Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 48,444 Reaction score 194,235 Oct 17, 2020 #61 Fohadi said: Binti jitegemee, bint wa afande kumalija...upo Click to expand... Afande kumaliga πππ
Fohadi said: Binti jitegemee, bint wa afande kumalija...upo Click to expand... Afande kumaliga πππ
Fohadi JF-Expert Member Joined Jul 24, 2020 Posts 772 Reaction score 2,421 Oct 17, 2020 #62 Depal said: Afande kumaliga πππ Click to expand... Noma sana, we ulikuwa class ya mwaka gani?..
Depal said: Afande kumaliga πππ Click to expand... Noma sana, we ulikuwa class ya mwaka gani?..
Mehek JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 7,473 Reaction score 10,426 Oct 18, 2020 #63 Kalpana said: First born hasa wa kike hawapendani na mama zao au niseme kwa lugha nyepesi hawana ukaribu na mama zao. Nimeona familia nyingi sanaaa Click to expand... Nakuunga mkono asilimia 99
Kalpana said: First born hasa wa kike hawapendani na mama zao au niseme kwa lugha nyepesi hawana ukaribu na mama zao. Nimeona familia nyingi sanaaa Click to expand... Nakuunga mkono asilimia 99
uujn JF-Expert Member Joined Mar 24, 2019 Posts 666 Reaction score 851 Oct 21, 2020 #64 Mie sina hizo tabia, niko sambamba na mama na baba pia...tukikutana ni raha tupu, huyo last born ana vitabia tabia ambavyo amekuwa navyo lakni si mvivu hata na mimi na yeye ni chanda na pete...[emoji4]
Mie sina hizo tabia, niko sambamba na mama na baba pia...tukikutana ni raha tupu, huyo last born ana vitabia tabia ambavyo amekuwa navyo lakni si mvivu hata na mimi na yeye ni chanda na pete...[emoji4]