'First Class' ya UDOM ni sawa na 'Gentleman' ya SUA

GENTOMEN.....!??hapo tu mi nimeamua kukaa pembeni haaahaa.
 

naihurumia sana hyo shule iliyokuajiri kama tu hata kuandika hujui!
 
Sio kila mtu aliyefika chuo kikuu ana weledi wa chuo kikuu, ww umedhihilisha hili kwa kupost nonsenses bila kufikiria..chukua elimu ya bure mdogo wngu...before making any decision, you have to employ critical thinking and also to think critically and go beyond from what you think, in order to come up with rational decision. sasa wewe umeignore hii principle. ila inabidi ujue kwamba msomi yoyote asikii vitu mtaan au kwa kuambiwa alafu akavitolea comment, bali atafanya investigatn ili kutafuta ukweli wa jambo husika na evidence za kutosha..

hivyo basi kwa kukusaidia kafuatilie tena maswali vitu vifuatavyo

A) C udom inaanzia ngapi
b) cut point za kuingia UDOM ni ngap
C) minimum coursework ili ufanye UE ni ngap
d) wahitimu wangap wa UDOM wamepata ajira na ni post zipi
e) mashirika yanayochukua wanafunz kutoka UDOM tu
f)seriousness of lecturers and so on

ukimaliza ndo uandike tena comment yako... but i want to declare intrst, am a UDOM student, and am feel vry proud to be a UDOM student. i respect SUA and all Universities and collages for injecting knowledge to people. but 4 u, you are wrong brother and it simz like ww ni kilaza wa darasa na wala elimu yako kuanzia primary haina mchango wowote kwako. Thnx God
 
naona umevurugwa kweli, ila hebu nenda kwanza hospitali ukapime akili zako kua ziko vizuri au si makosa yako? Haiwezekan utoe vi2 mtaani afu utuletee upuuzi wako hapa 2ujadili!!!!!!!!!!!!

mimi namtetea ....hajavurugwa wala nini! Labda hajaipresent vizuri post yake kiasi cha wewe kumuelewa. Au labda wewe ulisoma udom ukafaidika na udhaifu huo. Mimi sikusoma sua wala udom nimesoma st augustin lakini namuunga mkono kwa hilo kwamba inabidi elimu yetu iboreshe...i mean tuwe na viwango tusishabikie kijiita umefaulu wakati alama zako ni chini ya 50% ya zinazotakiwa. Laiti vyuo vyote vingekuwa kama sua . Tungekuwa na wasomi bora sana
 

mimi namtetea ....hajavurugwa wala nini! Labda hajaipresent vizuri post yake kiasi cha wewe kumuelewa. Au labda wewe ulisoma udom ukafaidika na udhaifu huo. Mimi sikusoma sua wala udom nimesoma st augustin lakini namuunga mkono kwa hilo kwamba inabidi elimu yetu iboreshe...i mean tuwe na viwango tusishabikie kijiita umefaulu wakati alama zako ni chini ya 50% ya zinazotakiwa. Laiti vyuo vyote vingekuwa kama sua . Tungekuwa na wasomi bora sana
 
vyuo vya kikwete

mimi namtetea ....hajavurugwa wala nini! Labda hajaipresent vizuri post yake kiasi cha wewe kumuelewa. Au labda wewe ulisoma udom ukafaidika na udhaifu huo. Mimi sikusoma sua wala udom nimesoma st augustin lakini namuunga mkono kwa hilo kwamba inabidi elimu yetu iboreshe...i mean tuwe na viwango tusishabikie kijiita umefaulu wakati alama zako ni chini ya 50% ya zinazotakiwa. Laiti vyuo vyote vingekuwa kama sua . Tungekuwa na wasomi bora sana
 
hii sua cku hizi imevamiwa mbona inakuwa na wanafunzi wanaojisifiasifia tu ebu jirekebisheni
 

kwa hiyo kwa mujibu wako ww uongezwaji wa maksi ndo utafanya elimu kuwa bora bila kuangalia na vitu vingine. then nina swali hivi ni vitu gani vinavyoangaliwa ili kusema nchi ama taasisi hii ina elimu bora?
 

Nakuwa na shaka juu ya mambo yafuatayo;
1. Kwa staili hii ya uletaji wa mada na uandikaji wa hoja inaonyesha kuwa una uwezo mdogo sana wa kufanya mambo.
2. Sidhani kama ku-disco ndio kipimo cha kupima ubora wa elimu inayotolewa kwenye chuo husika. Na kama ndivyo, nadhani unahitaji kufanyiwa upasuaji wa ubongo.

WASOMI WA TANZANIA MNASAFARI NDEFU SANA, NI AIBU KWA MSOMI KUKAA KULINGANISHA CHUO KWA CHUO. HEBU TUKUZE ELIMU YETU, TUACHE USHABIKI WA KIJINGA KAMA HUU.
 

Haya ndo matatizo ya elimu ya cheti unachowaza wewe ni A, B+, B, C na sio kingine dogo so maisha ya kitaa hakutakuwa na Sua, udsm wala udom pale utakapoanza kuzunguka na bahasha
 
Mnabisha Nini Wakati UDOM ni Full MAUZAUZA? Kina Sifa Mbaya na Mapungufu Mengi tu na Tunapokikosoa Hatukurupuki bali Tunakisaidia ili Kiwe bora na Nikifanyacho au Tukifanyacho hapa ni ktk Kukiboresha na Siku Zote Mtu Mwerevu, Muungwana na Mwenye Hekima na Busara Hukubali Changamoto na Ushauri. Mimi Mwenyewe Sasa Nimeanza MA Yangu Nia na Madhumuni Nikiimaliza Mwaka 2015 Niangalie Uwezekano Wa Kuja Kufundisha hapo Course ambayo Sasa ipo Sokoni Mno. Na hakuna Chuo Kisicho na Changamoto na Matatizo Yake hapa Tanzania ila Tunarekebishana tu na Kuwekana Sawa.
 
duuh kama ndio wasomi poleni sana aise, nadhani chuo ili kiwe na hadhi lazima kiwe kinatoa consultation, pia research na teaching.. sasa wewe unaliyesoma chuo kikuu bora chenye hadhi unashindwa kufanya research ndogo tu uje na facts unatuletea maneno ya vijiweni hapa! kwanini iwe udom tu? vp St
Joseph au St. Augustine? au RUCC
O
 
we unatafuta umaarufu kupitia chuo cha UDOM tu huna jipya.....! krb UDOM coED tukupe info zaid n c kulopoka upate cfa za kisenge. UDOM WE EMBRACING KNOWLEDGE
Indeed! :smile-big:
 
Ila ukwel unauma bana, una koz chache, una ufaulu mdogo, hufanyi research report na bado unapewa degree tna " with honour" mmmmh... sio kosa letu lakinour country is relactant to changes
 
kati ya haya maneno mawili;Mjnga au Mpmbavu mojawapo litakuwa linakuhusu au yote mawili.Nilikuwa nina muda kidogo cjaingia humu jf kumbe bado kuna watu wanapost upumbavu humu!!!Elimika acha upuuzi watu tupo huku tunakomaa then unaleta mada za kisengeleko hapa wewe ka Sua iko poa komaa tu kwani lazima wote tusome Sua,me nasoma mining kwani hapo Sua ipo?acha ujinga wewe kua kiakili.Pimbi wewe....
 

Namna hii UDOM inaonekana kuvipa challenge vyuo vikongwe wakati ni cha juz tu hhahahahaahhahahahahahha sasa sijui baada ya miaka 10 hii UDOM ya sasa itakuwaje maana miaka 5 tu cjui udsm,sua na vyuo vingine vinambwela kusikia UDOM sema sio inshu mnazid kukipandisha chat tu bila kujua jaman
 

Wewe utasaidia nini mtu mwenyewe mpaka sasa elimu uliyonayo inaonekana haikusaidii,kasaidie wadovo zako huko kijijini wacje wakafa njaa mpuuzi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…