'First Class' ya UDOM ni sawa na 'Gentleman' ya SUA

nani anabisha? ivi udom ni chuo kinachotoa wataalam kweli? kama ufaulu wao unaanzia C ya 35 je hapo kunaelimu kweli? namuuliza rafiki yangu anaye soma udom anasema kudisko udom umetaka mwenyewe yaani labda umechoka kukaa chuoni mana hata usipofikisha 35 ukitoa kidogo kwa mhadhiri unakula maisha safi kabisa.njoo Sua huone hiyo C yenyewe inaanzia 50 mpaka Rais Kikwete anaomba ipungizwe lkn maprofesa wakamtuliza nakumwambia aje afundishe yeye.Hiyo education wanavyodisco, wanasoma utafikiri hakuna maisha zaidi ya kusoma, wanafanya operation za wanyama utafikiri wanasoma vertinary medcn,. mwaka huu asilimia 80 ya walio graduates wamechukuliwa hata kabla hawajamaliza semista ya mwisho, ama kweli nadiriki kusema first class ya udom ni sawa na gentomen ya Sua.
ha ha haa UDOM NI MTI WENYE MATUNDA MILELE HAUOGOPI KUPIGWA MAWE:israel::israel::israel::israel:
 
nani anataka kuja katika chuo cha kata?someni nyie mabwege.
una hasira na ka gpa kako ka 2.9 ka sua hako ka ufugaji wa nyuki, acha udom na ma upper na ma 1st yao waapply tpdc. We jipange upya huwezi kuwadefeat udom miaka 800
 
Mdau nikusahihishe tu kuwa SUA kuna kozi za arts hata wa HKL,HGL wanasoma,
kuna BA Rural Development,kuna Tourism Management,haijalishi advance umesoma sayansi au arts,huo ubishi mwingine nawaachieni,mkija mtaani ndo mtajua CHUO NI GPA AU UELEWA?

Pia kuna watu wamesoma social science mfano HGE,EGM,ECA,N.K. WANASOMA KOZI YA BSC.AGRICULTURAL ECONOMICS AND AGRIBUSINESS.....NA MIMI PIA HAYO MENGINE MUENDELEE KUBISHANA WENYEWE TU.
 
Hivi nyie watoto mnasoma vyuo kweli? je ni kweli mmepita jkt? mbona mnaandika kipuuzi.. mnasoma vyuo vya kufaga nyuki?
kwa waliopitia vyuo vikuu hawaandiki kipuuzi kama nyie.. ebu andikeni mabishano yenu kisomi basi tuone
 
nani anabisha? ivi udom ni chuo kinachotoa wataalam kweli? kama ufaulu wao unaanzia C ya 35 je hapo kunaelimu kweli? namuuliza rafiki yangu anaye soma udom anasema kudisko udom umetaka mwenyewe yaani labda umechoka kukaa chuoni mana hata usipofikisha 35 ukitoa kidogo kwa mhadhiri unakula maisha safi kabisa.njoo Sua huone hiyo C yenyewe inaanzia 50 mpaka Rais Kikwete anaomba ipungizwe lkn maprofesa wakamtuliza nakumwambia aje afundishe yeye.Hiyo education wanavyodisco, wanasoma utafikiri hakuna maisha zaidi ya kusoma, wanafanya operation za wanyama utafikiri wanasoma vertinary medcn,. mwaka huu asilimia 80 ya walio graduates wamechukuliwa hata kabla hawajamaliza semista ya mwisho, ama kweli nadiriki kusema first class ya udom ni sawa na gentomen ya Sua.

Haha haha haha!.
 
Unaongelea UDOM ipi mkuu?

Social,info,education,Medicine ,au petrolium??
Ni tusi kulinganisha The university of Dodoma na SUA ambyo ukubwa wake ni kama ka college kamoja hapo. Mifumo tofauti,changamoto tofauti.

Na pia C haianzii 35.so tafuta njia nyingine ya kujustify Gentlemen yako bt si kwa kulinganisha na kujaribu kulowgrade counterparts.
 
nani anabisha? ivi udom ni chuo kinachotoa wataalam kweli? kama ufaulu wao unaanzia C ya 35 je hapo kunaelimu kweli? namuuliza rafiki yangu anaye soma udom anasema kudisko udom umetaka mwenyewe yaani labda umechoka kukaa chuoni mana hata usipofikisha 35 ukitoa kidogo kwa mhadhiri unakula maisha safi kabisa.njoo Sua huone hiyo C yenyewe inaanzia 50 mpaka Rais Kikwete anaomba ipungizwe lkn maprofesa wakamtuliza nakumwambia aje afundishe yeye.Hiyo education wanavyodisco, wanasoma utafikiri hakuna maisha zaidi ya kusoma, wanafanya operation za wanyama utafikiri wanasoma vertinary medcn,. mwaka huu asilimia 80 ya walio graduates wamechukuliwa hata kabla hawajamaliza semista ya mwisho, ama kweli nadiriki kusema first class ya udom ni sawa na gentomen ya Sua.

ulisha soma Udom hata semester moja? Ulishaona past papers na course outline za udom za kozi unazo soma ukaona simple? Kufeli ni dalili ya uimara wa chuo audhaifu? Umeona Udom ndio chuo pekee cha kufanyia ulinganifu wa kitaaluma? Udom ilianza lini na sua ilianza lini? SUA ndio mmefundishwa kuwa Gentomen? Ama kweli ukistaajabu ya Udom utayaona ya SUA.
 
Duh!me napita tu wapendwa,nawatakia mabishano mema.
 
hivi udom kwanini mnaitusi nyie msionaakili kama ni wadau wa elimu ni bora kutoa maelezo yakina ilikuendeleza chuo hiki na sio mnaropoka tu pasipo maana yoyote (no research no right to speak) watanzania tubadilike
 
Hahahah shule ya udom rahisi sanaaaa ni mafirst class na maupper second tu
 
nani anabisha? ivi udom ni chuo kinachotoa wataalam kweli? kama ufaulu wao unaanzia C ya 35 je hapo kunaelimu kweli? namuuliza rafiki yangu anaye soma udom anasema kudisko udom umetaka mwenyewe yaani labda umechoka kukaa chuoni mana hata usipofikisha 35 ukitoa kidogo kwa mhadhiri unakula maisha safi kabisa.njoo Sua huone hiyo C yenyewe inaanzia 50 mpaka Rais Kikwete anaomba ipungizwe lkn maprofesa wakamtuliza nakumwambia aje afundishe yeye.Hiyo education wanavyodisco, wanasoma utafikiri hakuna maisha zaidi ya kusoma, wanafanya operation za wanyama utafikiri wanasoma vertinary medcn,. mwaka huu asilimia 80 ya walio graduates wamechukuliwa hata kabla hawajamaliza semista ya mwisho, ama kweli nadiriki kusema first class ya udom ni sawa na gentomen ya Sua.
NIMEANDIKA KWA KINA SANA JUU YA UJINGA WA WATU KAMA WEWE ULIVYO JUU YA MITAZAMO KATIKA BAADHI YA VYUO.
mimi si mwana UDOM lakini kwenye ujinga lazima nisimamie ukweli.

huu ni ujinga sawa na ujinga mwingine.

C kunzia 35 ama 50 si kigezo cha ubora wa elimu wala si kielelezo cha kutoa wataalamu.

mwalimu anaweza kutunga mtihani mgumu kiasi kwamba hata wa kwanza akapata 30 ama akatunga mtihani mrahisi wa mwisho akapata 70.

pia kudisco chuo sio kigezo cha kusema huyo mtu hana uelewa ama utaalamu,wangapi wamedisco kwenye dunia hii na bado ndio walioibuka mashujaa kwenye ulimwengu wa sayansi kwa kugundua vitu ambapo wale waliofauli bila kudisco hawakuweza kuvigundua.

ngoja nikupe mfano mmoja,mimi nilifundishwa na mwalimu mmoja kiingereza form one,yaani kwa mitihani yote marks za juu kupata ilikuwa 33, na huyo mwalimu kuna muda anatoa mtihani na mwanafunzi wa kwanza darasani anapata 10 na marks hizo zinawekwa kwenye rekodi bila hata ya kuzichakata,nikiwa form two pia sikuwahi kupata marks zaidi ya 70 kwa mwalimu mwingine ambaye yeye alikuwa afadhali,lakini kwenye necta ya form two tukaingia top ten wanafunzi watatu wakati tulikuwa tunapata namba za viatu.

pia wanafunzi kufaulu wote haionyeshi ubovu wa elimu,mbona haulizi kwa nini MAFINGA SEMINARY WANAFAULU WOTE?MBONA HAUULIZI KWA NI NINI ST MARIAN WANAFAULU WOTE?tena kwenye necta,je elimu yao ni mbovu?

kwa hiyo ufaulu na utaalamu ama C ama A inaanzia wapi si kigezo. tafuta sababu nyingene na si sababu za kijinga.
 
UDOM ni chuo kinachotoa wataalam kweli? kama ufaulu wao unaanzia C ya 35 je hapo kunaelimu kweli?

Namuuliza rafiki yangu anaye soma UDOM anasema kudisko udom umetaka mwenyewe yaani labda umechoka kukaa chuoni mana hata usipofikisha 35 ukitoa kidogo kwa mhadhiri unakula maisha safi kabisa.

Njoo SUA uone hiyo C yenyewe inaanzia 50 mpaka Rais Kikwete anaomba ipungizwe lakini maprofesa wakamtuliza na kumwambia aje afundishe yeye. Hiyo 'Education' wanavyodisco, wanasoma utafikiri hakuna maisha zaidi ya kusoma, wanafanya operation za wanyama utafikiri wanasoma 'Vertinary medicine'.

Mwaka huu asilimia 80 ya walio graduates wamechukuliwa hata kabla hawajamaliza semista ya mwisho, ama kweli nadiriki kusema first class ya udom ni sawa na gentleman ya SUA.

siku nyingine ukiona huna cha kupost kakojoe ulale stupid !
 
We utaishia kupiga kelele end of the day mkienda nje ya mipaka yeye atahesabika ana 1st class na wewe huna ...
 
Huwez kulinganisha mtoto wa miaka mitatu na mzee wa miaka hamsini...naona unafikir kwa kutumia kucha ..kwan unayoyasema c ya kwel, na vyuo unavojaribu kuvicompare vina tofaut kubwa sana.challenge kwa udom lazima ziwe nying koz ni chuo kichanga..elimu unayopata haikusaidii lolote .....................
Jarbu kufanya research za kutosha kabla hujapresent jambo lolote kwa mass.
 
Nyie bishaneni,,,ila mtaa unawasubiri,mtaaa hauna GPA wala division,,,,,mbebe ujuz huo uje kugeuka pesa
 
Nilipata banda kirahisi kwenye koz ya ict ambayo nilipewa na lugole (mwalimu wa sua aliyepewa katenda ka kufundisha udom especially coed)
 
Back
Top Bottom