Fireboy, Rema na Joeboy wameibuka kwenye mziki wa Nigeria na wanatamba sana

Fireboy, Rema na Joeboy wameibuka kwenye mziki wa Nigeria na wanatamba sana

Joeboy,Fireboy,Rema..wote nawasikiliza sana,napenda taste ya muziki wako,ila Fireboy yuko poa zaidi

LTG album ya Fireboy ni moto,Joeboy naye ana balaa..Baby,Beginning,Don't Call Me..hatari

✓Sema nini wazee,hawa artist wa nigeria wataste nzuri ya muziki na unabadilika time after time..bongo taste muziki wetu upo saturated
 
Tafuta pini linaitwa Wait and see la Fireboy DmL aisee🙌

Sema sijui kwanini hakulitolea Video
 
1. Joe boy
2. Fire boy DML
3. Omah lay
4. Rema

Series inaenda namna hyo kwangu mm 1 na 2 nimewaskiliza wakipga na live band pia wako njema

1. Burna boy
2. Wizkid

Hawa ni bonus kwa wakubwa
Davido??
 
Yuko vzur ila kwa hao wahuni hpo itabd akae pemben
Mtu akiwa vzur na live band hua namuingezea sna credit za kua shabik yake
Davido hpo kweny live band kidgo naon hayupo fresh
Sema midundo ya Wiz hatari na sauti yake inapita kila biti.
 
1.Joeboy
2. Fireboy DML
3.Rema , sema huyu naona kama ana uwizkid Fulani.

Hivi olakira nae ni wakitambo sana.?
Mana hii Maserati sio poa.
 
Back
Top Bottom