Wizkid??Go east or west starboy is the best
Tafuta pini linaitwa Wait and see la Fireboy DmL aisee🙌Joeboy,Fireboy,Rema..wote nawasikiliza sana,napenda taste ya muziki wako,ila Fireboy yuko poa zaidi
LTG album ya Fireboy ni moto,Joeboy naye ana balaa..Baby,Beginning,Don't Call Me..hatari
✓Sema nini wazee,hawa artist wa nigeria wataste nzuri ya muziki na unabadilika time after time..bongo taste muziki wetu upo saturated
Yuko vzur na yyOmah lay.
Davido??1. Joe boy
2. Fire boy DML
3. Omah lay
4. Rema
Series inaenda namna hyo kwangu mm 1 na 2 nimewaskiliza wakipga na live band pia wako njema
1. Burna boy
2. Wizkid
Hawa ni bonus kwa wakubwa
Yuko vzur ila kwa hao wahuni hpo itabd akae pembenDavido??
Sema midundo ya Wiz hatari na sauti yake inapita kila biti.Yuko vzur ila kwa hao wahuni hpo itabd akae pemben
Mtu akiwa vzur na live band hua namuingezea sna credit za kua shabik yake
Davido hpo kweny live band kidgo naon hayupo fresh
Ukisikia kipaji bila kuforce ndo kile maana jamaa hatumii nguvu kubwa kukuaminisha anajuaSema midundo ya Wiz hatari na sauti yake inapita kila biti.
Davido namuona kama mpambanaji zaidi....Wizkidayo talent ipo....Ukisikia kipaji bila kuforce ndo kile maana jamaa hatumii nguvu kubwa kukuaminisha anajua
Eti Uwizkid flani😀1.Joeboy
2. Fireboy DML
3.Rema , sema huyu naona kama ana uwizkid Fulani.
Hivi olakira nae ni wakitambo sana.?
Mana hii Maserati sio poa.
Mkuu tafuta mkwaju wake mwingine unaitwa Wait and see🔥🔥🔥Huyu dogo ndo ana ngoma kali hivi hii "like I do" na "need you" ni moto
Huu ndo mziki wangu sasaMkuu tafuta mkwaju wake mwingine unaitwa Wait and see[emoji91][emoji91][emoji91]
Dogo anajua mno🔥Huu ndo mziki wangu sasa
Nakubali mkuu [emoji119]