First date;Naomba ushauri wenu.

First date;Naomba ushauri wenu.

Bila kuwa KAUZU watoto utaishia kuwaona INSTA tu mkuu...wewe mwambiye tunapaswa tukatulie sehemu tu ambayo haina usumbufu ....ambayo ni romantic like guest house .....akikuuliza mtafanya.....inabidi UJIHAMI kwamba leo hamtofanya kitu.....akiingia humo wee usimjali sana....nenda BAFUNI oga..toka na taulo..halafu lidondoshe KUSUDI hakikisha AK47 yako ipo VZR MKUU......akiona tu anza kuomba

Sent using Jamii Forums mobile app
Niangushe taulo mbele yake?

great thinker
 
Sasa mtu umemtongoza kakubali halaf kasema mtoke bado unataka kulaza damu tu....acheni kujifanya wazungu
Uzungu ndio mzuri. Sasa kama kakukubali ndio siku hiyo hiyo muende kwenye next level? Labda kama hamna mipango mingine
 
Uzungu ndio mzuri. Sasa kama kakukubali ndio siku hiyo hiyo muende kwenye next level? Labda kama hamna mipango mingine

Sasa km umekubali kwann ushindwe kwenda nxt level?..wazungu wenyewe wanakazana
 
Uzungu ndio mzuri. Sasa kama kakukubali ndio siku hiyo hiyo muende kwenye next level? Labda kama hamna mipango mingine
Mipango ipo mkuu lakini kuona ndani muhimu sana kwa kesho

great thinker
 
Habari zenu wakuu .Niende kwenye maada
Ni hivi kuna msichana mmoja nimetongoza yapata miaka 2 lakini Leo amenipa green ligh/amekubali.Kuonyesha amekubali ameniomba tu date kwa siku ya kesho yaani hapa nawaza balaa.Naomba msaada kàtika mambo hoya
1]Maneno gani ya kumwambia ili nisiharibu profile yangu?
2]Matendo gani endapo nikiyafanya naweza kubadili mtizamo wake juu yangu?
3]Nifanya nini ili siku ya kesho nile mzigo.
Nawakaribisha.
Asanteni

great thinker
mpuuzi kweli wewe,
yani 1st date unataka ule mzigo,
utakimbiwa luako....
..
i think kesho itumie vizur kujua mengi kuhusu yeye..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa km umekubali kwann ushindwe kwenda nxt level?..wazungu wenyewe wanakazana
Sijakataa. Lakini kukubali kua tuwe wapenzi haimaanishi ndio siku ya kwanza tufanye.
Sex inaweza leta results positive o negative kwa siku hiyo ya kwanza.
Labda kama mtu Ulikua unamuwinda kwa lengo hilo
 
Kama mtu alipanga ale mzigo asepe haijalishi umpe siku ya kwnz au ya 20 ataondoka tu

If ur nt a risk taker basi usimkubalie mtu wakat haupo tayari kuachia mzigo
 
Back
Top Bottom