first class ya UDOM,UDSM unadisco kabisa tena mwaka wa kwanza
hahahahahaha maisha bila unafki hayaendiiii na binadamu tukiambiwa ukweli huwa tunaumia na kuanza kutukana na huo ndio ukweli udom chuo cha kata wahadhiri hawana wanamajengo mazuri na cafeterias nzuri....ili wale na kulala bt elimu hakuna...
hahhahahaaa ukibisha we bisha na utukane na huo ndio ukweli.....first ya class ya udom ni sawa na gentlemen aka pass ailiyonayo muheshimiwa fulani hv....
....maisha bila unafki hayaendi bana
mimi namtetea ....hajavurugwa wala nini! Labda hajaipresent vizuri post yake kiasi cha wewe kumuelewa. Au labda wewe ulisoma udom ukafaidika na udhaifu huo. Mimi sikusoma sua wala udom nimesoma st augustin lakini namuunga mkono kwa hilo kwamba inabidi elimu yetu iboreshe...i mean tuwe na viwango tusishabikie kijiita umefaulu wakati alama zako ni chini ya 50% ya zinazotakiwa. Laiti vyuo vyote vingekuwa kama sua . Tungekuwa na wasomi bora sana
Mnabisha Nini Wakati UDOM ni Full MAUZAUZA? Kina Sifa Mbaya na Mapungufu Mengi tu na Tunapokikosoa Hatukurupuki bali Tunakisaidia ili Kiwe bora na Nikifanyacho au Tukifanyacho hapa ni ktk Kukiboresha na Siku Zote Mtu Mwerevu, Muungwana na Mwenye Hekima na Busara Hukubali Changamoto na Ushauri. Mimi Mwenyewe Sasa Nimeanza MA Yangu Nia na Madhumuni Nikiimaliza Mwaka 2015 Niangalie Uwezekano Wa Kuja Kufundisha hapo Course ambayo Sasa ipo Sokoni Mno. Na hakuna Chuo Kisicho na Changamoto na Matatizo Yake hapa Tanzania ila Tunarekebishana tu na Kuwekana Sawa.
nani anabisha? ivi udom ni chuo kinachotoa wataalam kweli? kama ufaulu wao unaanzia C ya 35 je hapo kunaelimu kweli? namuuliza rafiki yangu anaye soma udom anasema kudisko udom umetaka mwenyewe yaani labda umechoka kukaa chuoni mana hata usipofikisha 35 ukitoa kidogo kwa mhadhiri unakula maisha safi kabisa.njoo Sua huone hiyo C yenyewe inaanzia 50 mpaka Rais Kikwete anaomba ipungizwe lkn maprofesa wakamtuliza nakumwambia aje afundishe yeye.Hiyo education wanavyodisco, wanasoma utafikiri hakuna maisha zaidi ya kusoma, wanafanya operation za wanyama utafikiri wanasoma vertinary medcn,. mwaka huu asilimia 80 ya walio graduates wamechukuliwa hata kabla hawajamaliza semista ya mwisho, ama kweli nadiriki kusema first class ya udom ni sawa na gentomen ya Sua.
Naona umevurugwa kweli, ila hebu nenda kwanza hospitali ukapime akili zako kua ziko vizuri au si makosa yako? Haiwezekan utoe vi2 mtaani afu utuletee upuuzi wako hapa 2ujadili!!!!!!!!!!!!
Inaonekana mkuu unafanya kazi TCU so ndo mmepanga ivo daah sema nahis mtakuwa vichwa maji ww na TCU wenzio maana mtaala wa udsm na udom ni mmoja sa sielew daah pole sana sema ushauri wangu nenda MILEMBE wanatoa tiba ya matatizo yako kuwa kichwa maj ndan ya masaa 24.
Vyuo vya kikwete
Usilinganishe UDSM, SUA na UDOM. SUA ina maprof kama njugu ikifuatiwa na UDSM. UDOM vijana wa Bachelor ndo ma-Lecturer wa Bachelor wenzao.ndugu yangu umepotea,KIDISCO WANAFUNZI WENGI MAANA YAKE HAWAELEWI,HAKUNA UFUNDISHAJI,MAANA WANAFUNZI WENGI WALIOINGIa CHUO WAMEKUMBANA NA NECTA ZA KUFA MTU,SASA KWANINI CHUO WAKIMBIZWE?MAANA YAKE HAWAELEWI YANAYOFUNDISHWA NA WAALIMU LABDA HAWAJUI KUFUNDISHA,PIA KUMBUKA VYUO KAMA UDOM WAMEADOPT KILA KITU KAMA UDSM,SO ACHA MAONGEZI YAKO AMBAYO HAYAJENGI,PIA INANIONESHA WEWE NI MTU WA NAMNA GANI,NIMESHAKUPATA,BADILISHA AKILI,INAWEZEKANA UKIPELEKWA DOM MASOMO YAKAKUPIGA VILEVILE TU...MBONA WENZAKO WA SUA HAWAJAPOST KUKASHIFU VYUO VINGINE.MIMI SIPO UDOM SO SIITETEI KWASABABU NASOMA PALE HAPANA.
AkIli yA dArAsAnI nI tOfAuTi Na AkIlI yA MtAaNi:majani7:
11 RULES YOU WILL NEVER LEARN IN SCHOOL BY BILL GATES
Rule 1: Life is not fair get used to it!
Rule 2: The world doesnt care about your self-esteem. The world will expect you to accomplish something BEFORE you feel good about yourself.
Rule 3: You will NOT make $60,000 a year right out of high school. You wont be a vice-president with a car phone until you earn both.
Rule 4: If you think your teacher is tough, wait till you get a boss.
Rule 5: Flipping burgers is not beneath your dignity. Your Grandparents had a different word for burger flipping: they called it opportunity.
Rule 6: If you mess up, its not your parents fault, so dont whine about your mistakes, learn from them.
Rule 7: Before you were born, your parents werent as boring as they are now. They got that way from paying your bills, cleaning your clothes and listening to you talk about how cool you thought you were. So before you save the rain forest from the parasites of your parents generation, try delousing the closet in your own room.
Rule 8: Your school may have done away with winners and losers, but life HAS NOT. In some schools, they have abolished failing grades and theyll give you as MANY TIMES as you want to get the right answer. This doesnt bear the slightest resemblance to ANYTHING in real life.
Rule 9: Life is not divided into semesters. You dont get summers off and very few employers are interested in helping you FIND YOURSELF. Do that on your own time.
Rule 10: Television is NOT real life. In real life people actually have to leave the coffee shop and go to jobs.
Rule 11: Be nice to nerds. Chances are youll end up working for one
nani anabisha? ivi udom ni chuo kinachotoa wataalam kweli? kama ufaulu wao unaanzia C ya 35 je hapo kunaelimu kweli? namuuliza rafiki yangu anaye soma udom anasema kudisko udom umetaka mwenyewe yaani labda umechoka kukaa chuoni mana hata usipofikisha 35 ukitoa kidogo kwa mhadhiri unakula maisha safi kabisa.njoo Sua huone hiyo C yenyewe inaanzia 50 mpaka Rais Kikwete anaomba ipungizwe lkn maprofesa wakamtuliza nakumwambia aje afundishe yeye.Hiyo education wanavyodisco, wanasoma utafikiri hakuna maisha zaidi ya kusoma, wanafanya operation za wanyama utafikiri wanasoma vertinary medcn,. mwaka huu asilimia 80 ya walio graduates wamechukuliwa hata kabla hawajamaliza semista ya mwisho, ama kweli nadiriki kusema first class ya udom ni sawa na gentomen ya Sua.
Sio kila mtu aliyefika chuo kikuu ana weledi wa chuo kikuu, ww umedhihilisha hili kwa kupost nonsenses bila kufikiria..chukua elimu ya bure mdogo wngu...before making any decision, you have to employ critical thinking and also to think critically and go beyond from what you think, in order to come up with rational decision. sasa wewe umeignore hii principle. ila inabidi ujue kwamba msomi yoyote asikii vitu mtaan au kwa kuambiwa alafu akavitolea comment, bali atafanya investigatn ili kutafuta ukweli wa jambo husika na evidence za kutosha..
hivyo basi kwa kukusaidia kafuatilie tena maswali vitu vifuatavyo
A) C udom inaanzia ngapi
b) cut point za kuingia UDOM ni ngap
C) minimum coursework ili ufanye UE ni ngap
d) wahitimu wangap wa UDOM wamepata ajira na ni post zipi
e) mashirika yanayochukua wanafunz kutoka UDOM tu
f)seriousness of lecturers and so on
ukimaliza ndo uandike tena comment yako... but i want to declare intrst, am a UDOM student, and am feel vry proud to be a UDOM student. i respect SUA and all Universities and collages for injecting knowledge to people. but 4 u, you are wrong brother and it simz like ww ni kilaza wa darasa na wala elimu yako kuanzia primary haina mchango wowote kwako. Thnx God
ivi udom ni chuo kinachotoa wataalam kweli? kama ufaulu wao unaanzia C ya 35 je hapo kunaelimu kweli?
Iwapo hivyo ndio vigezo vyako ulivyotumia kulinganisha wewe una division 5.
We nin usitake kujikosha apa hao sua wamefanya nini et elimu bora wakati KILIMO BADO KWANZA hamna lolote mi naomba tafakari kisha chukua hatua tangu sua ianzishwe kama chuo cha kilimo kimeifikisha wap secta iyo nyeti au uti wa mgongo wa uchumi wetu sio mnakaa kujisifia tu wakti hamna lolote pumbafuu...