Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sinner..hii ngoma naweza kuisikiliza siku nzima..
Ayra starr kama Tems kwa mbaliKiwanda cha muziki cha Nigeria kila siku huwa kinazalisha vichwa vipya na vikali balaa,,Wengine hu'maintain but wengine hutoa hit na kupotea...Mfano kuna Olakira, Jay Willz alieimba Medicine, Guchi wa Jennifer, kuna dogo kaimba Bounce yo body, Ayra starr,nk. Wanajua kinoma lakini watakao sustain ni wachache
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Korede ni mtt wa dony jazzy?Terri huwa kama mteja fulani ila yupo vizuri tusiwasahau pia na kina reekado banks na mtoto wa don jazzy.. korede
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Nafikiri amemaanisha kimuziki. Maana Don jazzy ndo anamsimamia korede Bello kwenye lable yake ya MavinsM
Korede ni mtt wa dony jazzy?
Yeah ana'sound the same..ila naona atafika mbali coz yuko ndani ya lebo kubwa na iliyotoa mastar wengi wakali (Mavin) chini ya Don Baba, Don JazzyAyra starr kama Tems kwa mbali
Hii ni comment yangu ya mwakajuzi, ila bado hawa vijana ndo nawasikiliza sana kutoka Nigeria. List ya ninaowasikiliza sana ni kama ifuatavyo;-JoeBoy ndio mpango mzima;- ngoma kama 'Baby', 'Call', 'Beginning' na 'Don't call me back' nnaweza nikazisikiliza siku nzima bila kuzichoka. Rema naona kama yuko overrated