'First Class' ya UDOM ni sawa na 'Gentleman' ya SUA

We naona unalinganisha mtoto wa miaka mitatu na zee la miaka sabini ....udom chuo kichanga sana ukilinganisha ha hivyo unavovitaja so challenges lazima ziwe nyingi. Uwe mnafikiri kwa kutumia ubongo kabla ya kupost ujinga.....usifikiri kwa kutumia makalio
 
UDOM ni chuo kilichopoteza muelekeo kwa kiasi kikubwa sana kitaaluma, huwezi kabisa kulinganisha ubora wa SUA na UDOM, Kwanza kabisa ukiangalia katika list ya vyuo 100 bora Afrika SUA ni chuo cha 59 wakati UDOM hakipo kabisa na achilia mbali hakitambuliki kabisa, nashangaa sana mambulura wengi wa UDOM wanavyotetea ujinga na upumbavu wa chuo chao, SUA ni chuo kilichojizolea sifa nyingi sana kitaaluma na pia mchango wake unaonekana katika Taifa
 

sio SUA tu na Muccobs ni majanga pia elimu ngumu sana
 

Kweli hii nchi inamatatizo makubwa. Udom ilianzishwa lini? Sua ilianzishwa lini? Udom kuna kozi za kupasua wanyama? Shahada ya ukunga na udaktari udom imeshatoa product ngapi? Sasa kama hujui hayo maswali acha kuropoka kuhusu Udom, ongea jinsi ya kuboresha Sua kiwe cha kwanza AFRIKA. SUA hakuna changamoto? Au unaropoka tu. Eleza wapi waboreshe sio kulinganisha chuo na chuo hapa, mbona hujasema saut? Saint John je?
 
Nilichogundua mimi wengi wanaoiponda udom niwale waliokosa chance hapo udom so roho inawauma,pumbavuuuuu
 
Pole sana kwa kuwa na rafiki Mbiga kama huyo kwa mtu mwelewa kama mimi siwezi hata siku moja kuwa na rafiki ndina kama huyo aliyekupa hizo habari za UDOM, hii inanipa shaka kwamba hata weee uelewa wako ni wamashaka sana (why cant you reason my brother over what your told).HIYO 35 UNAYOISEMA UDOM is F yaani Failure, C ya UDOM is 50, nakushangaa sana kuwa UDOM is Public University iko chini ya TCU so inafata maelekezo ya TCU. shame on you.
 
my Brother LULAMSO! do you know the criteria wanazozitumia kufanya Universities ranking??? pia huangalia chuo kimetoa product zipi ktk Jamiii. ngoja nikupe Mfano. Harvard University ulikuwa umeondolewa ktk number one ya ulimwengu, but soon after kuingia OBAMA madarakani Harvard ikarudi kuwa the leading!!!! wakati Obama amemaliza hapo miongo ya miaka iliyopita WHYY? ni kwa sababu Obama kuwa madarakani USA is a product of Harvard. sasa unataka UDOM iwe ktk top 100 kwa product ipi imeitoa ktk jamii wakati ndo kwanza ina miaka 4. ninyi mliosoma SUA ndo munaotuaibisha maana chuo toka miaka ya 60's na criteria zote kinazo but hakuna distinguished figure ambayo ingeweza kuiupgdare TZ. when you say about University ranking, try to find out what criteria zinatumika. kwa criteria hizo SUA and the lest old Univ. in TZ ndo za kuchekwa but sio UDOM. NI CHUO KICHANGA MIUNDO MBINU YENYEWE BADO then unataka kingie ktk top 100. hivi kumbe hii TZ imejaza vilaza sana wa fikra etiiiiii
 

karibu sana UDOM, huku maisha ya paper yanaendelea.
 
Waajiri wanajua wapi pa kuwapata vijana wenye uwezo mzuri wa kufanya kazi kwa uaminifu. The end justifies the means.
 
Kaka kama SUA ni chuo bora kuliko UDOM na wewe unasoma SUA si ndio furaha? Au unataka uhamie UDOM? Ya UDOM waachie wana UDOM fuata ya SUA. Ungekuwa wa maana sana kama ungeleta mada ya kushauri uongozi wa SUA uboreshe miundombinu ya chuo kama maji, Vyoo na hostels kuliko kurukia ya Udom ambayo haya kuhusu. Ungesoma Udom kisha ukasoma na SUA ungepata fursa ya kukinanga Udom. Be thinkative my friend.
 
Me nafkiri wewe endelea kujadili hilo me nakula salary apa, kazi ya taluuma naipiga vyema na hiv juzi tu nimelamba certificate of appreciation from my employer, ask me which university I got such kind of knowledge.
 
Punguzeni munkari wajameni...kuna watu huwa wanataka kuongeza idadi ya "Post" na...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…