The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Chezea qauli thabeet wewee.Imaam Hussein angekuwepo na lile panga lake kingewaka sana wallah bilah wataalah
Hilo unaloita jiwe jeusi (Al Kabbah) hatuliabudu wala kulisujudia.
Mungu wa waislamu na wayahudi ni tofauti.Mungu wa waisrael enzi hizo ni waislamu ndio Mungu wetu wote ambaye hajabadilika.
Hizo stor za kijiwen peleka huko. Hakuna jini mtakatifu wote ni roho zilizoasi pamoja na shetanMajini wenyewe ni viumbe wa Allah na wako waislamu na wengine makafiri kama wewe.
Majini hata ukisema wako wakubwa basi ni viumbe dhaifu kuliko binadamu na wanamjua Allah hata kama wameamua kufanya uasi kama walivyoahidi huko nyuma siku alipoumbwa binadamu.
Mnaliabudu bana. Na wewe jitu jeusiii tii kama tako la iddi Amin unaamini ukifa kwenye uislamu utabadilika kuwa liarabuHilo unaloita jiwe jeusi (Al Kabbah) hatuliabudu wala kulisujudia.
Halafu una haki gani ya kuhoji kuhusu 'jiwe' ikiwa mnaabudu sanamu la mcheza sinema wa kizungu ambae mandhani ndio Yesu?
Yhwh alikuwepo kabla ya allah,huyu allah kaletwa na MwamediHistoria ya Firauni imeandikwa kwenye Qur'an kwa ufasaha ikitajwa ni kwa ajili ya ukumbusho kwa wanadamu kwanza wajue kuna muumba wa Ulimwengu na wasiwe wanajisemea tu ovyo kwa kutumia midomo yao.
Siku alipodakwa Allah sw akaweka wazi amefanya hivyo baada ya kumpa muda mrefu ajitafakari na akashindwa kufanya hivyo.Akasema nimemkamata kwa yale aliyokuwa akisema huko nyuma na haya mapya ya leo.Angalia kisa chake kwenye sutat Naaziyat.Qur 79.
Benjamin Netanyahu naye katika zama zetu na miaka hii michache amekuwa akitamka maneno mengi sana ya kibri.Maneno yake yamesababisha watu wengi kuanza kumdhihaki Mungu 9Allah) wakiwemo wana Jf.
Wako wanaJF ambao wamekuwa wakihoji sana uwezo wa Allah na wanauliza yuko wapi mbona wapalestina wanauliwa tu.Wengine wanasema kuna Allah na yuko Mungu mwengine wa mayahudi ambaye tangu enzi za nyuma huwa anawalinda na kuwapa nguvu watu hao dhidi ya maadui zao wote ndio maana hawashindwi.
Baada ya kuonekana kama Israel chini ya Netanyahu inaua kwa kasi inayotaka viongozi wa makundi ya kiislamu wako watu wameanza kutumbukia kwenye shirki kubwa zaidi na kujihakikishia ushindi wakitaja matukio ya nyuma na kutabiri hali itakuwa ndio hivyo daima kwa Israel.
Mwenyewe Benjamini Netanyahu amepanuka kichwa sana na kuanza kutamba hata mbele ya viongozi wenzake huko UN.Anasema hakuna sehemu ambapo mkono wao hauwezi kufika kuwatia adabu wanaofikiria kupigana nao .Waziri wa ulinzi alisema Shambulio la Yeme lilikusudiwa liwatie hofu wapinzani wao wote wa mashariki ya kati.
Pale UN Netanyahu alisema amekwenda kuweka sawa tu mambo yale yanayosemwa ovyo ovyo na viongozi waliomtangulia juu ya kwamba hakukusudia kwenda mwaka huu.Kwa ufupi maneno yake yote ni ya kutamba na kujitukuza kuliko ubinadamu wake,
Habari kwamba amejeruhiwa akitokea UN kutokana na kombora la Houth kwa ambao wameshazama kwenye shirki ya kuona Israel ina Mungu mwengine mwenye nguvu kuliko Allah,inaonekana ni kama utani na jambo lisilolowezekana.Lakini wajue tu maneno na matendo ya Netanyahu na athari zake kwa walimwengu ni wakati kama huu alipodakwa Firaun ili asiendelee kufanya jeuri zaidi.
Hapo mtaani kwetu wiki iliyopita kulikuwa na jamaa alizoea sana kutamka mambo ya fedheha kwa Mungu aliyemuumba.Alidakwa juu kwa juu kila mmoja akashangaa.
Huyo unayemsema ni Mungu na si allah.Hapana!.Nakusudia yule anayekupa pumzi wewe na mikono ya kupost matusi hapa JF.
Ni yule anayekupa riziki zako na wanao kila siku ili umuabudu japo unamkufuru.
Waisrael hawajawahi kuwa waislamu,Umedanganywa!Mungu wa waisrael enzi hizo ni waislamu ndio Mungu wetu wote ambaye hajabadilika.
kupitia uandishi wako ni dhahiri sio rika la kuweza kujadili chochote. Tufanye upo sahihi.Mnaliabudu bana. Na wewe jitu jeusiii tii kama tako la iddi Amin unaamini ukifa kwenye uislamu utabadilika kuwa liarabu
Na ndio hivyo natakakupitia uandishi wako ni dhahiri sio rika la kuweza kujadili chochote. Tufanye upo sahihi.
Yupo macca pape ambapo mnaendaga kumchungulia kila mara. Lile jiwe la kikuresh halina chochote. Siku nitaenda kulinyea pale macca.Yupo kila pahala ardhini na mbinguni na anaona kila kitu.Hana mwanzo wala hana mwisho.Halali wala hasinzii.
Japo watasema wanakashfiwa ila Allah ni Ibilisi na huo ndio ukweli. Hakuna Mungu anayetetea na piganiwa na mwanadamu. Hakuna Mungu anayependa kumwaga damu ya mwanadamu na kulazimisha mwanadamu amuabudu. Kwanini asingemuumba mwanadamu moja kwa moja awe muislam kuliko kutumia mwanadamu kumuua mwanadamu mwenzake asiyetaka kumuabudu.Hivi Allah ndiye aliwatuma mkaue wayahudi? Mtangaze kuwafuta katika uso wa Dunia?
Habari za viumbe tofauti wanaonekana na wasioonekana huwezi kuzipata kwenye vitabu vyenu.Hizo stor za kijiwen peleka huko. Hakuna jini mtakatifu wote ni roho zilizoasi pamoja na shetan
Unadanganya watu hiyo Aya haina ufasaha wowote kuhusu story ya firauni. Hiyo sura kwanza ni fupi ina aya 41.I always I said Quran imeandikwa na kiumbe kijinga jinga kosa la kuokoteza story kwa wayahudi na kutafsiri lugha msizoziweza mnakuja kuonekana wajinga.. weka hiyo chapter nakuwekea uongo na na ujinga moja after moja.. kuna sehemu kasema ameifanya dunia kuwa tambarare ni uongo dunia ni tufe ndio maana Hong Kong mchana Tanzania ni usiku. Quran is stupid book full of lies.Historia ya Firauni imeandikwa kwenye Qur'an kwa ufasaha ikitajwa ni kwa ajili ya ukumbusho kwa wanadamu kwanza wajue kuna muumba wa Ulimwengu na wasiwe wanajisemea tu ovyo kwa kutumia midomo yao.
Siku alipodakwa Allah sw akaweka wazi amefanya hivyo baada ya kumpa muda mrefu ajitafakari na akashindwa kufanya hivyo.Akasema nimemkamata kwa yale aliyokuwa akisema huko nyuma na haya mapya ya leo.Angalia kisa chake kwenye sutat Naaziyat.Qur 79.
Benjamin Netanyahu naye katika zama zetu na miaka hii michache amekuwa akitamka maneno mengi sana ya kibri.Maneno yake yamesababisha watu wengi kuanza kumdhihaki Mungu 9Allah) wakiwemo wana Jf.
Wako wanaJF ambao wamekuwa wakihoji sana uwezo wa Allah na wanauliza yuko wapi mbona wapalestina wanauliwa tu.Wengine wanasema kuna Allah na yuko Mungu mwengine wa mayahudi ambaye tangu enzi za nyuma huwa anawalinda na kuwapa nguvu watu hao dhidi ya maadui zao wote ndio maana hawashindwi.
Baada ya kuonekana kama Israel chini ya Netanyahu inaua kwa kasi inayotaka viongozi wa makundi ya kiislamu wako watu wameanza kutumbukia kwenye shirki kubwa zaidi na kujihakikishia ushindi wakitaja matukio ya nyuma na kutabiri hali itakuwa ndio hivyo daima kwa Israel.
Mwenyewe Benjamini Netanyahu amepanuka kichwa sana na kuanza kutamba hata mbele ya viongozi wenzake huko UN.Anasema hakuna sehemu ambapo mkono wao hauwezi kufika kuwatia adabu wanaofikiria kupigana nao .Waziri wa ulinzi alisema Shambulio la Yeme lilikusudiwa liwatie hofu wapinzani wao wote wa mashariki ya kati.
Pale UN Netanyahu alisema amekwenda kuweka sawa tu mambo yale yanayosemwa ovyo ovyo na viongozi waliomtangulia juu ya kwamba hakukusudia kwenda mwaka huu.Kwa ufupi maneno yake yote ni ya kutamba na kujitukuza kuliko ubinadamu wake,
Habari kwamba amejeruhiwa akitokea UN kutokana na kombora la Houth kwa ambao wameshazama kwenye shirki ya kuona Israel ina Mungu mwengine mwenye nguvu kuliko Allah,inaonekana ni kama utani na jambo lisilolowezekana.Lakini wajue tu maneno na matendo ya Netanyahu na athari zake kwa walimwengu ni wakati kama huu alipodakwa Firaun ili asiendelee kufanya jeuri zaidi.
Hapo mtaani kwetu wiki iliyopita kulikuwa na jamaa alizoea sana kutamka mambo ya fedheha kwa Mungu aliyemuumba.Alidakwa juu kwa juu kila mmoja akashangaa.
Mungu wa Waisrael sio mungu wa Waislam,mbon mnasema nchi wa Waisrael ni nchi ya Wapelistia ?Mungu wa waisrael enzi hizo ni waislamu ndio Mungu wetu wote ambaye hajabadilika.