Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
- Thread starter
- #121
Nimekusoma mkuu hii mbinu sidhani kama atachomokaSasa dawa yake unampeleka bar yenye lodge kabisa, unampigisha vyombo na nyamachoma, akianza kolea unamuomba ukampe suprise special, mwambie ni siku nyingi ulitaka umpe ila hatimae muda muafaka umefika...unamvutia room taratibu. Hawezi chomoka hapo, cha msingi hakikisha stori zako ziwe za kumpa bichwa sana tangu mnapoketi hapo kwenye date.
great thinker