka Europe, wanatumia kivuli cha uyahudi kutimiza matakwa yao.....
 
Allah siyo Mungu muumbaji maana yeye anasema hana mwana, Wakati Mungu anasema yeye anao wana wakike na wakiume na sisi ni watoto wake.
 
Hilo unaloita jiwe jeusi (Al Kabbah) hatuliabudu wala kulisujudia.

Halafu una haki gani ya kuhoji kuhusu 'jiwe' ikiwa mnaabudu sanamu la mcheza sinema wa kizungu ambae mandhani ndio Yesu?
Mnaliabudu bana. Na wewe jitu jeusiii tii kama tako la iddi Amin unaamini ukifa kwenye uislamu utabadilika kuwa liarabu
 
Historia ya Firauni imeandikwa kwenye Qur'an kwa ufasaha ikitajwa ni kwa ajili ya ukumbusho kwa wanadamu kwanza wajue kuna muumba wa Ulimwengu na wasiwe wanajisemea tu ovyo kwa kutumia midomo yao.

Siku alipodakwa Allah sw akaweka wazi amefanya hivyo baada ya kumpa muda mrefu ajitafakari na akashindwa kufanya hivyo.Akasema nimemkamata kwa yale aliyokuwa akisema huko nyuma na haya mapya ya leo.Angalia kisa chake kwenye sutat Naaziyat.Qur 79.

Benjamin Netanyahu naye katika zama zetu na miaka hii michache amekuwa akitamka maneno mengi sana ya kibri.Maneno yake yamesababisha watu wengi kuanza kumdhihaki Mungu 9Allah) wakiwemo wana Jf.

Wako wanaJF ambao wamekuwa wakihoji sana uwezo wa Allah na wanauliza yuko wapi mbona wapalestina wanauliwa tu.Wengine wanasema kuna Allah na yuko Mungu mwengine wa mayahudi ambaye tangu enzi za nyuma huwa anawalinda na kuwapa nguvu watu hao dhidi ya maadui zao wote ndio maana hawashindwi.

Baada ya kuonekana kama Israel chini ya Netanyahu inaua kwa kasi inayotaka viongozi wa makundi ya kiislamu wako watu wameanza kutumbukia kwenye shirki kubwa zaidi na kujihakikishia ushindi wakitaja matukio ya nyuma na kutabiri hali itakuwa ndio hivyo daima kwa Israel.

Mwenyewe Benjamini Netanyahu amepanuka kichwa sana na kuanza kutamba hata mbele ya viongozi wenzake huko UN.Anasema hakuna sehemu ambapo mkono wao hauwezi kufika kuwatia adabu wanaofikiria kupigana nao .Waziri wa ulinzi alisema Shambulio la Yeme lilikusudiwa liwatie hofu wapinzani wao wote wa mashariki ya kati.

Pale UN Netanyahu alisema amekwenda kuweka sawa tu mambo yale yanayosemwa ovyo ovyo na viongozi waliomtangulia juu ya kwamba hakukusudia kwenda mwaka huu.Kwa ufupi maneno yake yote ni ya kutamba na kujitukuza kuliko ubinadamu wake,

Habari kwamba amejeruhiwa akitokea UN kutokana na kombora la Houth kwa ambao wameshazama kwenye shirki ya kuona Israel ina Mungu mwengine mwenye nguvu kuliko Allah,inaonekana ni kama utani na jambo lisilolowezekana.Lakini wajue tu maneno na matendo ya Netanyahu na athari zake kwa walimwengu ni wakati kama huu alipodakwa Firaun ili asiendelee kufanya jeuri zaidi.

Hapo mtaani kwetu wiki iliyopita kulikuwa na jamaa alizoea sana kutamka mambo ya fedheha kwa Mungu aliyemuumba.Alidakwa juu kwa juu kila mmoja akashangaa.
Yhwh alikuwepo kabla ya allah,huyu allah kaletwa na Mwamedi
 
Hapana!.Nakusudia yule anayekupa pumzi wewe na mikono ya kupost matusi hapa JF.
Ni yule anayekupa riziki zako na wanao kila siku ili umuabudu japo unamkufuru.
Huyo unayemsema ni Mungu na si allah.
Allah hana uwezo huo
 
Yupo kila pahala ardhini na mbinguni na anaona kila kitu.Hana mwanzo wala hana mwisho.Halali wala hasinzii.
Yupo macca pape ambapo mnaendaga kumchungulia kila mara. Lile jiwe la kikuresh halina chochote. Siku nitaenda kulinyea pale macca.
 
Wakristo hasa hawa wa bongo wanapenda sana kubwabwaja hawana maarifa kabisa
Ni sheria ya imani ya kiyahudi waislam na mayahudi wanaabudu MUNGU mmoja ila ni tofauti na wakristo
wakristo wanajulikana kama waabudu sanamu
Ni sheria ya imani ya kiyahudi kwa yahudi kuingia msikitini kufanya ibada inapobidi ila ni marufuku kuingia kanisani wanaita ni nyumba ya waabudu sanamu
Nyie wakristo wa jamii forums nyie na mayahudi ni tofauti kabisa acheni kujipendekeza mnatia aibu
 
Hivi Allah ndiye aliwatuma mkaue wayahudi? Mtangaze kuwafuta katika uso wa Dunia?
Japo watasema wanakashfiwa ila Allah ni Ibilisi na huo ndio ukweli. Hakuna Mungu anayetetea na piganiwa na mwanadamu. Hakuna Mungu anayependa kumwaga damu ya mwanadamu na kulazimisha mwanadamu amuabudu. Kwanini asingemuumba mwanadamu moja kwa moja awe muislam kuliko kutumia mwanadamu kumuua mwanadamu mwenzake asiyetaka kumuabudu.
 
Hizo stor za kijiwen peleka huko. Hakuna jini mtakatifu wote ni roho zilizoasi pamoja na shetan
Habari za viumbe tofauti wanaonekana na wasioonekana huwezi kuzipata kwenye vitabu vyenu.
Hayo kwa upana yapo kwenye maandiko ya waislamu kwani aliyewapasha hayo ndiye muumba wa ulimwengu wote.
Uwezo wenu wa kufikiri na kujua mambo ni finyu sana.
Majini ni viumbe ambavyo viko kwa wingi sana na wako wema na waovu.
 
Historia ya Firauni imeandikwa kwenye Qur'an kwa ufasaha ikitajwa ni kwa ajili ya ukumbusho kwa wanadamu kwanza wajue kuna muumba wa Ulimwengu na wasiwe wanajisemea tu ovyo kwa kutumia midomo yao.

Siku alipodakwa Allah sw akaweka wazi amefanya hivyo baada ya kumpa muda mrefu ajitafakari na akashindwa kufanya hivyo.Akasema nimemkamata kwa yale aliyokuwa akisema huko nyuma na haya mapya ya leo.Angalia kisa chake kwenye sutat Naaziyat.Qur 79.

Benjamin Netanyahu naye katika zama zetu na miaka hii michache amekuwa akitamka maneno mengi sana ya kibri.Maneno yake yamesababisha watu wengi kuanza kumdhihaki Mungu 9Allah) wakiwemo wana Jf.

Wako wanaJF ambao wamekuwa wakihoji sana uwezo wa Allah na wanauliza yuko wapi mbona wapalestina wanauliwa tu.Wengine wanasema kuna Allah na yuko Mungu mwengine wa mayahudi ambaye tangu enzi za nyuma huwa anawalinda na kuwapa nguvu watu hao dhidi ya maadui zao wote ndio maana hawashindwi.

Baada ya kuonekana kama Israel chini ya Netanyahu inaua kwa kasi inayotaka viongozi wa makundi ya kiislamu wako watu wameanza kutumbukia kwenye shirki kubwa zaidi na kujihakikishia ushindi wakitaja matukio ya nyuma na kutabiri hali itakuwa ndio hivyo daima kwa Israel.

Mwenyewe Benjamini Netanyahu amepanuka kichwa sana na kuanza kutamba hata mbele ya viongozi wenzake huko UN.Anasema hakuna sehemu ambapo mkono wao hauwezi kufika kuwatia adabu wanaofikiria kupigana nao .Waziri wa ulinzi alisema Shambulio la Yeme lilikusudiwa liwatie hofu wapinzani wao wote wa mashariki ya kati.

Pale UN Netanyahu alisema amekwenda kuweka sawa tu mambo yale yanayosemwa ovyo ovyo na viongozi waliomtangulia juu ya kwamba hakukusudia kwenda mwaka huu.Kwa ufupi maneno yake yote ni ya kutamba na kujitukuza kuliko ubinadamu wake,

Habari kwamba amejeruhiwa akitokea UN kutokana na kombora la Houth kwa ambao wameshazama kwenye shirki ya kuona Israel ina Mungu mwengine mwenye nguvu kuliko Allah,inaonekana ni kama utani na jambo lisilolowezekana.Lakini wajue tu maneno na matendo ya Netanyahu na athari zake kwa walimwengu ni wakati kama huu alipodakwa Firaun ili asiendelee kufanya jeuri zaidi.

Hapo mtaani kwetu wiki iliyopita kulikuwa na jamaa alizoea sana kutamka mambo ya fedheha kwa Mungu aliyemuumba.Alidakwa juu kwa juu kila mmoja akashangaa.
Unadanganya watu hiyo Aya haina ufasaha wowote kuhusu story ya firauni. Hiyo sura kwanza ni fupi ina aya 41.I always I said Quran imeandikwa na kiumbe kijinga jinga kosa la kuokoteza story kwa wayahudi na kutafsiri lugha msizoziweza mnakuja kuonekana wajinga.. weka hiyo chapter nakuwekea uongo na na ujinga moja after moja.. kuna sehemu kasema ameifanya dunia kuwa tambarare ni uongo dunia ni tufe ndio maana Hong Kong mchana Tanzania ni usiku. Quran is stupid book full of lies.

Imagine eti mnaambiwa muiweke Quran kichwani iliyo na full uongo na ujinga bora walijua kiarabu wanakahifadhi kama song tu
 
Back
Top Bottom