First borns (wazaliwa wa kwanza) wanapaswa kuonewa huruma

First borns (wazaliwa wa kwanza) wanapaswa kuonewa huruma

ndugu na jamaa zetu wa karibu huwa hawatupendei mema hasa mashangazi, baba wadogo, na wajomba..siku zote hutunenea mabaya tu ili tuharibikiwe..furaha yao huwa ni kuona umeferi kwenye kila kitu.
Daaa!! weee jamaa umegonga mulemuleeee! ivovio yaani....kuna majiishangazi yangu hayo asee yana roho mbaya balaa km majichawi vile wkt kila kitu cha babangu!
 
Back
Top Bottom