First date;Naomba ushauri wenu.

Sijakataa. Lakini kukubali kua tuwe wapenzi haimaanishi ndio siku ya kwanza tufanye.
Sex inaweza leta results positive o negative kwa siku hiyo ya kwanza.
Labda kama mtu Ulikua unamuwinda kwa lengo hilo
Nampenda kweli lakini kwa kesho atanisamehe

great thinker
 
Aisee! Unatongoza miaka miwili ?

To accomplish much you must first lose everything..
Jamaa alikua anaomba viza ya kuingia moyoni mwa mrembo atimae kapata baada ya kula mitama ya kutosha
 
Kama mtu alipanga ale mzigo asepe haijalishi umpe siku ya kwnz au ya 20 ataondoka tu


If ur nt a risk taker basi usimkubalie mtu wakat haupo tayari kuachia mzigo
Sio kihivyo. Huyu anaonesha kichwan kwake hawaz vitu vingine zaid ya sex. Most of the times vitu hutokea automatic. Sio kwa mipango na mikakati
 
Sio kihivyo. Huyu anaonesha kichwan kwake hawaz vitu vingine zaid ya sex. Most of the times vitu hutokea automatic. Sio kwa mipango na mikakati

Kuwaza sex sio kosa kwa sababu kamfiatilia mtu miaka miwili


Mm mwnyw hapa nawaza sex
 
Yaan dem unatongoza miaka miwil?? Yaan wew ndo last choice yake,yaan alichuja chuja chuja na kupembua magugu,takataka ya mwisho ndo imebid akutunuku wew,yaan huyo atakua kaachana na bwanake sasa anakuja punguza machungu kwako,tegemea kuendeshwa kwenye mahusiano hayo kijana..yaan wew ni ana passby tuu,huna lolote kwake ,kua makin
 
Hujui unachokitaka.
Jiandae kula Kofi na usimpate tena. Mfyuuuuuuuuu.

Na huenda ndio mwanamke wako wa kwanza ndio maana mipango mingi. Asubuhi utaharisha tu [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Unanikatisha tamaa Dada

great thinker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…