Fireboy, Rema na Joeboy wameibuka kwenye mziki wa Nigeria na wanatamba sana

Fireboy, Rema na Joeboy wameibuka kwenye mziki wa Nigeria na wanatamba sana

Ni kweli maana wakongwe wamewekeza sana kiasi kwamba wamewaajiri hawa madogo; fireboy dml yupo chini ya olamide(ynbl), mayorkun chini ya davido (dmw), rema chini ya don jazzy (marvin) joeboy chini ya mr eazi (empawa)

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Wizkid msanii wake hatambi, mbona hujamtaja
 
Mkuu kwa simu yangu nina nyimbo 1902 my most listened song ni za Fireboy DML.
BY the way Burna boy ajipange saana kwa huyu bro wangu.

Hizi nyimbo ni hatari.
God knows, shade, lifestyle, vibration. lazima nizisikilize kila siku
Screenshot_20201025-221238.jpg
 
Ngoma ya fireboy shade ina historia kati ya mimi na manzi fylani hivi mkuu
 
Back
Top Bottom