First 11 bora ya dunia toka 1998 hadi sasa

First 11 bora ya dunia toka 1998 hadi sasa

van djik hana chochote cha kumzid vidic hapo bado CBs wengne hatar duniani
Hii ni orodha yangu ya wachezaji 11 bora wa dunia toka mwaka 1998 hadi sasa.Nimeamua kuanzia mwaka huo kwa sababu ndio kipindi nilianza kufuatilia soka, wachezaji hawa wote nimewaona kupitia luninga katika mechi mbalimbali za klabu pamoja na timu za taifa.

Kikosi hiki ni kwa mujibu wa muono wangu, kwa hiyo si ajabu kwa yeyote kuwa tofauti na mimi.Nakaribisha maoni mbalimbali.
Nimekiweka kikosi katika mfumo wa 4-2-3-1.kikosi kipo kama ifuatavyo;

Cassilas(GK)

Cafu
Maldin
Van Dijk
R.Carlos

Gerrard
Zidane

C.Ronaldo
Ronaldinho
L.Messi

Ronaldo de Lima
 
Kikosi changu ni hiki katika mfumo wa 4-3-3

Iker Casillas

Cafu, Ramos, Nesta, Maldini

Zidane, Gerrard, Iniesta

Messi, Ronaldo de lima, Cr7


Kocha: Pep Guardiola
Msaidizi: Carlo Ancelloti
Yaani Gerald! Vp nafasi ya pass master Xavi na kina mzee pirlo. Yaani kupanga kikosi cha muda wote ni sheeder sana.
 
Back
Top Bottom