nani anabisha? ivi udom ni chuo kinachotoa wataalam kweli? kama ufaulu wao unaanzia C ya 35 je hapo kunaelimu kweli? namuuliza rafiki yangu anaye soma udom anasema kudisko udom umetaka mwenyewe yaani labda umechoka kukaa chuoni mana hata usipofikisha 35 ukitoa kidogo kwa mhadhiri unakula maisha safi kabisa.njoo Sua huone hiyo C yenyewe inaanzia 50 mpaka Rais Kikwete anaomba ipungizwe lkn maprofesa wakamtuliza nakumwambia aje afundishe yeye.Hiyo education wanavyodisco, wanasoma utafikiri hakuna maisha zaidi ya kusoma, wanafanya operation za wanyama utafikiri wanasoma vertinary medcn,. mwaka huu asilimia 80 ya walio graduates wamechukuliwa hata kabla hawajamaliza semista ya mwisho, ama kweli nadiriki kusema first class ya udom ni sawa na gentomen ya Sua.
NIMEANDIKA KWA KINA SANA JUU YA UJINGA WA WATU KAMA WEWE ULIVYO JUU YA MITAZAMO KATIKA BAADHI YA VYUO.
mimi si mwana UDOM lakini kwenye ujinga lazima nisimamie ukweli.
huu ni ujinga sawa na ujinga mwingine.
C kunzia 35 ama 50 si kigezo cha ubora wa elimu wala si kielelezo cha kutoa wataalamu.
mwalimu anaweza kutunga mtihani mgumu kiasi kwamba hata wa kwanza akapata 30 ama akatunga mtihani mrahisi wa mwisho akapata 70.
pia kudisco chuo sio kigezo cha kusema huyo mtu hana uelewa ama utaalamu,wangapi wamedisco kwenye dunia hii na bado ndio walioibuka mashujaa kwenye ulimwengu wa sayansi kwa kugundua vitu ambapo wale waliofauli bila kudisco hawakuweza kuvigundua.
ngoja nikupe mfano mmoja,mimi nilifundishwa na mwalimu mmoja kiingereza form one,yaani kwa mitihani yote marks za juu kupata ilikuwa 33, na huyo mwalimu kuna muda anatoa mtihani na mwanafunzi wa kwanza darasani anapata 10 na marks hizo zinawekwa kwenye rekodi bila hata ya kuzichakata,nikiwa form two pia sikuwahi kupata marks zaidi ya 70 kwa mwalimu mwingine ambaye yeye alikuwa afadhali,lakini kwenye necta ya form two tukaingia top ten wanafunzi watatu wakati tulikuwa tunapata namba za viatu.
pia wanafunzi kufaulu wote haionyeshi ubovu wa elimu,mbona haulizi kwa nini MAFINGA SEMINARY WANAFAULU WOTE?MBONA HAUULIZI KWA NI NINI ST MARIAN WANAFAULU WOTE?tena kwenye necta,je elimu yao ni mbovu?
kwa hiyo ufaulu na utaalamu ama C ama A inaanzia wapi si kigezo. tafuta sababu nyingene na si sababu za kijinga.