First date;Naomba ushauri wenu.

First date;Naomba ushauri wenu.

Yaan dem unatongoza miaka miwil?? Yaan wew ndo last choice yake,yaan alichuja chuja chuja na kupembua magugu,takataka ya mwisho ndo imebid akutunuku wew,yaan huyo atakua kaachana na bwanake sasa anakuja punguza machungu kwako,tegemea kuendeshwa kwenye mahusiano hayo kijana..yaan wew ni ana passby tuu,huna lolote kwake ,kua makin
mmmmh!
nikweli but not 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan dem unatongoza miaka miwil?? Yaan wew ndo last choice yake,yaan alichuja chuja chuja na kupembua magugu,takataka ya mwisho ndo imebid akutunuku wew,yaan huyo atakua kaachana na bwanake sasa anakuja punguza machungu kwako,tegemea kuendeshwa kwenye mahusiano hayo kijana..yaan wew ni ana passby tuu,huna lolote kwake ,kua makin
Hapana mkuu namjuwa vizuri huyu demu anajitunza sana ndo maana hata mimi kanisumbuwa

great thinker
 
Ndo maana kesho nataka kumkaza siku hiyo hiyo

great thinker
Sasa dawa yake unampeleka bar yenye lodge kabisa, unampigisha vyombo na nyamachoma, akianza kolea unamuomba ukampe suprise special, mwambie ni siku nyingi ulitaka umpe ila hatimae muda muafaka umefika...unamvutia room taratibu.

Hawezi chomoka hapo, cha msingi hakikisha stori zako ziwe za kumpa bichwa sana tangu mnapoketi hapo kwenye date.

Tumia siasa mkuu acha kuwa soro. Amini demu mpaka akikubali muende date anajua lolote linaweza tokea, we ndio sterling na utachagua destiny alike au asilike.
 
Hapana mkuu namjuwa vizuri huyu demu anajitunza sana ndo maana hata mimi kanisumbuwa

great thinker
Hakunaga hyo kitu kujitunza,..mi nawakamua sana hawa watoto,tena mi hua nabahatika hawa wapenda dini,wa get kali,walokole,tena wale wasoma masomo kanisani,lakin jinsi nnavyowabandua huwez amin..mwanamke akikupenda hua hana sabab bali nikukupa tuu hata kama hawez kua nawewe lakin ukikomaa anakupa,hata awe sista..ila sio kwa mingo za miaka miwil,huyo kakukubalia kwa sabab fulan,..ts good though ila kua makin atakuendesha hyo
 
Back
Top Bottom