'First Class' ya UDOM ni sawa na 'Gentleman' ya SUA

'First Class' ya UDOM ni sawa na 'Gentleman' ya SUA

first class ya UDOM,UDSM unadisco kabisa tena mwaka wa kwanza

Inaonekana mkuu unafanya kazi TCU so ndo mmepanga ivo daah sema nahis mtakuwa vichwa maji ww na TCU wenzio maana mtaala wa udsm na udom ni mmoja sa sielew daah pole sana sema ushauri wangu nenda MILEMBE wanatoa tiba ya matatizo yako kuwa kichwa maj ndan ya masaa 24.
 
hahahahahaha maisha bila unafki hayaendiiii na binadamu tukiambiwa ukweli huwa tunaumia na kuanza kutukana na huo ndio ukweli udom chuo cha kata wahadhiri hawana wanamajengo mazuri na cafeterias nzuri....ili wale na kulala bt elimu hakuna...
hahhahahaaa ukibisha we bisha na utukane na huo ndio ukweli.....first ya class ya udom ni sawa na gentlemen aka pass ailiyonayo muheshimiwa fulani hv....

....maisha bila unafki hayaendi bana

Sasa ww umethibitisha kama ni mnafiki maana mi nadhan hujui UDOM ipoje lakn unajitia kudai haina wahadhiri cjui nn wakati sio kweli wala nn SO WW ACHA UNANFKI kwa kusema yasiyo ya kweli kuhusu UDOM sema vzuri maana mnaipandisha UDOM chat bila kujua wanafki wakubwa.
 
mimi namtetea ....hajavurugwa wala nini! Labda hajaipresent vizuri post yake kiasi cha wewe kumuelewa. Au labda wewe ulisoma udom ukafaidika na udhaifu huo. Mimi sikusoma sua wala udom nimesoma st augustin lakini namuunga mkono kwa hilo kwamba inabidi elimu yetu iboreshe...i mean tuwe na viwango tusishabikie kijiita umefaulu wakati alama zako ni chini ya 50% ya zinazotakiwa. Laiti vyuo vyote vingekuwa kama sua . Tungekuwa na wasomi bora sana

We nin usitake kujikosha apa hao sua wamefanya nini et elimu bora wakati KILIMO BADO KWANZA hamna lolote mi naomba tafakari kisha chukua hatua tangu sua ianzishwe kama chuo cha kilimo kimeifikisha wap secta iyo nyeti au uti wa mgongo wa uchumi wetu sio mnakaa kujisifia tu wakti hamna lolote pumbafuu...
 
Mnabisha Nini Wakati UDOM ni Full MAUZAUZA? Kina Sifa Mbaya na Mapungufu Mengi tu na Tunapokikosoa Hatukurupuki bali Tunakisaidia ili Kiwe bora na Nikifanyacho au Tukifanyacho hapa ni ktk Kukiboresha na Siku Zote Mtu Mwerevu, Muungwana na Mwenye Hekima na Busara Hukubali Changamoto na Ushauri. Mimi Mwenyewe Sasa Nimeanza MA Yangu Nia na Madhumuni Nikiimaliza Mwaka 2015 Niangalie Uwezekano Wa Kuja Kufundisha hapo Course ambayo Sasa ipo Sokoni Mno. Na hakuna Chuo Kisicho na Changamoto na Matatizo Yake hapa Tanzania ila Tunarekebishana tu na Kuwekana Sawa.

inaonekana mkuu unakikubali UDOM sema unajitia kama unavunga hv et elimu mbovu hahahahhhahahahhahahahahahhaha
 
nani anabisha? ivi udom ni chuo kinachotoa wataalam kweli? kama ufaulu wao unaanzia C ya 35 je hapo kunaelimu kweli? namuuliza rafiki yangu anaye soma udom anasema kudisko udom umetaka mwenyewe yaani labda umechoka kukaa chuoni mana hata usipofikisha 35 ukitoa kidogo kwa mhadhiri unakula maisha safi kabisa.njoo Sua huone hiyo C yenyewe inaanzia 50 mpaka Rais Kikwete anaomba ipungizwe lkn maprofesa wakamtuliza nakumwambia aje afundishe yeye.Hiyo education wanavyodisco, wanasoma utafikiri hakuna maisha zaidi ya kusoma, wanafanya operation za wanyama utafikiri wanasoma vertinary medcn,. mwaka huu asilimia 80 ya walio graduates wamechukuliwa hata kabla hawajamaliza semista ya mwisho, ama kweli nadiriki kusema first class ya udom ni sawa na gentomen ya Sua.

Ukikuta mtu kafanya kituko cha ajabu kama kunya kwenye sink la kunawia mikono, kitu cha kwanza kabla hujamlambisha makofi unacheka kwanza kwa sekunde kadhaa ili kupunguza hasira usije ukamung'oa meno ya sebuleni. Huyu dogo sijui yuko mwaka wa ngapi huko anakosoma maana quality ya post yake inaonesha kama hii ni case ya discontinuation, kama bado haja-disco basi hicho chuo ma-professor hawafanyi kazi inayotakiwa, uelewa wake wa mambo ya kawaida naona uko far below average!! Dogo, nakushauri mwaka kesho ujiunge na epiq bongo star search. You seem to be totally uninformed about UDOM lakini unakuja na statistics, this is completely unprofessional kwa mtu anayesoma kwenye a highly reputable university kama SUA, halafu unajiita Sir Mushi!
 
hajavurugwa bali amekandamizwa kiaina na isitoshe asipoangalia atakuwa mental kabisa
Naona umevurugwa kweli, ila hebu nenda kwanza hospitali ukapime akili zako kua ziko vizuri au si makosa yako? Haiwezekan utoe vi2 mtaani afu utuletee upuuzi wako hapa 2ujadili!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Inaonekana mkuu unafanya kazi TCU so ndo mmepanga ivo daah sema nahis mtakuwa vichwa maji ww na TCU wenzio maana mtaala wa udsm na udom ni mmoja sa sielew daah pole sana sema ushauri wangu nenda MILEMBE wanatoa tiba ya matatizo yako kuwa kichwa maj ndan ya masaa 24.

labda wewe ndo uende milembe,mimi naendelea kukimbiza UDSM,ukikua utaacha upumbavu wako
 
Mse*****gee wewe...unatumia makalio kufikiri na kukurupuka bila kuwa na uhakika na unachokipost,,,,una uhakika kuwa C ya udom inaanzia 35????na kuhusu issue ya asilimia 80 ya graduates wamechukuliwa mwaka huu ni ww ndo umewachukua au...acha kupotosha umma wewe,,,jipange
 
Siku zote akili kubwa lazima itawale akili ndogo....review ur post.
 
.........UDOM mbona hakijafunguliwa kwani kuna watu wanasoma pale,mara ujenzi,mara uzinduz....
 
ndugu yangu umepotea,KIDISCO WANAFUNZI WENGI MAANA YAKE HAWAELEWI,HAKUNA UFUNDISHAJI,MAANA WANAFUNZI WENGI WALIOINGIa CHUO WAMEKUMBANA NA NECTA ZA KUFA MTU,SASA KWANINI CHUO WAKIMBIZWE?MAANA YAKE HAWAELEWI YANAYOFUNDISHWA NA WAALIMU LABDA HAWAJUI KUFUNDISHA,PIA KUMBUKA VYUO KAMA UDOM WAMEADOPT KILA KITU KAMA UDSM,SO ACHA MAONGEZI YAKO AMBAYO HAYAJENGI,PIA INANIONESHA WEWE NI MTU WA NAMNA GANI,NIMESHAKUPATA,BADILISHA AKILI,INAWEZEKANA UKIPELEKWA DOM MASOMO YAKAKUPIGA VILEVILE TU...MBONA WENZAKO WA SUA HAWAJAPOST KUKASHIFU VYUO VINGINE.MIMI SIPO UDOM SO SIITETEI KWASABABU NASOMA PALE HAPANA.
AkIli yA dArAsAnI nI tOfAuTi Na AkIlI yA MtAaNi:majani7:

11 RULES YOU WILL NEVER LEARN IN SCHOOL BY BILL GATES


Rule 1: Life is not fair – get used to it!

Rule 2: The world doesn’t care about your self-esteem. The world will expect you to accomplish something BEFORE you feel good about yourself.

Rule 3: You will NOT make $60,000 a year right out of high school. You won’t be a vice-president with a car phone until you earn both.

Rule 4: If you think your teacher is tough, wait till you get a boss.

Rule 5: Flipping burgers is not beneath your dignity. Your Grandparents had a different word for burger flipping: they called it opportunity.

Rule 6: If you mess up, it’s not your parents’ fault, so don’t whine about your mistakes, learn from them.

Rule 7: Before you were born, your parents weren’t as boring as they are now. They got that way from paying your bills, cleaning your clothes and listening to you talk about how cool you thought you were. So before you save the rain forest from the parasites of your parent’s generation, try delousing the closet in your own room.

Rule 8: Your school may have done away with winners and losers, but life HAS NOT. In some schools, they have abolished failing grades and they’ll give you as MANY TIMES as you want to get the right answer. This doesn’t bear the slightest resemblance to ANYTHING in real life.

Rule 9: Life is not divided into semesters. You don’t get summers off and very few employers are interested in helping you FIND YOURSELF. Do that on your own time.

Rule 10: Television is NOT real life. In real life people actually have to leave the coffee shop and go to jobs.

Rule 11: Be nice to nerds. Chances are you’ll end up working for one
Usilinganishe UDSM, SUA na UDOM. SUA ina maprof kama njugu ikifuatiwa na UDSM. UDOM vijana wa Bachelor ndo ma-Lecturer wa Bachelor wenzao.
 
nani anabisha? ivi udom ni chuo kinachotoa wataalam kweli? kama ufaulu wao unaanzia C ya 35 je hapo kunaelimu kweli? namuuliza rafiki yangu anaye soma udom anasema kudisko udom umetaka mwenyewe yaani labda umechoka kukaa chuoni mana hata usipofikisha 35 ukitoa kidogo kwa mhadhiri unakula maisha safi kabisa.njoo Sua huone hiyo C yenyewe inaanzia 50 mpaka Rais Kikwete anaomba ipungizwe lkn maprofesa wakamtuliza nakumwambia aje afundishe yeye.Hiyo education wanavyodisco, wanasoma utafikiri hakuna maisha zaidi ya kusoma, wanafanya operation za wanyama utafikiri wanasoma vertinary medcn,. mwaka huu asilimia 80 ya walio graduates wamechukuliwa hata kabla hawajamaliza semista ya mwisho, ama kweli nadiriki kusema first class ya udom ni sawa na gentomen ya Sua.

Iwapo hivyo ndio vigezo vyako ulivyotumia kulinganisha wewe una division 5.
 
Sio kila mtu aliyefika chuo kikuu ana weledi wa chuo kikuu, ww umedhihilisha hili kwa kupost nonsenses bila kufikiria..chukua elimu ya bure mdogo wngu...before making any decision, you have to employ critical thinking and also to think critically and go beyond from what you think, in order to come up with rational decision. sasa wewe umeignore hii principle. ila inabidi ujue kwamba msomi yoyote asikii vitu mtaan au kwa kuambiwa alafu akavitolea comment, bali atafanya investigatn ili kutafuta ukweli wa jambo husika na evidence za kutosha..

hivyo basi kwa kukusaidia kafuatilie tena maswali vitu vifuatavyo

A) C udom inaanzia ngapi
b) cut point za kuingia UDOM ni ngap
C) minimum coursework ili ufanye UE ni ngap
d) wahitimu wangap wa UDOM wamepata ajira na ni post zipi
e) mashirika yanayochukua wanafunz kutoka UDOM tu
f)seriousness of lecturers and so on

ukimaliza ndo uandike tena comment yako... but i want to declare intrst, am a UDOM student, and am feel vry proud to be a UDOM student. i respect SUA and all Universities and collages for injecting knowledge to people. but 4 u, you are wrong brother and it simz like ww ni kilaza wa darasa na wala elimu yako kuanzia primary haina mchango wowote kwako. Thnx God


*am feel very proud
*collages

Sasa hapo huoni umezidi kuipa hoja ya mleta mada uzito? Lugha yenyewe foul! Next time usilazimishe,tumia kiswahili,sawa wewe mwanaUDOM?
 
Mimi nimemaliza udom so naweza nikasema nakijua kwa mapana kwa tz kila chuo kina mapungufu yake,hata ud pia kina mapungufu yake,udom ndio chuo kipya kulikoni vyote tz kama sijakosea na kimejengwa na serikali so changamoto lazma ziwepo,kwa uelewa wangu changamoto nyingi zinasababishwa na mambo yafuatayo chuo kuendeshwa kisisa kwa mfano principal mwenyekiti wa bodi kuwa wanasiasa,pili udahili wa wanafunzi wengi ambai chuo kinashindwa kuwahudumia haingii akilini darasa moja lets say course ya adminstrtion lina wanafunzi 300 hapo haman elimu ya kweli mwl hujui nani kaelewa nani hajaelewa nani kaja darasani nani hajaja hata utaratibu wa kuendesha semina lazima uwe mgumu mahali amabpo mwanafunzi anaelewa zaidi amabayo hakuelewa darasani tena sometime unakuta somo moja mnashare mnajikuta mnafika mpk wanafunzi buku so kwangu hapa hamna elimu ni kusukuma gurudumu liende,pili coz kuchukua watu wasiostahili mfano coz ya project planning and management hii course ina masomo mengi yanayohusu hesabu obviously lazima mwanafunzi aliyefaulu hesabu ndo asome course kitu ambacho kilikuwa tofauti udom matokeo yake walichukuliwa watu ambao wamemaliza hkl na hgk ambao wengi wao hawajui au wamefeli hesabu so wakawa ni mizigo kwa walimu na kukahitajika kubebana ili wamalize something thats was not right,so nini kifanyike au kimefanyika course ya ppm wanachuliwe wanachukuliwa angalau mtu aliyepata d hesabu o level,na idadi ya wanfunzi imepungua kutoka kudahili wanafunzi 8000 kwa mwaka mmoja mpk wanafunzi 5000 kasoro,as long as chuo ni kichanga i blv wanaendelea kpata experience na kurekebisha walipokuwa wanakosea, ,naomba kuwasilisha
 
ivi udom ni chuo kinachotoa wataalam kweli? kama ufaulu wao unaanzia C ya 35 je hapo kunaelimu kweli?

kozi za Afya (Medicine, Pharmacy, Nursing e.tc) UDOM na kwingine, passmark ya chini ni 50%!
 
Hujui unachokisema we sifuri...passmark ya udom siyo 35....kafanye utafiti upya na cyo unakurupuka...ndo maana jina lako ni visenti na viakili vichache ulivyonavyo havikusaidii....jipangeee
 
We nin usitake kujikosha apa hao sua wamefanya nini et elimu bora wakati KILIMO BADO KWANZA hamna lolote mi naomba tafakari kisha chukua hatua tangu sua ianzishwe kama chuo cha kilimo kimeifikisha wap secta iyo nyeti au uti wa mgongo wa uchumi wetu sio mnakaa kujisifia tu wakti hamna lolote pumbafuu...

nashangaa wanaotakiwa kulalamika ni wana udom sasa hao ambao haya hawajasoma hapo kama si umbea nini?
SUA wenyewe hawana jipya wanafanya utafiti wa majimoto mwaka wa 5 majibu hakuna na wakulima wanaendelea kupata hasara...
 
Back
Top Bottom