The Gentleman Pirate
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 1,450
- 921
Sergio Ramos ni beki wa kushoto naturally..alipo amehamishiwa tuNani atacheza beki wa kushoto?
Kama Mesi anaondoka na kijiji basi the last true prophet of football- Gaucho itakuwa anaondoka na nchi.Messi aanzie katikati ya uwanja maana yeye tu ndio mwenye uwezo wa kuondoka na kijiji mpaka golini [emoji3]
Hii ni orodha yangu ya wachezaji 11 bora wa dunia toka mwaka 1998 hadi sasa.Nimeamua kuanzia mwaka huo kwa sababu ndio kipindi nilianza kufuatilia soka, wachezaji hawa wote nimewaona kupitia luninga katika mechi mbalimbali za klabu pamoja na timu za taifa.
Kikosi hiki ni kwa mujibu wa muono wangu, kwa hiyo si ajabu kwa yeyote kuwa tofauti na mimi.Nakaribisha maoni mbalimbali.
Nimekiweka kikosi katika mfumo wa 4-2-3-1.kikosi kipo kama ifuatavyo;
Cassilas(GK)
Cafu
Maldin
Van Dijk
R.Carlos
Gerrard
Zidane
C.Ronaldo
Ronaldinho
L.Messi
Ronaldo de Lima
bila Nazario de Luiz icho sio kikosiBuffoni
Dan Alves
Paulo Maldini
Sergio Ramos
Marcelo
Iniesta
Xavi Hernandez
Zidane
CR7
Leonel Messi
Gaucho
bila Nazario de Luiz icho sio kikosi
Nina mashaka na utimamu wakoVan der sar ni mzuri lakini hajawahi kufika kiwango cha Buffon na Cassilas
Beki wa kulia mkuuSergio Ramos ni beki wa kushoto naturally..alipo amehamishiwa tu
Kama Mesi anaondoka na kijiji basi the last true prophet of football- Gaucho itakuwa anaondoka na nchi.
bila Nazario de Luiz icho sio kikosi
Yaani Gerald! Vp nafasi ya pass master Xavi na kina mzee pirlo. Yaani kupanga kikosi cha muda wote ni sheeder sana.Kikosi changu ni hiki katika mfumo wa 4-3-3
Iker Casillas
Cafu, Ramos, Nesta, Maldini
Zidane, Gerrard, Iniesta
Messi, Ronaldo de lima, Cr7
Kocha: Pep Guardiola
Msaidizi: Carlo Ancelloti
Phillip lahm, Raul Gonzalez, Claudio Makelele,Nimuweke nani? Nesta,Terry, Ramos,Jaap stam?
Lazma team ibalansi mzee, hao viungo wanyumbulifu wanahitaji viungo wa kazi kama Gerrard kwa ajili ya kuwakabia.Yaani Gerald! Vp nafasi ya pass master Xavi na kina mzee pirlo. Yaani kupanga kikosi cha muda wote ni sheeder sana.
Oliver KhanVan djik anafanya nini apo?